MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ruge alimzungua hadi Shigongo ikabidi JK aingilie kati. Kusaga naye ni kama alikuwa anamtumia Ruge kuadabisha watu.Angechukua hata mln 6 basi 😄
Sasa kwenye 12 anataka kutoa 1
Ova
Ruge alimzungua hadi Shigongo ikabidi JK aingilie kati. Kusaga naye ni kama alikuwa anamtumia Ruge kuadabisha watu.Angechukua hata mln 6 basi 😄
Sasa kwenye 12 anataka kutoa 1
Ova
Bony na kusaga walikuwa wanakuja kupiga mziki hapo Don bosco enzi hizo son bosco kunafanyika ma eventHivi Bonny Luv ilikuwaje akatoka clouds?
Walimzingua nini, maana katoka mbali sana na Kusaga tokea Mawingu 7 floor miaka ile
Boniface nae mtoto wa Upanga, ananikumbusha miaka ile alivyokuwa anawakaba wale wagogo wauza karanga 😂
aiseee zamani sana, yaani wote familiy nzima nawajua kina VentUre na Makai
😅😅😅😅😅 hapa diamondplatnumz ni mwamba anasimama mwenyewe.Hizo ni sababu za loosers.
Diamond hajawai kuwa chini ya ruge na alikuwa adui yake mkuu
Ila bado diamond alikuwa anaitwa kwenye shows za serikali nyingi sana
Ndio siri ya utajiri hio, lazma utengeneze mazingira ya kunyonya kwa asilimia flani. Kama humnyonyi mtu maana yake unafanya kazi ya kumtawaza mbwa. Hakuna biashara bila faida. Ndio maana siku zote wenye roho nzuri hufa maskini.Biashara zote na utajiri ni ukandamizaji wa wengine ,kama unabisha hili fuatilia hata kiwandani bado watu wanalipwa elfu 5 kwa siku ila makampuni inaingiza billion of money..Huku Bank ni wanyang'anyaji kabisa riba kibupa ,kesho wanatangaza faida imekua ...Hakuna cha maana huu mfumo lazima uwe na roho mbaya ,kuna watu kwenye media kubwa wanalipa chini ya Milion mpaka leo ila maboss wanazidi kujisifu kweny kupata faida.
Master na P funk wamewakandamiza wasanii miaka na miaka ,mtu anapata faida kubwa kisa biti tu kuliko hata mtunzi wa nyimbo...Hawa vijana ni watu wa hovyo sana.
Upanga ile waliyokuwa wanakaa wakina kibonde kulikuwa na watu fulani wajanja wamechangamkaAisee unanikumbusha enzi zake anazurura na pensi nyekundu kilasiku
Tumecheza nae sana mpira, table tennis an Basket pale Don Bosco, mara likalletwa Keram, ndio ikawa humkosi pale...
Mara paap tunamuona yuko CTN enzi zile na tai yake
RIP Kibonde, yaani wala hata huwezi kudhani angekuwa mzee wa papuchi vile....
Ruge mzee wa fursaRuge alimzungua hadi Shigongo ikabidi JK aingilie kati. Kusaga naye ni kama alikuwa anamtumia Ruge kuadabisha watu.
Kikubwa ni kuwa Ruge alikuwa kama Plug ya serikali na wasanii. Ishu yeyote ya corporate inayohitaji tamasha na uhamasishaji ilikuwa inapitishwa clouds kwa Ruge.Sasa kama unapigiwa pande , hujui hizo hela mnagawana na wengine waliofanikisha pande hilo.
Hujui kama ni chain ndefu mpaka pande lifanikishwe.
Bado hujaweka Tax hapo na vibali vingine. Serikali haifanyi biashara na mtu ambaye halipi kodi.
Hizo ni sababu za loosers.
Diamond hajawai kuwa chini ya ruge na alikuwa adui yake mkuu
Ila bado diamond alikuwa anaitwa kwenye shows za serikali nyingi sana
Ruge hakupigwa kipapai ila tu Karma ilifika. Alikuwa na mrija wa noti so offer za chupi zilikuwa nyingi na ukiwa mtu wa sketi sana zama zile za giza kuikwaa ngwengwe ilikuwa kugusa tu.Kwahiyo ruge atakuwa alipigwa kipapai sio
Yule juliana mwenye kuuza vilevi pale sinza auRuge hakupigwa kipapai ila tu Karma ilifika. Alikuwa na mrija wa noti so offer za chupi zilikuwa nyingi na ukiwa mtu wa sketi sana zama zile za giza kuikwaa ngwengwe ilikuwa kugusa tu.
