mila

Milena Markovna "Mila" Kunis (; Ukrainian: Мілена Марківна Куніс; born August 14, 1983) is an American actress. In 1991, at the age of seven, she moved from Soviet Ukraine to the United States with her family. After being enrolled in acting classes as an after-school activity, she was soon discovered by an agent. She appeared in several television series and commercials, before landing her first significant role at age 14, playing Jackie Burkhart on the television series That '70s Show (1998–2006). Since 1999, she has voiced Meg Griffin on the animated series Family Guy.
Kunis's breakout film role came in 2008, playing Rachel in the romantic comedy Forgetting Sarah Marshall. She gained further critical acclaim and accolades for her performance in the psychological thriller Black Swan (2010), for which she received the Marcello Mastroianni Award for Best Young Actor or Actress, and nominations for the SAG Award and the Golden Globe Award for Best Supporting Actress. Her other major films include the action films Max Payne (2008) and The Book of Eli (2010), the romantic comedy Friends with Benefits (2011), the fantasy film Oz the Great and Powerful (2013) as the Wicked Witch of the West, and the comedies Ted (2012), Bad Moms (2016) and its sequel (2017).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Sikuwahi kufikiria kuna siku nitaenda kwa "Mganga wa kienyeji" lakini sikuwa na budi kwenda kwajili ya mtoto, chanzo kikiwa mila za mama yake

    Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa nawashangaa. Fast forward 2020 mtoto alikuwa na matatizo flani ya kiafya, mama yake (mke wangu)...
  2. Fyn b0y

    Kurejesha Mila na Desturi za Tanzania Katika Karne ya Digitali

    Je, Tunaweza Kuweka Utamaduni Wetu hai
  3. Yoda

    Makabila yapi Tanzania yana mila za wanaume kukanyaga au kuruka wanawake waliola chini?

    Mila nyingine zinachekesha sana, mojawapo ni hii mila ya kukanyaga au kuruka mawowo ya wanawake waliola chini.
  4. a sinner saved by Christ

    Mila za jadi na mizmu ya ukoo

    Nilipokuwa mdogo kiroho miaka 10 iliyopita,nilikuwa nikishiriki mila za jadi zilizohusisha kutambikia mizimu na kuomba kwa mizimu na kupekela sadaka kwa mizimu. Sadaka kwa mizimu zilikuwa ni mnyama wa kuchinja kuku,mbuzi,kondoo n.k chochote cha kuchinja damu imwagike Pombe ya kienyeji mbege...
  5. Accumen Mo

    Asili na mila za mwafrika ni zipi?

    wasalaam ndugu zangu Niende moja kwa moja kwenye mada :Je, ni ipi asili au mila za mwafrika ? Kumekuwa na maneno utasikia ''sisi tuna mila zetu '' ''Tuna tamaduni zetu kabla ya kuja wakoloni " Hayo maneno hapo ni ya kinafiki na kipumbavu kabisa ,hakuna mila wala tamaduni za mwafrika kwa sababu...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Zamani Wazazi waliuza Binti zào Kwa Kile kiitwacho Mahari. Kwa Sasa ni Mila Potofu na biashara haramu

    ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka ya Nyuma kidôgo. Biashara ya kuuza na kununua binadamu ilikuwa kwa namna tofautitofauti...
  7. S

    Mila ya kuua waume wenye mali ya baadhi ya wanawake wa makabila ya kiafrika

    Nlikuwa najiulizaga saana kwanini huku kwetu Africa wanawake huwa ndio wanaishi miaka mirefu saana hadi kuwa vikongwe lakini wanaume zao huwa wanakufa huko mwanzoni mwanzoni tu. Kwanini watu wengine kama vile wazungu wachina wote huzeeka pamoja,mbaka pale niliposikia tukio la jamaa...
  8. Q

    Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima ya mila hizo na kuendelea kuvutia utalii. Rais Samia ametoa wito huo leo, wakati akifunga mafunzo ya...
  9. Pang Fung Mi

    Ndoa za wake wengi ni chaguo la mwanaume na kwa wanawake ni mila na suna ya imani na hulka ya wingi ndani ya nafsi za kike

    Habarini nyote na Amani iwe nanyi Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu...
  10. MrfursaTZA

    Waafrika, kumbukeni Mila na Desturi zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  11. MrfursaTZA

    Waafrika, Kumbukeni Mila na Desturi Zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  12. Yesu Anakuja

    Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

    Kama wataniondoa kwenye kabila poa tu: Ni kitu ambacho naogopa kukisema hapa, ni siri kubwa sana kwenye misiba, ile tunaendaga kuzika home. Wachaga hukamua viuchafu fulani na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila inasemekana laana ya kifo itakuwa imegawanywa kwa watu wengiii...
  13. M

    SoC04 Mila, desturi na maadili yanayo tutambulisha kama taifa ili kufikia ustaarabu wa kimaendeleo

    Yawezekana yapo machapisho mengi yahusuyo mila,desturi na maadili lakini yakawa tofauti na wazo langu. Ndio Tanzania nchi yangu ina takribani makabila mia na ushee ambayo yanatofautiana katika tamaduni,lakini yanashabihiana kwenye lugha na asili. Makabila yote hayo kwa wingi wake yametuunganisha...
  14. MK254

    Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

    Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine. ======================== Muslim refugees heading...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ijue mila ya kubadilishana wake ili kuukwepa uchawi

    JE UNAJUA?? Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina?? Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya uchawi au kufanyiwa vitendo vya kishirikina Je wewe unaweza kubadilishana mke na mwanaume mwenzio kwa...
  16. U

    Je, Ndugu zetu wanaokula fungo wanazingatia mila zao au ni kutokana na uhaba wa nyama?

    Je Ndugu zetu wanaokula fungo wanazingatia mila zao au ni kutokana na uhaba wa nyama? Wadau hamjamboni nyote? Nimeleta hoja hii muhimu nilitarajia majibu yasiyo na kero wala karaha Nauliza kuwa wale ndugu zetu wanaokula yule mnyama mwenye harufu kali ya kuchefua aendaye kwa jina la fungo Je...
  17. Shining Light

    When Mila Kunis talked about her opinion concerning Pregnancy

    I think it's truly funny when men say we are pregnant, and don't know the hormones acting up, random food cravings, pain, sleepless nights and body discomfort.
  18. mchawi wa kusini

    Kuna makabila yana mila na desturi ngumu sana

    Kabila la Hamer na desturi ngumu Kabila la hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha mila na desturi ya kuthibitisha uwezo wa mwanamke kuvumilia magumu kwenye ndoa! Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahari inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa...
  19. Tlaatlaah

    Demokrasia ni zao la mila na desturi ya kuvumiliana, subra na ushupavu

    Ili kuishi comfortably kwenye mazingira ya kidemokrasia, ni sharti uwe mwenye uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu maana halisi ya demokrasia yenyewe. Zaidi sana yafaa, ufanye mazoezi ya mara kwa mara na ya kutosha, ya kushinda ama kushindwa si tu uchaguzi pekeyake, bali pia hata yale yenye...
  20. THE BIG SHOW

    Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

    Friends and Our Enemies, Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar... Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar. Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi...
Back
Top Bottom