Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Hakijaandikwa kila kitu, ila jamaa alikuwa amegoma ukaibuka ugomvi na vitisho vingi, baadae Chief Kiumbe akaingilia ndio ikatolewa hiyo 12Kutukanwa na kunyimwa show akaamua kufuata bastola...
Kufanya Show ya 12M single handedly na kuambiwa atapewa 1m pekee wakati ameingiza 12m, akaamua kutoa yote 12...
Huyu Machozi sio consistent....