Nafikiri alinasa kwa "Juliana" so katika kupambania kombe ndio ikafikia final stage akang'oka.
😂😂😂😂😂😂😂 Juliana ni ududu flani hiviYule juliana mwenye kuuza vilevi pale sinza au
Zamani ndio ilikuwa hivyo, ukitakaswa na clouds fm basi Tanzania nzima itakujua maana walikuwa na coverage kubwa.Hivi hujasoma kuwa walikuwa wakiomba nafasi ili waonekane?
Nafasi ya kuomba utadai mkataba?
Mkuu ndio ukweli ulivyo, tuko kwenye dunia ya kibepari ambapo ili upande lazma ukanyage mabega ya wengine. Ukikwepa huo mfumo huwezi sogea.Of course bila Uzulumati CMG isingeweza kupiga hatua iliyopiga, kiuhalisia Ruge na Kusaga walikua ni masterminds kwa kuwaexploit wasanii na kuipush Clouds mbele kwa maokoto ya Uzulumati,
Inavutia the way clouds ilivyopambaniwa huenda Hata Simba anatumia hii plan kuipush media yake, Dhahiri kufanikiwa kwenye biashara roho mbaya inahitajika
Diamond ni mtoto wa uswahilini ila naye ana strong Capitalist mindset kama ya RUGE japo yeye yuko fair. Nachoona aliusoma mchezo mapema akapata washauri wazuri akaamua kuinvest kwenye kujenga brand in full margin.Yule jamaa ndio maana zilikuwa haziivi na domomondi halafu wabongo wakamwona domo jau.
Bonny na Kusaga wako pamoja hata kabla ya literally uchumi, toka mwenge kijijini walikuwa pamojaHivi Bonny Luv ilikuwaje akatoka clouds?
Walimzingua nini, maana katoka mbali sana na Kusaga tokea Mawingu 7 floor miaka ile
Boniface nae mtoto wa Upanga, ananikumbusha miaka ile alivyokuwa anawakaba wale wagogo wauza karanga 😂
aiseee zamani sana, yaani wote familiy nzima nawajua kina VentUre na Makai
Hii inajulikana mbonaMsaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba
Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio
Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola
Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine
Machozi alienda kwenye show hiyo na kulipwa milioni 12 na baadae Ruge akampigia simu na kumuuliza amelipwa ngapi na alipomtajia kiasi hicho,Ruge akamuambia malipo yake yeye ni milioni moja tu hivyo anatakiwa arudishe fedha nyingine(milioni 11) kwa Ruge
Baada ya mabishano makali, Hussein Machozi aliamua kumpa hela yote milioni 12, hata ile milioni 1 hakuchukua tena, baada ya kuambiwa hivyo na rafiki yake Chief Kiumbe
Naisaka mno hii mixtape mtandaoni siipatiNilijifunza mengi kuhusu Ruge kwenye Anti Virus Mixtape. Wengi wanafanikiwa kwa kudhurumu wengine
Na wewe utakuwa dizaini yao hao madhulumati. Inakuingia akilini kweli msanii mmoja aliyekuingizia 12m yeye aambulie 1m kwa madai kwamba 11m zote ni gharama ulizotumia? Na hapo siyo kwamba Machozi alikuwa pekee yake kwenye show. Chukulia kwa mfano walikuwa wasanii 20 na kila mmoja aingize 12m jumla 240m. Halafu wewe uwagawie 24m na kudai gharama ulizotumia kwao ni 216m! Nonsense.Aweke ushahidi hapa kwamba alirudisha pesa zote milioni 12.
Atakuwa mtanzania wa kwanza tangu nimepata ufahamu kuhusu pesa.
Watu wengi hawaelewi somo la "Price and Cost".
Kuna kitu kinaitwa "Total Landed Costs". Gharama ya mwisho baada ya kutoa kila kitu.
Inawezekana kabisa kwamba muandaa show kuna gharama kazibeba kama kuandaa jukwaa, kulipa kodi, kulipa gharama za vinywaji kwa wasanii, usafiri wa wasanii, malazi ya wasanii, umeme, kukodi magari na mafita na vingine vingi.
Akikulipa wewe msanii pesa zote gharama alizoingia yeye atalipa nani?