mikopo

  1. Magazetini

    Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  2. Accumen Mo

    Kujitokeza kwa malalamiko mengi ya watanzania kudhalilishwa na apps za mikopo, ni ishara tosha watanzania 98% sio waaminifu kwenye kukopeshwa

    Mnaendeleeja ndugu zangu watanzania, Rejea kichwa cha uzi hapo juu, kwa masikitiko napenda kuwaambia huu ukweli , watanzania wengi sio waaminfu linapokuja suala la kukopeshwa . Hizo apps zisingekuwa zinawadhalilisha kama mngekuwa mnalipa, kwanza mda wa marejesho mnakubali wenyewe ila baadae...
  3. Friedrich Nietzsche

    Mikopo gani yenye riba nafuu zaidi Tanzania inaweza kukutoa

    Wakuu swali hili nimeuliza mara kibao na Hamniambiii……Na ilihali mnajua Semeni bas NB:KUFICHA TAARIFA MUHIMU SI UTU
  4. Gulio Tanzania

    Naomba msaada kublock matangazo ya mikopo yasinifikie

    Habari zenu wadau Nimekuja hapa kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba msaada wakublock haya matangazo ya mikopo yasinifikie Mwezi iliyopita nilifiwa na tangazo la mikopo kuwa wanakopesha Hadi millioni moja nika click link kupakua App baada ya kujisajiri nakutana mkopo unaanzia...
  5. K

    Kwanini asilimia kubwa ya fedha inayotekeleza miradi katika nchi hii ni fedha za mikopo?

    Kama nchi tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika nchi hii. Karibu zaidi ya asilimia 90 ya miradi yote inayotekelezwa katika nchi yetu ni fedha za mikopo huku tukitamba kuwa Mama analeta fedha za miradi kumbe ni fedha nyingi ni za mikopo...
  6. B

    Hujuma kwa wateja, Makampuni ya Simu yanatoa namba za simu kwa wanaotoa mikopo haramu mtandaoni

    Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Swali la msingi ni kuwa hawa wanaokopesha wanapata wapi namba za ndugu zako, jamaa, na marafiki ambazo wanazitumia ujumbe kuwataarifu kuwa unadaiwa, umeshindwa kulipa mkopo,na maneno mengine yasiyo na staha. Fikiria mkopeshaji ambaye si tu hajawahi hata...
  7. and 300

    Nani anatuwakilisha mkutano wa G7

    Kama mnavyojua mkutano wa mataifa tajiri duniani (G7) umeanza huko Italy. Mataifa hayo ni Italy (Mwenyeji) Germany, France, USA, UK, Japan na Canada wanakutana kujadili mustakabali wa dunia. Je, nasi tunawakilishwa na nani huko? Ilikuwa fursa muhimu kupeleka agenda/ombi maalum huko, tupate...
  8. R

    SoC04 Matumizi ya Vyeti vya Elimu ya Juu kupata mikopo

    Kwa wahitimu wa Elimu ya juu mtakubaliana na mimi kuwa changamoto ya ajira imekuwa tatizo kubwa sana, Serikali, taasisi binafsi wamekuwa wakitafuta njia za kuondosha tatizo ili la ajira.Watu wengi wamehitimu masomo ngazi tofauti lakini baada ya kumaliza ajira zimekuwa ngumu.Taasisi za mkopo...
  9. Mlalamikaji daily

    Bank ABC yauzwa kwa acces bank na kuzua taharuki kwa walioomba mikopo

    ABC wamerusha taulo, Na kuuzwa kwa access bank, Lakini kuna wateja ambao walikuwa wameomba mikopo kipindi kabla ya June 1, Hata hivyo mpaka sasa nikizungumkuti, Kwani hakuna malipo yoyote yamefanyika toka tarehe moja, Na hata nilipo jaribu kufika ofisini kwao Nilijibiwa kwamba wapo kwenye...
  10. J

    Wanasayansi ya Finance tujuzeni Unafuu wa Mkopo (soft loans) uko kwenye Riba au Dhamana?

