Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Dah!...Shigongo aliwahi kuandika kuhusu hili... anyway yote maisha tu.Ruge alimzungua hadi Shigongo ikabidi JK aingilie kati. Kusaga naye ni kama alikuwa anamtumia Ruge kuadabisha watu.
Dah!...Shigongo aliwahi kuandika kuhusu hili... anyway yote maisha tu.Ruge alimzungua hadi Shigongo ikabidi JK aingilie kati. Kusaga naye ni kama alikuwa anamtumia Ruge kuadabisha watu.
NjaaMsanii anafanyaje show bila mkataba wa maandishi?
Na kwa hiyo miaka ilikuwa ni vigumu Sana kwa msanii kama Machozi kulipwa million 12 kwa show moja. Huu ni uongo na kwa nature ya wasanii wa bongo ilikuwa na haiwezekani kurudisha hiyo pesa wangeuana siku hiyohiyo tu. Machozi kumiliki bastola kama ni kweli basi mamlaka zimhoji aliitoa wapi maana sifikirii kama alikuwa nayo kihalali.Hussein machozi na bastola wapi na wapi.......nani ana shida nae, amvamie ili apate nini.........huyu alikuwa msanii wa kawaida mno....hata Aslay alikuwa juu yake.
Machozi ambaye nasikia ameolewa italy amepata lini hata ziada ya kumiliki silaa
Mnahangaika na mtu anayeongea uwongo mweupee kabisa.
Yaani wewe umelipwa 12 milioni..Zipo mfukoni tayari...kulipa au kutolipa kupo ndani ya utashi wako...
Hivi ni mjinga gani alipe fedha yote halafu abaki mtupu.....Kwani angegoma Ruge angemfanya nini...hakuna ushahidi hakuna contract.
Sio kweli.
No Reform No ElectionNo reform no election
Kwenye bizz middle man anaweza kupiga Hela nyingi kuliko wewe mwenye ujuzi au mali.Nisingempa hiyo hela abadani
Nakuelewa sana na biashara ni Imani hata mi kariakoo nimefanya sana ila sio kiwango Cha 12-1 hapo kama Ruge achukue 7 mi 4 sawa maana huenda nae Kuna wale atawapoza kupata deal zingine ila 01 hapanaKwenye bizz middle man anaweza kupiga Hela nyingi kuliko wewe mwenye ujuzi au mali.
Mfano Kuna jamaa nilifanya nae deal Kuna dawa Fulani nimuuzie Mimi sina nikacheki na mdau wangu mmoja akanipa mzigo kwa maneno nikauza nikiwa nimeweka Cha juu yule jamaa alie nipa deal nae kaweka Cha juu...
So Mimi nikapata 300k jamaa akapata 700k pesa yoteee nikawa nayo Mimi so Mimi nikampa middle man 700k kiroho safi kwenye bizz sometimes huwa TUKAKUBALI HATA IYO FAIDA NDOGO MAANA UNAKUTA NI CHAIN..
Roma mkatoliki Kuna stanza aliwai kusema..Nakuelewa sana na biashara ni Imani hata mi kariakoo nimefanya sana ila sio kiwango Cha 12-1 hapo kama Ruge achukue 7 mi 4 sawa maana huenda nae Kuna wale atawapoza kupata deal zingine ila 01 hapana
nakazia hapa👿Msanii anafanyaje show bila mkataba wa maandishi?
jina lake anaitwa machozi,lazma aambulie machoziMsaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba
Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio
Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola
Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine
Machozi alienda kwenye show hiyo na kulipwa milioni 12 na baadae Ruge akampigia simu na kumuuliza amelipwa ngapi na alipomtajia kiasi hicho,Ruge akamuambia malipo yake yeye ni milioni moja tu hivyo anatakiwa arudishe fedha nyingine(milioni 11) kwa Ruge
Baada ya mabishano makali, Hussein Machozi aliamua kumpa hela yote milioni 12, hata ile milioni 1 hakuchukua tena, baada ya kuambiwa hivyo na rafiki yake Chief Kiumbe
Wala siyo ARV zilizodunda, aligusa pabaya tu.Ruge alikuwa dhulumati sana kmmk wasanii wengi wanajua hilo.
Ndio maana alikufa kifo cha maumivu sana ARV zilidunda.
Hili liwe fundisho kwa wadhulumati wengine mamaé zao
Wala siyo ARV zilizodunda, aligusa pabaya tu.
Shiteba Mkolomije anajua kwa kina.
Shigongo nae mshenzi sana... ka-blackmail watu wengi mno kwahiyo alikutana na mshenzi zaidi yake.Dah!...Shigongo aliwahi kuandika kuhusu hili... anyway yote maisha tu.
Duh hii kodi km umekuja jna jf hutoboiWandani wansema Kuna muungwana alitoa tip Kuna Gypsum wawahi site.
Zamani ukiambiwa tu umo ndio maandishi yenyewe hayoMsanii anafanyaje show bila mkataba wa maandishi?
Hta Mimi ningefnya hivyo maana alikuwa anahonga hela ya machozi na wenzie so ilikuwa haimuumiziKatika watu waliozichakata vilivyo mbususu za mademu n iRuge. Rip