Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Halafu...Katika watu waliozichakata vilivyo mbususu za mademu n iRuge. Rip
Halafu...Katika watu waliozichakata vilivyo mbususu za mademu n iRuge. Rip
Kibonde RIP nlimjuwa tokea akiwa anaishi upanga enzi hizo anasoma shaban Robert alikuwa brother fulani, Don bosco ilikuwa kama kijiweRuge na Kibonde pesa zao walikuwa wanaishia kununua malaya. Angalia UKIMWI ulivyowatafuna
Wote tumewazika misiba ilikuwa kwa baba zao
Kibs hakuwa na nyumba miaka yote alikuwa anaishi kwa wakwe sijui upande wa Ruge
Angechukua hata mln 6 basi 😄ruge hangeambulia hata mia kwenye hiyo 12M kwa muktadha huo
machozi amekubali kuonewa, hii haikubaliki mimi ingekua utata sana -Angechukua hata mln 6 basi 😄
Sasa kwenye 12 anataka kutoa 1
Ova
Alikubali yaishemachozi amekubali kuonewa, hii haikubaliki mimi ingekua utata sana -
Mkuu, alikuwa tayari kuua kwa kutukanwa ila hakuwa tayari kukataa haki yake isiondoke. Unaona nini hapo?machozi amekubali kuonewa, hii haikubaliki mimi ingekua utata sana -
mambo ya ajabu sana mkuu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 --- ni chaiMkuu, alikuwa tayari kuua kwa kutukanwa ila hakuwa tayari kukataa haki yake isiondoke. Unaona nini hapo?
Kibonde RIP nlimjuwa tokea akiwa anaishi upanga enzi hizo anasoma shaban Robert alikuwa brother fulani, Don bosco ilikuwa kama kijiwe
Familia yao walikuwa washika dini sana maashahidi wa jehovah
Ruge hajaacha chochote,pesa zake aliwekeza chini
Nahisi mzee mutahaba alikuwa bado anamuhitaji maana mpaka sasa alitakiwa awe msaada kwake
Anyway yaliyotokea yametokea
Ova
Daah aisee umeandika sana ila hakuna ukweli hapa pesa za kupewa mkononi wakina Ruge zina kodi kweli...Sasa kama unapigiwa pande , hujui hizo hela mnagawana na wengine waliofanikisha pande hilo.
Hujui kama ni chain ndefu mpaka pande lifanikishwe.
Bado hujaweka Tax hapo na vibali vingine. Serikali haifanyi biashara na mtu ambaye halipi kodi.
Upo sahihi mkuu ingawaje ni hatari sana pia kutokua nayo wahuni wanaweza kuteka familia na wakafanya watakacho..Bastola ni kama jini pepo la mauti ukiwa nalo lazima likusukume kutumia. Ndio maana unashauriwa kutomiliki bastola kabisa kama wewe ni raia mwema.
We huijui bongo daresalaam kuna mambo ya hovyo yanafanywa na watu usiowategemeaTusimshambulie tu Ruge, Habari haijakamilika hii, Walikubaliana kiasi gani? Huwezi kwenda kuperfom hujui malipo yatakuwa kiasi gani. Isije kuwa alikubali 1m kuona 12m akaitaka mwishowe akasusa.
Hata hiyo moja alijitahidi sana wahuni wanataka wachukue zote 12 usipate hata mia na kesho anapiga tena simu.Angechukua hata mln 6 basi 😄
Sasa kwenye 12 anataka kutoa 1
Ova
Hujui kiwanda kinaendeshwaje, kuna watu wakisema NO ni No na wakisema YES ni Yes,hayo Maneno yake tu yanaonesha huyo machozi hajitambui
Yaani show yenyewe amezipata kwa kwenda kumuomba ruge amuweke.
Kwa nini yeye mwenyewe asiandike proposal ikulu kwa ajili ya kuomba awekwe kwenye show hiyo ya kumkaribisha magufuli?
Bado h sio sababu ya kuhalalisha hicho kitu.Tusimshambulie tu Ruge, Habari haijakamilika hii, Walikubaliana kiasi gani? Huwezi kwenda kuperfom hujui malipo yatakuwa kiasi gani. Isije kuwa alikubali 1m kuona 12m akaitaka mwishowe akasusa.
HahahaHao jamaa walikuwa wanachukua mabilion kwa kujifanya dhulma ,kuna mmoja dili zimekata kawa mropokaji .Aliahachanwa na King kiba na TID ..Hao jamaa walienda kusoma nje ili kuja kuwa dhulmat , inakuwaje producer kaweka beat ila anajifanya wimbo kama ni wake.