mikopo

  1. LIKUD

    Hivi "Bush" bado anafanya kazi Bodi ya Mikopo?

    Kuna dogo anazinguliwa kuhusu mkopo nauliza hivi bush bado yupo bodi ya mikopo? Halafu please mnaweza kunikumbusha jina halisi la Bush? Watoto wa udsm 2006- 2010 msaada wenu please.
  2. R

    Kwanini watu wanaendelea kuchukua Mikopo Kausha Damu wakati wengine Wanafilisiwa?

    Wakuu, Mikopo kausha damu inapigiwa sana kelele, na tuomeona watu kadhaa wakiathirika na mikopo hiyo, lakini mbali na hayo yote kutokea na kupigiwa kelele kuwa haifai bado watu wanaendelea kukopa na wahanga wanaongezeka! Kwanini watu wanaendelea kuchukua mikopo hii mbali na athari wanazopata...
  3. Niwaheri

    Wakurugenzi na maafisa utumishi chanzo cha mikopo kausha damu kwa watumishi, hasa walimu na manesi

    Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza inakuwaje mtumishi wa umma anaenda kukopa taasisi zenye riba kubwa na matapeli wakati anauwezo wa kukopa benk kama NMB na CRDB ambapo ni salama kwake. Kumbe chanzo ni nyie nyie serikali kupitia wakurugenzi na HRO, alafu kucha kutwa mnasimama majukwaani watumishi...
  4. Roving Journalist

    Mpanda: Machinga waiomba Serikali kuzifuatilia Kampuni za Mikopo

    Wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuzifuatilia taasisi na kampuni za utoaji mikopo kwa Wafanyabiashara kutokana na kuwepo kwa malalamiko ya udanganyifu ikiwa ni pamoja na utoaji mikopo kandamizi. Hayo yamebainishwa na Wafanyabiashara hao katika Baraza...
  5. Mtemi mpambalioto

    Je, Benki ya DCB ina mrengo wa kisiasa! huu unyonyaji wanaoufanya kwenye mikopo ya waalimu ni maelekezo ya nani tumjue?

    Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi! Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11% Ukiwaambia wakupunguzie...
  6. benzemah

    Rais Samia ameongeza Bilioni 654 bajeti Mikopo Elimu ya Juu

    "Mikopo ni fedha. Tangu shughuli ya kukopesha fedha imeanza miaka 19-20 takriban Tril.7. 3 zimewekezwa. Huu unaitwa ni uwekezaji wa Serikali katika rasilimali watu. Na wanufaika Laki Saba wamepata mikopo. "Katika miaka Mitano au Sita kuanzia 2020-21 kiasi cha bajeti kilichopitishwa ni Bil. 464...
  7. Tlaatlaah

    Wastaafu wanateswa sana na mikopo ya kausha damu wasaidiwe

    Kausha damu ni mikopo ya yenye urahisi sana upatikanaji wake. Ina vigezo na masharti nafuu sana yanayowezekana kwa wakopaji wengi. Kwa upande moja inasaidia sana watu wenye shida na malengo ya kujiunua kiuchumi, na wanafanikiwa bila wasiwasi. Kwa upande mwingine ni mateso, vilio na kusaga meno...
  8. sky soldier

    Bara letu lina upendeleo wa wazi kwa kurundikiwa rasilimali, ni vipi tunaendelea kutegemea misaada na mikopo huku umasikini ukitusumbua?

    Iwe ni madini, mbuga za wanyama, ardhi yenye rotuba, vyanzo vya maji, vivutia, n.k. you name it, vimerundikwa kwa upendeleo wa ajabu sana hili bara. Yani ni ule upendeleo wa wazi wazi, Laiti kama haya mabara yalikuwa yametuma barua za maombi ya rasili mali kwa Mungu basi Africa alikuwa ni...
  9. Intelligence Justice

    Wanafunzi Waliodahiliwa Elimu ya Juu katika Vyuo Mbalimbali Daraja la Kwanza Kidato cha Sita Wapewe Mikopo

    Wana Jamvi JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza niende moja kwa moja kwenye mada. Kabla ya mwaka 2023 wanafunzi waliokuwa wanafaulu kidato cha sita na kudahiliwa katika vyuo mbalimbali Tanzania pamoja na vigezo vya kusomea taaluma maalum za sayansi, udaktari na ualimu kupata asilimia...
  10. G

    Kuna update yoyote ya HESLB kuhusu postgraduate students waliiomba mkopo?

