mikopo

  1. upupu255

    Kausha damu zote zifungiwе, benki zibaki kuwa taasisi pekee za kutoa mikopo

    Wadau za wikiendi! Wakati napita facebook huko nikakutana na post ya huyu jamaa akanikumbusha maumivu ya hii mikopo maarufu kausha damu namna ambavyo ilidhoofisha afya ya dada yangu, akihangaika kulipa mikopo ya aina hii. Stori gani unaikumbuka ukisikia kausha damu?
  2. Kalaga Baho Nongwa

    App zetu za mikopo umiza mmezifanya nini tena wazee?

    Ah wapi! Sitoi salamu Serikali mbona mnatunyanyasa asee?. Mnataka sisi hela za nyagi tuzitolee wapi? Jamaa tumeshawazoea kupigizana kelele mikwara kibao. Leo nimeamua kutafuta bifu na bahari pesa miksa finiloan naona zote zimefungiwa. Kalaga Baho
  3. Ojuolegbha

    MIKOPO KWA WACHIMBAJI WADOGO

    Serikali imeendelea kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini. Katika kipindi cha julai 2023 hadi machi 2024 jumla ya shilingi bilioni 187 zilikopeshwa kwa wachimbaji ukilinganishwa na shilingi bilioni 145 zilikopeshwa mwaka 2022 sawa na ongezeko la shilingi bilioni 42.
  4. muafi

    Processing fee ya mikopo ya benk ni wizi uliokaliwa kimya

    .
  5. Bonsipele69

    Ukitaka kumkopesha pesa ndugu yako hakikisha mnakumbatiana kabisa

    Wanajukwaa kama mnavyojua kumkopesha pesa ndugu yako lolote linaweza kutokea hivyo hakikisha mnakumbatiana kwa mara ya mwisho. NB; Usimkopeshe ndugu yako pesa bali mpe kabisa Soma Pia: Usimkopeshe ndugu yako
  6. Roving Journalist

    Bodi ya Mikopo (HESLB) yasogeza mbele muda wa kuomba mikopo ya Chuo Mwaka 2024/25

    Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa...
  7. 1987SANAWA

    Maafisa mikopo wa crdb hawajapenda mfumo wa ESS ambao unawapunguzia ulaji

    Habari wanajukwaa! Kuna mfumo wa watumishi wa umma unaitwa employee self service ess, kupitia mfumo huo watumishi hawahitaji kubeba nyaraka nyingi ili kukopeshwa mambo yanaishia online. Kutokana na maendeleo hayo maafisa mikopo hawajafurahi hivyo kuamua kukwamisha mikopo na kuwataka watumishi...
  8. Alfred Daud Pigangoma

    Uombaji wa mikopo kwenye Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu Tanzania 2024/2025.

    Wadau Salaam, Naomba kuuliza kama unaweza kufanya process ya kuomba mkopo bila ya kuwa na ADMISSION NUMBER kutoka chuo chochote! Kwani hii imetokana na dirisha la mikopo kufikia tamati tarehe 30 August ili hali matokeo ya chaguzi kuanza kutangazwa kuanzia tarehe 03 September na hapo ndipo...
  9. A

    KERO Makampuni ya mikopo na matangazo yao ya biashara yanaingilia faragha zetu

    Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao. Idara za masoko za makampuni ya kukopesha yamekua yakituma msg kwa wananchi kujitangaza ili kuoata wateja. Hofu yangu kubwa ni wapi wanapata...
  10. C

    Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  11. Ofisho mlinzi

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambazo mkataba wake sio wa kudumu

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambao mikataba yao haizidi mwaka m1
  12. Tlaatlaah

    Vyama vya siasa nchini vinavyojiendesha kwa mikopo hatarini kusambaratika na kuvunjika kabisa

    madeni makubwa yasiyoeleweka wala yasiyolipika ni miongoni mwa hatari zinazo zengea zengea kwenye korido za miongoni mwa vyama vya siasa vikongwe na visivyo vikongwe kwenye ulingo wa kisiasa humu nchini.. hali hii ya madeni kupindukia, imepelekea kutokua kabisa na meno au sauti ya kukemea...
  13. Mparee2

    MUAROBAINI WA MIKOPO UMIZA, MAREJESHO nk huu hapa!

    editing.....
  14. Meditator

    Hivi kuna kipengele cha ku-attach affidavit unapofanya maombi Bodi ya Mikopo (HESLB)?

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavo jieleza tajwa hapo awali. Mimi ni kaka na nina wadogo zangu wawili, mmoja kamaliza Kidato cha sita mwaka huu na mwingine yupo Kidato cha nne. Mi Sina elimu kubwa sana kitu ambacho huwa na wapambania sana madogo wasome wafike mbali ili watimize...
  15. Girland

    Mjadala: Benki nzuri kwa mikopo ya wafanyabiashara (15m-500m)

    HAKUNA TAJIRI ASIYEKOPA! Umewahi kuwasikia watu wakisema hawakopi au kujisifia kwamba hawakopi kwenye biashara zao? Ukweli ni kwamba matajiri wote unaowajua wanakopa, ELON MUSK, alikopa kuinunua Twitter (sasa X), Mohammed Dewji MO alikopa benki ya First Rand Afrika kusini. Sasa Kama Elon Musk...
  16. Pfizer

    TCB kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali kuwawezesha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo

    TCB KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO NA WA KATI KUPATA MIKOPO Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na...
  17. Kifurukutu

    Tetesi: Inadaiwa Mmiliki wa App za mikopo mtandaoni ni bilionea kijana kutoka Tanzania

    Wakuu Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa...
  18. Hyrax

    Hawa Jamaa ni kweli wanatoa mikopo ya magari mtandaoni au ndio cheche?

  19. A

    KERO Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa

    Sasa kuna changamoto imejitokeza hapa chuoni kwetu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata mkopo mwaka jana (2023) na ambao waliokata rufaa. Sasa kinachotokea ni kwamba Tawi la CCM Main Campus linawahamasisha na limetoa tangazo kwamba ili mtu upewe mkopo wa...
  20. L

    Umoja wa Ulaya waipa Tanzania Msaada wa Billion 97.

    Ndugu zangu Watanzania, Umoja wa ulaya umeipatia Tanzania Msaada wa Billion 97,Ambazo zitatumika katika maeneo matano ,ambapo miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na uboreshaji wa maendeleo endelevu katika Miji kama vile Kwanza,Tanga na Pemba. Lakini pesa hizo zitatumika pia katika kuwawezesha...
Back
Top Bottom