Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba

Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio

Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola

Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine

Machozi alienda kwenye show hiyo na kulipwa milioni 12 na baadae Ruge akampigia simu na kumuuliza amelipwa ngapi na alipomtajia kiasi hicho,Ruge akamuambia malipo yake yeye ni milioni moja tu hivyo anatakiwa arudishe fedha nyingine(milioni 11) kwa Ruge

Baada ya mabishano makali, Hussein Machozi aliamua kumpa hela yote milioni 12, hata ile milioni 1 hakuchukua tena, baada ya kuambiwa hivyo na rafiki yake Chief Kiumbe
Wanasema ukiona watu wanazungumzia mabaya ya MTU ambaye tayari alishakufa bc jua kimenuka huko alipo
 
Kibonde RIP nlimjuwa tokea akiwa anaishi upanga enzi hizo anasoma shaban Robert alikuwa brother fulani, Don bosco ilikuwa kama kijiwe
Familia yao walikuwa washika dini sana maashahidi wa jehovah

Ruge hajaacha chochote,pesa zake aliwekeza chini
Nahisi mzee mutahaba alikuwa bado anamuhitaji maana mpaka sasa alitakiwa awe msaada kwake
Anyway yaliyotokea yametokea

Ova
Dah Ephraim Kibonde namkumbukaga Sana kwenye kipindi cha jahaz Mawingu kabla sijaja Denmark.

Kifo Bana.

Nyau de adriz
 
Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola

Huyu mtu hakupaswa kumiliki bastola...
 
Wanasema "birds of the feather flock together". Kama kauli hiyo ni ya kweli je, huyo Kusaga nae siyo dhulumati kama alivyokuwa Ruge?
Kusaga naye ni walewale tu na ndio maana ziliiva sana na Ruge unyonyaji na udhulumati.

CMG imekua kwa wizi wa jasho la wasanii wengi sana kuanzia wale waljokuwa wanabebwa na Clouds na wale ya THT

Mambo mengi kama beef kati ya clouds na wasanii chanzo ni Ruge yakabarikiwa na Kusaga. Ana roho ngumu sana yule jamaa.

Mambo mengi sana ya hovyo kuhusu Clouds alifunguka sana G Habash alipohamia Times FM baada ya kuzinguana na uongozi wa CMG
​
 
Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba

Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio

Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola

Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine

Machozi alienda kwenye show hiyo na kulipwa milioni 12 na baadae Ruge akampigia simu na kumuuliza amelipwa ngapi na alipomtajia kiasi hicho,Ruge akamuambia malipo yake yeye ni milioni moja tu hivyo anatakiwa arudishe fedha nyingine(milioni 11) kwa Ruge

Baada ya mabishano makali, Hussein Machozi aliamua kumpa hela yote milioni 12, hata ile milioni 1 hakuchukua tena, baada ya kuambiwa hivyo na rafiki yake Chief Kiumbe
Huyo *** huwa muongo, kuimba kwenyewe hajui,hapo kwenye tarakimu toa sifuri moja, ndiyo malipo wakati huo
 
Kusaga naye ni walewale tu na ndio maana ziliiva sana na Ruge unyonyaji na udhulumati.

CMG imekua kwa wizi wa jasho la wasanii wengi sana kuanzia wale waljokuwa wanabebwa na Clouds na wale ya THT

Mambo mengi kama beef kati ya clouds na wasanii chanzo ni Ruge yakabarikiwa na Kusaga. Ana roho ngumu sana yule jamaa.

Mambo mengi sana ya hovyo kuhusu Clouds alifunguka sana G Habash alipohamia Times FM baada ya kuzinguana na uongozi wa CMG
​
Of course bila Uzulumati CMG isingeweza kupiga hatua iliyopiga, kiuhalisia Ruge na Kusaga walikua ni masterminds kwa kuwaexploit wasanii na kuipush Clouds mbele kwa maokoto ya Uzulumati,

Inavutia the way clouds ilivyopambaniwa huenda Hata Simba anatumia hii plan kuipush media yake, Dhahiri kufanikiwa kwenye biashara roho mbaya inahitajika
 
Kusaga naye ni walewale tu na ndio maana ziliiva sana na Ruge unyonyaji na udhulumati.

CMG imekua kwa wizi wa jasho la wasanii wengi sana kuanzia wale waljokuwa wanabebwa na Clouds na wale ya THT

Mambo mengi kama beef kati ya clouds na wasanii chanzo ni Ruge yakabarikiwa na Kusaga. Ana roho ngumu sana yule jamaa.

Mambo mengi sana ya hovyo kuhusu Clouds alifunguka sana G Habash alipohamia Times FM baada ya kuzinguana na uongozi wa CMG
​
Lile jengo lao mikocheni,lililokuwa
Kabla linamilikuwa na Tanzania tea blenders(majani ya chai)
Bei waliyonunulia ilikuwa kichekesho 😄

Ova
 
Kibonde RIP nlimjuwa tokea akiwa anaishi upanga enzi hizo anasoma shaban Robert alikuwa brother fulani, Don bosco ilikuwa kama kijiwe
Aisee unanikumbusha enzi zake anazurura na pensi nyekundu kilasiku
Tumecheza nae sana mpira, table tennis an Basket pale Don Bosco, mara likalletwa Keram, ndio ikawa humkosi pale...
Mara paap tunamuona yuko CTN enzi zile na tai yake
RIP Kibonde, yaani wala hata huwezi kudhani angekuwa mzee wa papuchi vile....
 
Lile jengo lao mikocheni,lililokuwa
Kabla linamilikuwa na Tanzania tea blenders(majani ya chai)
Bei waliyonunulia ilikuwa kichekesho 😄

Ova
Hivi Bonny Luv ilikuwaje akatoka clouds?
Walimzingua nini, maana katoka mbali sana na Kusaga tokea Mawingu 7 floor miaka ile
Boniface nae mtoto wa Upanga, ananikumbusha miaka ile alivyokuwa anawakaba wale wagogo wauza karanga 😂
aiseee zamani sana, yaani wote familiy nzima nawajua kina VentUre na Makai
 
Ruge na Kibonde pesa zao walikuwa wanaishia kununua malaya. Angalia UKIMWI ulivyowatafuna

Wote tumewazika misiba ilikuwa kwa baba zao

Kibs hakuwa na nyumba miaka yote alikuwa anaishi kwa wakwe sijui upande wa Ruge
​
Mbona kuna siku niliona EATV anaonyesha mjengo wake na maji ya kisima aliyochimba?
 
Back
Top Bottom