Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
9,504
Reaction score
20,293
Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba

Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio

Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola

Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine

Machozi alienda kwenye show hiyo na kulipwa milioni 12 na baadae Ruge akampigia simu na kumuuliza amelipwa ngapi na alipomtajia kiasi hicho,Ruge akamuambia malipo yake yeye ni milioni moja tu hivyo anatakiwa arudishe fedha nyingine(milioni 11) kwa Ruge

Baada ya mabishano makali, Hussein Machozi aliamua kumpa hela yote milioni 12, hata ile milioni 1 hakuchukua tena, baada ya kuambiwa hivyo na rafiki yake Chief Kiumbe
 
No reform no election
 
Hasira ni hasara
 
hayo Maneno yake tu yanaonesha huyo machozi hajitambui

Yaani show yenyewe amezipata kwa kwenda kumuomba ruge amuweke.

Kwa nini yeye mwenyewe asiandike proposal ikulu kwa ajili ya kuomba tenda awekwe kwenye show hiyo ya kumkaribisha magufuli?
 
Biashara zote na utajiri ni ukandamizaji wa wengine ,kama unabisha hili fuatilia hata kiwandani bado watu wanalipwa elfu 5 kwa siku ila makampuni inaingiza billion of money..Huku Bank ni wanyang'anyaji kabisa riba kibupa ,kesho wanatangaza faida imekua ...Hakuna cha maana huu mfumo lazima uwe na roho mbaya ,kuna watu kwenye media kubwa wanalipa chini ya Milion mpaka leo ila maboss wanazidi kujisifu kweny kupata faida.

Master na P funk wamewakandamiza wasanii miaka na miaka ,mtu anapata faida kubwa kisa biti tu kuliko hata mtunzi wa nyimbo...Hawa vijana ni watu wa hovyo sana.
 
haya maneno tu. Yanaonesha hussein machozi alikuwa anamtegemea ruge ndio maana hata show alikuwa anazipata kwa kumuomba ruge

"
Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola

Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine"
 
Hizi show za serikali za kupigiwa pande, sidhani kama kuna formality kihivyo, labda siku hizi

Sasa kama unapigiwa pande , hujui hizo hela mnagawana na wengine waliofanikisha pande hilo.

Hujui kama ni chain ndefu mpaka pande lifanikishwe.

Bado hujaweka Tax hapo na vibali vingine. Serikali haifanyi biashara na mtu ambaye halipi kodi.
 
haya maneno tu. Yanaonesha hussein machozi alikuwa anamtegemea ruge ndio maana hata show alikuwa anazipata kwa kumuomba ruge

"
Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola

Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine"
Show za serikali ruge ndiye aliyekuwa akitoa kwa wasanii.
Sasa kuna vingine ambavyo Hussein alisema kuna wasanii ambao walikuwa wakiitwa mara kwa mara kama akina Shilole, Dogo Janja Barnaba n.k akataka naye awe miongoni mwao
 
Back
Top Bottom