    Habari JF, Naomba kuuliza, kuna amesikia tamko lolote kuhusiana na wanafunzi walioomba mkopo wa HESLB kwa ngazi ya postgraduate? au kuna yeyote aliyefanikiwa kupata? Maana naona kimya kimetanda na vyuo vimeshafunguliwa huku wanaoambiwa wasubiri ni diploma peke yao. Tamko la mwisho...
  11. benzemah

    Bodi ya Mikopo Kuwapa Mikopo Wanafunzi Waliotemwa Samia Scholarship

    Serikali imewahakikishia kupata mikopo wanafunzi 226 ambao wametemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship,’ baada ya kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo. Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...
  12. JanguKamaJangu

    Gazeti la Nipashe limeripoti kilio kuhusu mikopo ya Elimu ya Juu kutoka Bodi ya Mikopo

    UFAFANUZI WA BODI YA MIKOPO: MKOPO UNATEGEMEA NA UHITAJI WA MUOMBAJI KWA ALIVYOOMBA Mkuu wa Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), Omega Ngole anafafanua: “Upangaji wa viwango vya mikopo kwa Wanafunzi wanufaika unatokana na uhitaji wa muombaji kulingana na nyaraka...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Salim Alaudin: Kuna Haja ya Kuharakisha Mchakato wa Mikopo ya 10%

    MBUNGE ULANGA (SALIM ALAUDIN): KUNA HAJA YA KUHARAKISHA MCHAKATO WA MIKOPO YA 10% Wananchi wa Kijiji cha Minepa Wilaya ya Ulanga mkoani wa Morogoro wamesema uwepo wa baadhi ya vifungu vya fedha kumekwamisha kupata mikopo inayotolewa na serikali kwa lengo la kuwainua kiuchumi. Wakizungumza...
  14. Chillah

    Mikopo Kwa Wanafunzi Wa Elimu ya Juu (Vyuo vya Kati na Vikuu)

    Habari Watanzania wenzangu Napenda nami nitoa mchango wa mawazo katika hiki kilio wanacho kutana nacho wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania bara Pia mnivumilie kwa kuwa sio muandishi mzuri sana japo nimewiwa kuandika na Nina imani wapo watao nielewe japo kwa uchache wake na watakao kuwa na...
  15. BARD AI

    Ripoti: Tanzania inatumia 10.1% ya Fedha za Mikopo kulipia Mikopo ya Nje

    Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa ya Takwimu za Madeni (IDS) kuhusu Madeni ya Serikali za Afrika, imeonesha kati ya mwaka 2015 hadi 2023, Tanzania imetumia wastani wa 4.26% hadi 10.1% ya Fedha za Mikopo katika kulipa Deni la Nje. Ripoti imeonesha Nchi 30 za Afrika zinatumia Fedha nyingi...
  16. Objective football

    Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Wakuu poleni na mapambano. sitaki niwapotezee wakati niende moja kwa moja kwenye mada. Kilio changu ni upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2023/2024 kumegubikwa na utata mkubwa kutokana na sababu zifuatazo 1.Account za waliokosa hazina notifications zozote kuwa kakosa...
  17. NGOSWE2

    Utaratibu wa Bodi ya Mikopo (HESLB) unatia shaka

    Utaratibu wanaotumia bodi ya mikopo ya wanafunzi HESLB inaleta maswali mengi sana katika jamii. Utaratibu wa kusema kila mwanafunzi aangalie kwenye akaunti yake inaleta kigugumizi kidogo. Kwa nini wasitumie utaratibu kama vifanyavyo Vyuo wa kutoa orodha ya majina yote ya waliofanikiwa kupata...
  18. JMWAKA

    Tetesi: Bodi ya mikopo (HESLB) kuingia mtaani kusaka wanufaika wasiolipa deni lao

    Kuna taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani. Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao. Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa...
  19. S

    Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

    Serikali kupitia BoT, wamekuja na utaratibu mpya unaoelekeza mikopo ya Watumishi kutolewa online ambapo Mtumishi ataomba mkopo mtandaoni kuputia Watumishi Portal. Hongereni sana kwa utaratibu huu unaondoa kero ya wafanyakazi kukaa foleni benki kusubiri kuonana na Afisa Mikopo wa Benki na...
  20. H

    Bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa level ya diploma ina maana wako 'Satisfactory' kwa level ya degree

    Salaam leo jumapili siku ya Bwana. Kwenye mada. Kwa hali hiyo sitegemei kusikia wanafunzi wa degree wamekosa ufadhili huu muhimu wa mkopo wa elimu ya juu. Kwa sababu kama sikosei hili ndio lengo kuu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu.Kuanzia degree kwenda juu.Kama ipo ya ziada basi sawa na...
Back
Top Bottom