Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Ali Kawaida ameitaka Serikali Kuu na Mkoa wa Dar es Salaamu kutekeleza mambo manne ikiwemo kuharakisha mchakato wa kurejea upya mikopo ya asilimia 10 iliyositishwa Aprili mwaka huu.
Mambo mengine ni kuhakikisha inamaliza...
Ninawasalimu wote katika Jumapili hii Njema, na tulivu. Naomba nisipoteze mda na niende kwenye mada moja kwa moja.
Baada ya kuwa napata matangazo ya App za mikopo, nikaamua nifanye ka utafiti kadogo kuona zinavyofanya kazi.
Kwa kipindi cha Miezi 2 nili download up 10, na nikakopa na kurudisha...
Serikali imetaja sababu za wanawake kukimbilia mikopo yenye masharti magumu, ikiwamo wengi kuwa na elimu ndogo ya fedha.
Tatizo hilo lilielezwa ni chanzo cha wanawake kujiingiza katika mikopo hiyo maarufu kwa majina kama vile ‘ kausha damu’ na ‘mikopo umiza’.
Katibu Mtendaji wa Baraza la...
Habari wakuu. Nimemaliza chuo nimesoma microbiology degree. Kwan sasa nipo mtaani napambana na maisha.
Nimekuja na wazo hapa la mikopo mnishauri mnalionaje. Nikiwa chuoni nimeona wanafunzi wengi wakihangaika wanapokosa pesa na Mimi nikiwa mmoja wapo.
Sasa baada y kumaliza nimeona naweza...
Nimepokea sms ya kutakiwa kujiandaa nikakopeshwe is as if Hawa watu wanajua mshahara umeongezeka.
Yaani utafikiri nina miadi nao. Jamani nina mikopo mingi Sana slip inakaribia kujaa. Nyie watu hizi sms zenu Sina stua Sana. Haya mambo yaacheni bana
Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja.
Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
Nimejaribu kufuatilia trend ya kupanda kwa dollar inshort inasikitisha na sijui tunaelekea wapi.... Wakubwa fedha zao nyingi zipo interms of dollars ko wanazidi kufurahia tu.
Na pale awamu mmoja ya uongozi inapoingia na nyingine kutoka kuna uchakachuaji mkubwa sana wa kupanda kwa dollar...
Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja.
"Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha...
Naomba msaada wiki nzima sasa nimekwama kwenye demographic infro mtandao kila niki submit nashindwa kwenda mbele mfumo upo slow unashindwa kupokea data.
Je, nifanyaje?
Hapo vip!!
Enzi nikiwa chuo kulikuwaga na kampuni inaitwa Tala, yaani ukijaza form yao tu, wanakupa pesa. Washikaji zangu wengi walikopa ila wengi hawakurudisha.
Huyu jamaa amekuja na wazo zuri ila kwa Waafrika asili yao sio waaminifu, nina imani huo mpango kwa Wazungu ingefanikiwa kwa...
Wanajukwaa heri nyingi ziwafikie. Dhumuni la kuja kwenu leo, ni kujaribu kushare nanyi kuhusu inshu ya serikali yetu kushindwa kutoa mikopo ya tractor kwa wajasilia mali wakulima wenye kumiliki mashamba kwanzia heka 10 na kuendelea.
Natumai hili swala ni zuri sana kama wenye kulifanya hili...
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amesema mikopo ya kausha damu pamoja na urahisi wake wake wa kupatikana ina gharama kubwa. Akitolea mfano, amesema mtu akikopa 50,000 anakatwa 5,000 ya fomu, 5,000 nauli ya mkaguzi kuja kukagua mali zako na marejesho ya jumla ya 75,000 hivyo jumla...
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Noelah Ntukamazina anashirikiana na afisa mwandamizi wa rasilimali watu Abraham Mwakasungula kupata fedha kwenye taasisi ya serikali bila kufuata taratibu za mikopo ya wafanyakazi.
Mwaka 2023, Afisa mwandamizi wa rasilimali watu...
Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.
Tunaomba kujua hapa nina...
"Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote...
Hivi hakuna namna ya serikali kuhakiki mikopo ya watumishi, sawa na jinsi walivyo hakiki vyeti.
Watumishi wengi sana wanaumizwa na taasisi za kifedha... Mwisho wa siku utendaji kazi wao unakuwa hafifu.
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.
Kwa...
Mnaonaje DP World ikiamrishwa kulipa madeni yote ya wanafunzi wa elimu ya juu wanayodaiwa na bodi ya mikopo?
Wakishalipa ndo tukae sasa tuwape terms na conditions zetu kuhusu bandari, then tuwape bandari ya zanzibar kwa miaka 50, wakifanya vizuri tutawapa bandari zetu zote za Zanzibar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.