Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

Hussein machozi kwenye hiyo interview hakuishia kumzungumzia Ruge tuu, aliongelea swala chege kuwa snitch kwa wasanii wenzake akasema Chege hajamzunguka Q chief peke yake, ameshazunguka wengi, Anasema ukiskia story za chege anavyowafanyia wasanii wenzake unaweza ukashangaa sana
 
Ruge na Kibonde pesa zao walikuwa wanaishia kununua malaya. Angalia UKIMWI ulivyowatafuna

Wote tumewazika misiba ilikuwa kwa baba zao

Kibs hakuwa na nyumba miaka yote alikuwa anaishi kwa wakwe sijui upande wa Ruge
​
Duu kama umeme sasa yule bint Nandifa itakuwaje?.
 
Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba

Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio

Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola

Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine

Machozi alienda kwenye show hiyo na kulipwa milioni 12 na baadae Ruge akampigia simu na kumuuliza amelipwa ngapi na alipomtajia kiasi hicho,Ruge akamuambia malipo yake yeye ni milioni moja tu hivyo anatakiwa arudishe fedha nyingine(milioni 11) kwa Ruge

Baada ya mabishano makali, Hussein Machozi aliamua kumpa hela yote milioni 12, hata ile milioni 1 hakuchukua tena, baada ya kuambiwa hivyo na rafiki yake Chief Kiumbe
Khaaaaaa! Yaani jamaa (Ruge) alikuwa anasifiwa sana, kumbe tabia yake ilikuwa hovyo namna hii. Sasa ndio najuwa kuwa ukiona mtu anasifiwa sana ujue wanaomsifu wanafaidika Kwa tabia na mienendo yake.
 
Bony na kusaga walikuwa wanakuja kupiga mziki hapo Don bosco enzi hizo son bosco kunafanyika ma event
Mimi naona bony aliamua tu kukaa pembeni afanye mambo yake....bony ni brother mmoja yuko humble sana hapendi mkimki
Haya mambo ya unyonyaji kuwakandamiza wasanii yameanza zamani sana haya mambo yana ujanja ujanja sana
Hata wale kim&Boyz tena wao ndy walikuwa waanzilishi wanaanda matamsha Enzo hizo walikuwa wazushi sana

Ova
Yaah Kim & Boyz ya Marehemu Magomelo, mambo Ya Yooh rap bonanza...kitambo.
 
Diamond ni mtoto wa uswahilini ila naye ana strong Capitalist mindset kama ya RUGE japo yeye yuko fair. Nachoona aliusoma mchezo mapema akapata washauri wazuri akaamua kuinvest kwenye kujenga brand in full margin.

Diamond sio mtu ambaye anaweza akakudhulumu chako straight to your face kama ilivyokuwa kwa Ruge. Angekuwa hivyo tayari watu wangekuwa washajua roho mbaya haijifichagi.

Nafikiri ndio maana Kusaga alivutiwa kumchukua kufanya nae kazi. It has payed him alot so far. Diamond amekula share ya 45% sababu ni brand name yake inatumika. Hicho anachokiingiza kupitia wasafi radio hata asipofanya show anaishi tu.
SAmahani...
Neno pay katika past tense hubadilika na kuwa PAID✅️ not ❌️PAYED❌️
 
Hizo ni sababu za loosers.

Diamond hajawai kuwa chini ya ruge na alikuwa adui yake mkuu

Ila bado diamond alikuwa anaitwa kwenye shows za serikali nyingi sana
Ujui usemalo!mpaka sasa mfumo bado upo na ata huyo Diamond kuna watu wanapata hela nyingi kuliko yeye mpaka leo hii.mpaka sasa tuna EastCost! Akija mwingine akaanzisha West Coast mambo ndo yatakuwa bambam. mpaka sasa wasanii wa Tanzania wapo katika Bahari iliyojaa unyonyaji.Rushwa ya Ngono etc! Only strong enough survive and are very few
 
Ndiyo, kipindi hicho malipo ni 1.5,haijalishi kundi au solo, ilikua ikiumiza sana kwa kundi
Kuna siku mwaka 2011 nilibadili fikra zangu kuhusu vipato vya wanamuziki. Nikiwa nafanya kazi kwenye kituo fulani cha redio Arusha, DJ wetu akawapigia simu kundi zima la Tiptop kuwaambia kuhusu show ambayo redio yetu inataka kuandaa. Kupitia Madee walijibu kuwa wanataka Tsh 1.5m, usafiri wa basi Dar - Arusha, malazi na msosi kwenye hotel nzuri. Nilishangaa sana kundi lote kuhitaji kiasi kidogo kama hicho. Diamond yeye alivyopigiwa alihitaji Tsh 8m, usafiri wa ndege Dar - Arusha wa yeye na madansa wawili pamoja, malazi na msosi.
 
Kuna siku mwaka 2011 nilibadili fikra zangu kuhusu vipato vya wanamuziki. Nikiwa nafanya kazi kwenye kituo fulani cha redio Arusha, DJ wetu akawapigia simu kundi zima la Tiptop kuwaambia kuhusu show ambayo redio yetu inataka kuandaa. Kupitia Madee walijibu kuwa wanataka Tsh 1.5m, usafiri wa basi Dar - Arusha, malazi na msosi kwenye hotel nzuri. Nilishangaa sana kundi lote kuhitaji kiasi kidogo kama hicho. Diamond yeye alivyopigiwa alihitaji Tsh 8m, usafiri wa ndege Dar - Arusha wa yeye na madansa wawili pamoja, malazi na msosi.
Hiyo ndiyo bei,na mimi kipindi hicho nilikua karibu na tip top, member mmoja alikua akilalamika sana
 
Back
Top Bottom