Jamii tunayoishi imekuwa na mambo mengi ya kustaajabisha ambayo ukikaa kuyatafakari Kwa undani yanatokana na mambo ya kimila, watu wamekuwa wakiishi Kwa mateso wakijua hayo ndio maisha Yao kumbe ni Mila gandamizi, mfano huku kwetu Kusini kumekuwa na Mila za kupeleka watoto wadogo umri wa miaka...