Leo nimeshuhudia wigi la mdada limeanguka baada ya kunata kwenye mlango,aisee ki ukwel ana kichwa kibaya saaaaanaa.
MY TAKE
Kama ni mdada na unavaa mawigi ongeza umakini usije kuaibika kama una kichwa kibaya.
Wapi naweza kupata, fremu na top za milango ya mninga kwa bei nafuu; top isizidi 200,000/=, na fremu isizidi 90,000/=; hiyo gharama iwe mpaka kufikisha eneo la ujenzi, Arusha.
Milango na fremu 16pc, ila kazi inaweza kufanyika kwa awamu.
Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia.
Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
Wakuu Naombeni ufahamu, fundi kaniwekea milango aina ya mkongo, baada ya wiki mbili imepasuka kama picha inavyoonyesha, naomba kujua tatizo ni nini na nitairekebishaje.
Habari za wakati huu Wana JF.
Leo nimerudi tena Ndugu Zanguni, Nauza Milango MITANO (5) ya MNINGA.
Ni mipya kabisa, bei ni tsh Laki mbili na elf hamsini (250,000/=) kwa mlango MMOJA. Maongezi yapo KIDOGO.
Napatikana TABATA KINYEREZI Dar Es Salaam
Karibuni SANA 0768 838320.
Kwa anayeitaji...
Mwonekano wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Mtakuja iliyopo Wilaya ya Ruangwa ambayo imeshatumia Tsh. Milioni 75 hadi sasa.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU wilayani Ruangwa kufanya uchunguzi wa...
Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri.
Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango hivyo wakipiga plasta haitokua imejaa! Wakipiga plasta then Uje uweke Milango haitokua imeshika...
Siku za hivi karibuni kumekuja ubunifu wa milango ya chuma,
Milango hiyo mwanzo ilianza kuonekana ktk maduka ikitokea nje ya nchi.
Lkn bahati nzuri pia mafundi wetu wa vifaa vya grill nao wameanza kutoa milango kama hiyo ya nje lakini walitengeneza kwa mabati magumu sana wakiunganisha kwa...
Nimeona jambo lisilo la kawaida katika eneo la Temboni, gari la mwendo Kasi linapakia abiria kupitia milango inayotazama katikati ya barabara. Kibaya Zaidi wakati wanapakia Kuna gari zinapita kwa Kasi huku abiria nao wakikimbia Kwa Kasi Jambo ambalo kiusalama siyo SAHIHI. Wakati haya yanafanyika...
Habari zenu ndugu zangu. Baada ya salam, ningependa niende kwenye mada husika kwa kutumia mifano hai iliyopita.
Katika historia ya nchi yetu toka tapate uhuru mpaka leo, hakuna kipindi kilichokuwa na changamoto za kiusalama kama kipindi cha miaka ya 1989 hadi 1993. Hiki ndio kipindi ambacho...
Tushindwe wenyewe....yaani Wakenya tuna subira mithili ya chui, tunanyatia nyatia na kusogelea na kupiga mahesabu ya mbali, ila pale tutachomoka huwa hatukosei maana lazima meno yang'ate kwenye shingo.
DRC na ukanda wote wa EAC upo kwapani tayari, hawa Wahabeshi ndio walikua mfupa uliomshinda...
Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.
Pia soma; Spika Job...
Amani kwenu Wakuu.
Elimu ya mahusiano ni kubwa na watu wengi wamekuwa wakielezea mambo kadha wa kadha, kwa upande wangu naomba kujikita katika muktadha tofauti kidogo kwa namna yake japo kwa ujumla wake mambo yanaweza kuwa yaleyale kama ambavyo huelezwa na watu wengine.
Bila shaka utakubaliana...
Je unahitaji kuimarisha ulinzi wa nyumbani kwako kwa kuweka alarm lakini
changamoto ni hela?
Kama una madirisha ya aluminium, Je umewahi kuibiwa simu kupitia
dirishani wakati wa usiku
Je unajua wezi ni rahisi kwao kufungua madirisha ya aluminium au kuvunja
vitasa na kuingia kupitia mlangoni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.