    Ni vema nyakati hizi tukawa tunaelezana mambo kwa usahihi kabisa tukiongozwa na nguli wa industry husika Kwa sasa story ya mjini ni mikopo Niwaombe Nguli wa Finance watujuze Mikopo Nafuu kwa level za kimataifa tunaipimaje Kwa rate ya interest? Au kwa Collateral inayohusika na mkopo? Ama...
  11. kmbwembwe

    Rais Samia anasema anakopa kwa riba ndogo, je ana uhakika sio mikopo kausha damu?

    Rais Samia kwenye hotuba yake kupokea gawio za mashirika ya umma na yale yenye hisa za serikali kuna mambo amesema yanatia mashaka. Kwanza kufuatana na msajili wa mashirika hazina ni asilimia ndogo tu ya mashirika yametoa gawio kwa hivyo hapo bado hali ni mbaya vigogo wengi bado wanakula...
  12. Nyanda Banka

    Dawa ya deni ni nini kwani

    Kwanini Bongo ukimkopesha mtu siku ya kumdai inabidi utafute sababu na matumizi na maelekezo ya kwanini unaitaka pesa yako Je hii ni halali kweli yani pesa ni yangu na bado nilazimike kutunga uongo
  13. Tukuza hospitality

    SoC04 Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu itolewe kwa wote watakaoomba

    Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi (“Structural Adjustment Programme”), mpango uliofadhiliwa na Benki ya Dunia (“World Bank - WB”) na...
  14. Paspii0

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za mikopo ya Elimu ya juu, na kuweka utaratibu mzuri wa marejesho Kwa wote hata kwa ambao hawapo sekta rasmi

    UTANGULIZI. 👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza upatikanaji wa elimu ya juu na kusaidia kuboresha ubora wa elimu nchini Tanzania. 👉Baada ya kumaliza...
  15. Megalodon

    BoT, TCRA ifanye auditing kwenye mikopo ya Mpesa, Tigo na Airtel . A case of MGODI

    Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT. A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be against BoT guideline. 1. Informant amekopa kiasi cha 84,800, Mgodi huwa wanakata kwanza riba yao...
  16. Kidaya

    SoC04 Mikopo kwa wanamichezo ili kuinua sekta ya michezo, sanaa na utamaduni

    Michezo, Sanaa na utamaduni ni ajira, burudani, biashara na utambulisho wa Taifa. Sekta ya michezo, sanaa na utamaduni ni sekta muhimu kiuchumi katika nchi zilizoendelea kwa mfano nchini Uingereza, sekta ya michezo inakadiriwa kuchangia kiasi cha Tsh. trilioni 110.9 kwa mwaka kwenye pato la...
  17. mbongowakweli

    Waziri Mwigulu: Kuna Bilioni 48 Wajasiriamali mtakopeshwa

    Waziri Mwigulu asema ‘Wajasiriamali kuna Bilioni 48 mtakopeshwa’ Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema, kwa mwaka 2024, Mfuko wa Huduma Ndogo za Fedha – SELF unatarajia kutoa mikopo yenye masharti nafuu ya shilingi bilioni 48 kwa Wajasiriamali 48,000. Akiwasilisha Makadirio ya Mapato...
  18. Pdidy

    Kampuni za mikopo ya mtandaoni zinatoa wapi namba zetu kwa sisi ambao hatujawahi kukopa?

    Si mbaya kuuliza, nimewaza tu kama haya makampuni ya simu yanakopwa na Jesca ama Betty. Gafla mimi natumiwa meseji na haya makampuni ya kukopa ati ndugu ama mfadhili wa Betty unaombwa kumjulisha tapeli ametaka kututapeli kiasi kadhaa. Nawaaambia nimeshtuka sana, gaflaaa nikauliza umepata namba...
  19. Influenza

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yazionya Taasisi za mikopo zinazodhalilisha watu ikiwemo kutuma ujumbe kwa ndugu

    Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Emmanuel Mkilia amezionya Taasisi na Watu Binafsi wanaotoa Mikopo na kisha kuwadhalilisha Wakopaji ikiwa wameshindwa kurudisha Mikopo Amesema, “Tutoe onyo kwa watu/Taasisi za Mikopo zinazowanyima haki ya faragha wateja kwa kuweka mikataba...
  20. J

    Kulikuwa na haja gani kusomba utitiri wa watu wasiokuwa na impact kwenda Korea kutumia kodi za watanzania masikini kwa ajili tu ya kusaini mikopo?

    Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.
Back
Top Bottom