Maafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa kwenye Serikali.
Kundi hilo limesema mabomu ya machozi yalifumika kuwasambaratisha wakati wakijaribu kutembea kwenda Ikulu ya Rais.
Huu ni...
Wakati tunahamasisha wahitimu wetu kuingia zaidi kwenye ujasiriamali kama njia ya kukabiliana na ukosefu wa ajira, ninaamini bado kuna nafasi katika soko la ajira la nje hatujaitumia vema. Kwa sababu kama soko la ajira la ndani limekuwa gumu kuna uwezekano wa kutafuta ajira nchi zingine. Hapa...
Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana.
Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi.
Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox...
Kuondolewa kwa Vikwazo 30 Kati ya 64 vya kibiashara baina ya nchi ya Tanzania na Kenya, kumechangia kufunguka kwa milango ya kibiashara katika Mpaka wa Namanga.
Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu.
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu...
Nimekuwa nikifanya biashara ya kutengeneza Milango ya mbao za Mkongo toka Mkoani Tabora. Kama unahitaji wewe Binafsi au unaweza niunganisha na Makampuni ya Ujenzi naomba tuwasiliane tuongee biashara.
Mbao ni za Mkongo. Haziliwi na wadudu na Haziozi nadhani kwa wajuzi wa mbao wanazifahamu hbr...
Hii ni habari njema kwamba kumbe palipo na jitihada kubwa, hali inaweza kutengamaa. Nani hakuyasikia ya Italy, Spain nk?
https://edition.cnn.com/travel/article/pandemic-travel-news-new-york-california-europe/index.html
Ni wazi kuwa mpambano haukuwa bure, maisha yameokolewa na matumaini sasa...
Rais wangu, nimekusudia kuendelea kukuandikia kwa nguvu zangu zote. Ninafanya hivi kwa utambuzi kuwa haya ndio mapenzi yangu kwako, ndio wajibu wangu wa msingi kama Mwana-CCM na Mwananchi mwema wa Tanzania. Wakati wa JPM nilifanya kazi hii kwa kiwango kizuri, licha ya masimango niliyoyapitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.