Jambo la utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ambao wengi wao ni wanawake vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi kwa kiasi kikubwa.
Ili kupata Tanzania bora tunayohitaji lazima serikali iangalie kwa kiasi kikubwa juu ya kutafuta njia mbadala ya kuweza kuwawezesha watu wengi zaidi...
Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo hadi hadi kufikia Mei 16, 2024 Nchi 10 zilikuwa na Deni la takriban Tsh. Trilioni 72.3.
Aidha, Nchi...
Napenda kulalamikia makampuni ya mikopo madogomadogo na assasi zisizo za kiserikali, kurekebisha kauli zao na misimamo yao, Mtu anapoomba mkopo nikwamba anahitaji mkopo ule ajikimu na matatizo aliyonayo, lakini badala yake wao hu (upload users devices data) mfano Phonebooks na meseji kisha mteja...
Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba?
Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii mingi ya Mwigulu inafanya kazi tarajiwa? Tutaweza kuirejesha kwa wakati uliowekwa?
Baada ya Mwigulu...
Tatizo la mikopo umiza maarifu kama "kausha damu", linazidi kushika kasi hapa nchini huku Benki Kuu yenye dhamana ya kusimamia na kuendesha hii biashara, ikiionekana kushindwa kabisa kudhibiti uholela wa hii biashara japo teyar kuna sheria na Kanuni za kusimamia uendeshaji wa hii biashara...
Habari za mida hii GT...niende kwenye mada
Katika kujikwamua na maisha ya kawaida huenda ukajikuta unaingia benki na hivyo kufanya mawasiliano na afisa mikopo...
Picha linaanza ambapo huanza kukupigia hesabu za mkopo wa muda mrefu mfano miaka 9...
Tatizo linaanzia pale ambapo mnakubaliana...
FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako
Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya mambo mengine binafsi na ya kimaendelea au ya kifamilia
Ni mambo gani unaweza kuyafanya ukiwa na mfumo...
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kipindi cha mwezi Aprili, 2024 linawashikilia watuhumiwa 424 kwa tuhuma ya kujihusisha na matukio ya Ukatili wa kijinsia, Uvunjaji, Wizi, mauaji, utapeli kwa njia ya mtandao, Kujifanya mtumishi wa serikali, Kughushi nyaraka, dawa za kulevya, ukiukwaji wa sheria...
Tanzania kuna mtandao mkubwa umeibuka wa utakatishaji fedha unaoongozwa na wanasiasa na viongozi wa umma wanaokwapua fedha za walipa kodi zisizo haki yao.
Kutokana na watu hawa kupata fedha wasizo na uchungu nazo wametengeneza application zakutoa fedha online kama mikopo. Masharti yao...
Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua
Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani.
Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia...
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeona Serikali inataka kuwapa mikopo na hawa diploma, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yaani kujibebesha mzigo juu ya...
1. Hukumu hii ni halali kabisa according to my legal observation. Reasoning ya waheshimiwa majaji iko correct...time barred serving of legal documents to respondents. under the following preliminary objection:
The amended record o f appeal by the appellant was served on the 1st, 2nd, and 3rd...
SIRI ZAVUJA MIKOPO CHECHEFU
- Jaji aliyehukumu kihuni kesi za wafanyabiashara waliokataa kulipa mkopo waliokopa kisha kukimbilia mahakamani na kuwapa ushindi ahamishwa mahakama
-atolewa mahakama kuu divisheni ya biashara na kupelekwa mkoa mmoja wa nyanda za juu kusini
-Wafanyabiashara...
JItihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu...
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye wakaenda mahakamani kupinga kulipa mikopo hiyo.
Kwa unyeti wa taarifa hizi ni wazi kwamba wapo watu...
Kumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie kukatwa riba tu na sio vipengele vingine kandamizi kwa mteja.
Habari wana jamvi.
Naomba kuwasilisha mada hii kuviomba vyama vya Upinzani vipaze sauti kuhusu utaratibu mbovu ambao kwa sasa Halmashauri nyingi Nchini wanafanya kutoa mikopo kwa kigezo cha kuwa mwanachama wa CCM hasa vikundi vya wanachama wao ndivyo vinapewa mkopo.
Niko Mkoa x na ninafanya...
Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi.
Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa na mtoto wao.
Lakini sasa shida ni moja, mfanyakazi mwenzake anayeitwa Stu.
Bwana huyu naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.