Historia ya Cde Bakari inaendelea kumtafuna kwa alikotoka na ambako yupo. Alipokuwa kwenye sekretarieti kama katibu wa vijana Simanjiro alikuwa kikwazo sasa kwa wilaya ya Missenyi ndio kawa kikwazo kabisa kama bosi wa chama. Ndugu Katibu Mkuu najua utakuja Missenyi ila naomba kabla hujafika...
Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia kivuko hicho kutokuwa salama wakati wa kuvuka
Inaelezwa kuwa hali hiyo wamedumu nayo kwa zaidi ya...
Umoja wa Mataifa unaoshughulika na Idadi ya Watu ‘UNFPA’ umesema wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufikisha miaka 18 hali inayowaweka katika manyanyaso na hatari ya magonjwa
Vifo vya uzazi vimetajwa kuwa vingi kwa wasichana wa umri kati ya miaka 15 hadi 19 kwa kuwa viungo vyao huwa...
Shamba la ekari 100
linauzwa, Tshs milioni 12 (laki 1.2 kwa eka 1)
zao la korosho inakubali Sana hapo.
SHAMBA lipo wilaya ya manyoni kijiji cha (....) mkoa wa singida.
Shamba linakubali sana zao la KOROSHO
mazao mengine yanayokubali hapa ni karanga, alizeti, ufuta, njugu, mihogo...
Wanabodi,
Nimesikitishwa sana na kitendo cha yule Mbunge juzi kutoa hoja ya wao wabunge waongezewe mishahara maana wana kazi nyingi sana.
Kama hilo halitoshi Mbunge yule ameenda mbali akisema hata malipo ya mishahara yao yafanyike kwa malipo ya dola za kimarekani. Kwa jinsi hasira zilivyokaba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.