mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
bora alivyorudisha zote
Hahaha me nineshangaa hayo mabarua si yatakuwa mengi sanaJamaa mbumbumbu kweli, eti msanii aandike barua Ikulu kuomba show..!
Sijui anaishi dunia gani
😃😃😃Ruge ujanja wote pesa aliwekeza kuchakata mbususu tu
Ova
Aliumwa likawa linatembezwa bakuli kwa ajili ya matibabu hadi baadae serikali ikchukua jukumu la kumtibuSasa unajiuliza pesa alizokuwa sijui alikuwa anazipeleka wapi 😄
Ova
Kuna kitu hamuelewi mimi ni dalali- promota nimekubaliana na wewe utafanya show kwa milioni 1Nilijifunza mengi kuhusu Ruge kwenye Anti Virus Mixtape. Wengi wanafanikiwa kwa kudhurumu wengine
YEs reform Yes electionNo reform no election
Sikupingi, nakubaliana na wewe mkuuUkifanyakazi na Muhaya yoyote, kuwa makini sana
😀😀kwanini?Ukifanyakazi na Muhaya yoyote, kuwa makini sana
Na akafa kwa ukimwiRuge ujanja wote pesa aliwekeza kuchakata mbususu tu
Ova
Unachoandika kisome kwanza, wewe zungumzia pesa kwanini zirudishwe huo ni ukandamizajihayo Maneno yake tu yanaonesha huyo machozi hajitambui
Yaani show yenyewe amezipata kwa kwenda kumuomba ruge amuweke.
Kwa nini yeye mwenyewe asiandike proposal ikulu kwa ajili ya kuomba awekwe kwenye show hiyo ya kumkaribisha magufuli?
Sasa unajiuliza pesa alizokuwa sijui alikuwa anazipeleka wapi 😄
Ova
Wengi sana hasa hapa bongo na huu mchezo bado upo sana.Nilijifunza mengi kuhusu Ruge kwenye Anti Virus Mixtape. Wengi wanafanikiwa kwa kudhurumu wengine
ruge hangeambulia hata mia kwenye hiyo 12M kwa muktadha huoMsaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba
Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio
Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola
Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine
Machozi alienda kwenye show hiyo na kulipwa milioni 12 na baadae Ruge akampigia simu na kumuuliza amelipwa ngapi na alipomtajia kiasi hicho,Ruge akamuambia malipo yake yeye ni milioni moja tu hivyo anatakiwa arudishe fedha nyingine(milioni 11) kwa Ruge
Baada ya mabishano makali, Hussein Machozi aliamua kumpa hela yote milioni 12, hata ile milioni 1 hakuchukua tena, baada ya kuambiwa hivyo na rafiki yake Chief Kiumbe