Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

Kuna line moja kwenye wimbo wa Meek mill All eyes on me, anasema "we was the flyest..up in the buildin'!......we was countin' this money......."

Naomba nikuulize mkuu hapo, je kwa kusema hiyo "we was" atakuwa amekosea au hajakosea
😁hivi huwa ni lugha ya mtaani tu au ipo hadi shule?? Apo mi najua 'were' ndo mahala pake....lakini nawaskia snaa black Americans wanaongea namna hiyoo tena frsh tu.....
 
Kibonde hajawahi kuwa na nyumba. Baba yake alijenga ghorofa kule Mbezi Beach.

Baada ya mkewe Kibonde kufa akafukuzwa kwa wakwe ikabidi ndio ahahime nyumba ya juu kwenye ghorofa la baba yake yeye na watoto wake
​
Inasikitisha sana aisee.
 
hayo Maneno yake tu yanaonesha huyo machozi hajitambui

Yaani show yenyewe amezipata kwa kwenda kumuomba ruge amuweke.

Kwa nini yeye mwenyewe asiandike proposal ikulu kwa ajili ya kuomba tenda awekwe kwenye show hiyo ya kumkaribisha magufuli?
Biashara ya muziki ya kipuuzi saana. Ukiingia ndiyo utaielewa.
 
tatizo wabongo mnakuwaga wabishiwabishi unaijua ata ITA kweli,ukitoa huduma yoyote kwa serikali na kama wewe ni resident lazima wachukue /withhold 5% ya malipo kwa mfano umewalisha kwenye semina,umepiga show kwenye mikutano yao nk

Hawa jamaa wanachukulia kam hela ipo kiwepesi wepesi tu
 
Kuna line moja kwenye wimbo wa Meek mill All eyes on me, anasema "we was the flyest..up in the buildin'!......we was countin' this money......."

Naomba nikuulize mkuu hapo, je kwa kusema hiyo "we was" atakuwa amekosea au hajakosea?
Kwenye lugha ya ushairi msanii yupo sahihi mkuu, japo kikawaida tulitegemea "we were"
.
Always poetry breaks grammatical rules, ni Kwa ajili ya sound rhythmical consistency
 
System ndo Ina run mziki so kafariki Ila kaharibu mfumo wote
Kwahiyo shida sio Ruge tena, shida ni system. Sasa mbona uzi mnamlaumu Ruge.

Nawewe kwa akili yako unaamini Machozi alilipwa milioni 12? Kwa lipi alilokuwa nalo.

1. Alilipwa na nani na alilipwa kama nani (kwamba hakuwa na kampuni ila akalipwa)

2. Mkataba aliingia na nani na makubaliano ni yapi

3. Kwanini hela 12M ashikishwe msanii badala kushikishwa promoter/host/muandaaji Ruge

4. Nafasi ya Ruge ni ipi, kwanini aombwe yeye nafasi ya Machozi kutoa performance. Yeye anafaidika na nini pale, au hafaidiki alikuwa anacheza tu?

5. Gharama za kuandaa show, lobbying, kufanikisha wasanii kupanda jukwaani, kodi, kuhonga wapate nafasi. Nani alitakiwa kulipia hizo.
 
Peter msechu na mrisho mpoto wanafanya mziki gani kumzidi Hussein machozi

Je huwa unafatilia kiasi wanacholipwa hao jamaa ?

Show za serikali na sisiemu ndo show zinazolipa Sana kwa Tanzania kwakuwa pesa ni za.......
 
Kumbe hujui mziki. Peter Msechu sio wa kumfananisha na Hussein Machozi.

Ukiachana na performance za kiserikali, Msechu ni top 5 ya wasanii wanaolipisha kiingilio kikubwa kwenye show. Amefanya performance mara kadhaa kwenye kumbi kubwa na tiketi za VIP zinazidi TZS 100k na anajaza wala hana tiketi za elfu 10, Machozi aliwahi kuwa na tiketi hata ya 40k?

Mrisho Mpoto ni mziki wa harakati za kisiasa, usitarajie awe sawa na Machozi kwenye show za serikali.
 
Back
Top Bottom