Kuna kazi kubwa ya kufanya kwa Mwigulu na team nzima ya BOT hizi App zinaendeshwa kwa kanuni ipi au sheria ipi?
Wanatoa wapi kibali cha kukopesha na kutumia taarifa za watu hata wasiohusika na ambao hawajakubali kumdhamini mkopaji?
Soma pia: Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yazionya Taasisi...
Kwa Niaba ya Wadau wananchi wa kawaida kabisa nadhani ni wakati sahihi wa kupazia sauti kadha hii ambayo imefumbiwa macho kwa muda mrefu na vyombo vyetu husika.
Week chache zilizopita niliamua kuvalia njunga swala moja la mtu ambae alikua akidaiwa na App moja ya Mtandaoni ikiitwa *SUNN LOAN...
Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Nchemba , tunaomba kujua huyu mtu ni nani hasa na je, BOT walimpa leseni ya kufanya hii biashara kihalali hapa nchini?
Na kama ana leseni, basi Waziri Mwigulu hebu chunguza leseni ya huyu bwana kama imetolewa kwa njia halali hasa kutokana na riba wanazochaji, muda...
JAMHURI YA MUUNGANO WA KOREA TANZANIA DOLA BILIONI MOJA..
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa kutenga kiasi cha dola za Marekani Bilioni 1 zitakazotolewa kwa njia ya mkopo nafuu kwa Tanzania kupitia Mfuko wa Shirika la Maendeleo...
Vijana wa kikundi cha Kusakizya wilayani Mpanda mkoani Katavi ambao ni wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri, wameeleza kuwa mkopo huo umewawezesha kupata ajira za kuduma kupitia mradi wa kusindika na kuuza mafuta ya alizeti.
Kwa mujibu Muhasibu wa...
Salaam, shalom!!
Nimesikiliza hotuba ya kiongozi wetu mkuu akisema kuwa, waliamua kuongeza Kasi ya kuchukua mikopo Kwa kuwa walijua wananchi wengi ni wakwepa Kodi hawalipi Kodi ipasavyo.
Kwamba mikopo iliyopatikana, ilikwenda kuziba pengo la matumizi ya upungufu wa makusanyo ya Kodi.
Kwamba...
Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha.
1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike
Nimehuzunika Rais anapokiri ya kwamba mikopo tunayokopa inatufanya tunyanyasike. Huyu ni udhaifu mkubwa wa...
Kuna kampuni ya kutoa mikopo mitandaoni inatumia majina ya "USTAWI LOAN, HAKIKA LOAN, YOYO PESA na BOBA CASH wanatoa viwango vya mikopo tofauti na wanachokitangaza mitandaoni. Mfano, kwenye app yao Facebook wanatangaza kwamba mkopo wao unaanzia 50,000/= na kuendelea ila ukiomba wanakupa 32,000/=...
Kweli dunia ya Sayansi na technology, CEO wa taasisi unaenda kupitisha utaratibu wa Kuwapata wadaiwa Sugu kwa njia ya fichua?
This is total embarrassment to the government na hii ni ishara hatuna watu sahihi kwenye Taasisi za Umma.
Wakopaji wana NIDA, identifications ,
Ujazaji wa form...
Kundi la maafisa wa juu kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya, likiongozwa na Makamu wa Rais Thomas Östros, linatembelea Tanzania kuongeza uwekezaji wao nchini.
Wakati wa ziara hiyo, watakutana na Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, na maafisa wengine wa serikali...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Juni 28, 2024) imezindua Kampeni Maalumu inayolenga kuwashirikisha wananchi kwa kutumia simu na mitandao ya kijamii, kuwafichua wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu.
Kampeni hiyo, inayofahamika kama Fichua imezinduliwa jijini...
Naomba niende Moja Kwa Moja kama kichwa Cha habar kinavyojieleza,Kuna MIKOPO hii ya kwenye mtandao,hasa unapotuma Hela pale unapo pungukiwa basi waanakuboost,ni jambo jema shida inakuja hasa pale unapotaka kukopa kwenye hio MIKOPO,ni MIKOPO ambayo inariba kubwa mno,,mfano unakop sh1000,inatakiwa...
Namna pekee itayoweza kutuamsha kama nchi toka usingizini ni kujiuliza maswali kadhaa…
1.) Tanganyika inakopa jumla ya Trillion ngapi kwa mwaka?
2.) Tanganyika inalipa madeni Trillion ngapi kwa mwaka?
3.) Tanganyika inakusanya mapato ya ndani Trillion ngapi kwa mwaka?
Majibu
1.) Tangu 2021...
Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi Kila siku na kuilipa Kodi serikali zitakuwa ni Rais.
Haiingii akilini ,kitu pesa yangu nalipia Kodi...
Kila siku demokrasia inazidi kujithibitisha kama mfumo wa hovyo sana na haufai kutumika kama mfumo wa utawala.
Zamani nchi zilipoongozwa na wafalme nchi ilikuwa ni mali ya mfalme na vizazi vyake. Nchi ilikuwa kama mali yao binafsi na waliitunza kama mali binafsi.
Wafalme wengi walikuwa makini...
Kupambana na Changamoto za Vijana Kupata Mikopo.
Ningependa kuanza na swali inawezekanaje kijana alietoka kukopeshwa na serikali miezi michache iliyopita milion za pesa awe "hakopesheki" ilhali alikopeshwa bila ya kua na uhakika wa kupato cha kurudisha mkopo huo? Sasa kwanini kusiwe kuna bodi...
Salaam!
Ni jumanne iliyo njema sana.
Moja Kwa moja kwenye mada.
Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu bila kuzingatia kanuni ya 1/3 (Moja ya Tatu) ya mshahara. Nimeshuhudia na/kuona watumishi wakipokea...
UTANGULIZI
Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali hii husababisha serikali kukopa fedha kwajili ya miradi ya maendeleo ikisubiri kutumia makusanyo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.