Habari wakuu, nmeona kipindi cha ripoti maalum ITV kuhusu mikopo kausha damu.
Malalamiko ni mengi sana licha ya kuwepo kwa uhitaji wa mikopo na wengine kufikia hatua ya kuomba hii mikopo isitishwe.
Dhamana zinazowekwa na kiasi cha mkopo haviendani kabisa.
Kwa maelezo ya wanawake wengi...
Uchunguzi wa kijasusi uliofanywa na BBC umegundua yafuatayo.
1) Mteja mtarajiwa hutumiwa meseji akiambiwa kwamba amechaguliwa kupata mkopo wa kiasi flani, hivyo afuate link ya ‘playstore’ ili ku-‘download’ na ku-‘install’ app ya kampuni husika.
2) Wakati wa ku-‘install’, ile app inakuomba...
Kuna Thread niliwahi zungumzia juu ya Apps hizi scam za Mikopo.
Sasa Leo tujaribu kuangalia kwa upande wa matapeli wa tuma kwenye namba hii ambalo ni gang kubwa na wanafunikwa na kivuli Cha wakubwa.
Kama nilivyowahi kueleza kuwa
Apps za Mikopo kama vile PesaX, Msafi, Twiga Loans n.k hizi apps...
Habari Wana JamiiForum?
Nilikuwa nahitaji kufahamu je ni sahihi kwa watu wanaokopshe kwa njia ya app kuhack phonebook ya mteja na kuanza kuwatumia watu walio kwenye phonebook ya mteja na kusambaza taarifa za mteja kwa kushindwa kulipa deni ndani ya siku walizokubaliana?
Na isitoshe wanaotumiwa...
Hii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba
Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo
Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi...
UAE in talks to buy Egypt coastline for $22bn
The United Arab Emirates has expressed an interest in buying the Ras El Hekma area on Egypt’s northern coast as a form of economic support for Cairo, Egyptian newspapers have reported.
The privately-owned Egyptian newspaper Al Mal stated on Sunday...
Hii ni taarifa mbaya sana kwa mstakabali wa hatima ya taifa letu.
Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo baada ya mitihani kukaribia.
Kwa mujibu wa utaratibu wa chuo, mwanafunzi atakayeruhusiwa kufanya mtihani yaani UE atawajibika kuwa na kitambulisho cha chuo na sio...
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS Magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati Magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako...
DAR: Watumishi 4 wa akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) akiwemo Mkurugenzi Mtendaji, Jackson M. Ngalama, Emmanuel G. Mdoe (Mhasibu), Pamela M. Sellemia (Mkuu wa Idara ya Mikopo), Timothy P. Mashishanga (Dereva) wamefikishwa Mahakamani kwa...
Mnanikera sana Kila baada ya siku mbili mnatuma tu Text zenu ,mtu kama anahitaji huduma atawafata ofisin kwenu, Na siyo Kila mtu ana malengo ya kukopa kopa hovyo.
Muhudumu wa kwanza alinipigia siku moja kabla ya siku ambayo nilipaswa kulipa na kuniambia nifanye malipo haraka kuna zawadi. Nikamjibu kistaarabu tu siku ikapita.
Muhudumu wa 2 alinipigia siku ambayo nilipaswa kulipa nikamwambia atulie kwakuwa wameweka interest kwa kila siku inapoongezeka ...
Habari wanajukwaa natumaini mbuheri wa afya.
Leo naomba nigusie japo kwa kiasi kuhusu hizi apps za mikopo ambazo kwa Sasa zimekuwa nyingi sana na promotion kubwa inafanyika huko YouTube.
Nimeileta hii mada hapa kwenye jukwaa hili kwasababu hii mada sio ya kisiasa Bali kuweka wazi kwa...
November 2023 Waziri mkuu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha na kutoa maagizo kwa Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Wizara ya Fedha kumaliza mchakato wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 uliokuwa...
Ndugu zangu kuna taarifa nimezipata kuwa inadaiwa kuna Mgodi umetitia kutokana na mvua zinazoendelea Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu na Watu kadhaa kufukiwa.
Mgodi upo Kijiji kinaitwa Ikinabushu, details za jina na kilichotokea zaidi bado sijazipata.
Mliopo karibu na Bariadi tupeni taarifa...
Mikopo inayotolewa na hazina katika mkoa wa Tabora imejaaa rushwa na ukilitimba. Hii ipo zaidi katika Tabora manispaaa pamoja wilaya ya Uyui ambapo maafisa utumishi wako wazi kabisa wanakuambia bila kuacha 10% hupati pesa na wakati mwingine wakipigiwa simu hawapokei.
Lengo la serikali...
Kwa takehome below 700k ,nifanyeje nisione dunia ni jehanamu wala kuwa ndugu, jamaa na marafiki kuhusu mikopo ama kuenda benki ambao riba zao ziko juu sana.
Wazoefu, wachumi na waatalamu niwekee mgawanyo wa bajeti safi ya mwezi ili niwe debt free.
Maana sukari iko juu, vyakula vikojuu, kodi nk
Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha wanafunzi wa elimu ya kati.
Ki ukweli hali ni tofauti wanafunzi wengi wenye vigezo hawajapewa...
Kumekuwa na matangazo mbalimbali yanayohusiana na mikopo kwa wafanyakazi nadhani ni Tanzania Nzima.
Mfano kwa wilaya ya Uyui kuna 400, Tabora manispaaa kuna bilion 3, kwanza tunashikuru viongozi wa wilaya na mkoa kwa kutangaza mikopo hiyo kwani kuna wilaya ya nyingine na mikoa hakuna kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.