milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

    Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua; Ligi ya Mabingwa Afrika Bingwa: Dola Milioni 4 (Tsh. Bilioni 9.4) Wa pili: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)...
  2. BigTall

    Rungwe wamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Milioni 970 za ujenzi wa shule

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan apongezwa kwa kutoa kiasi cha Shilingi 970,600,000/= kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kupitia mradi wa Boost katika Kitongoji cha Kibumbe Mkoani Mbeya. Afisa Elimu Msingi wa Rungwe, Juma Mwanjobe amesema “Tumekuwa...
  3. sky soldier

    Tozo ya laki 6 na elf 20 katika kila milioni 1 ya bei za bidhaa zinazoletwa nchini ni kabali ya mbao

    NA BADO KUNA KODI YA STOO Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba, Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka...
  4. Suley2019

    Mwanafunzi aliyejiteka mwenyewe ili apate milioni 3.5 akutwa gest akiponda raha

    Mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Afya na Sayansi shirikishi ( CUHAS) cha Bugando mkoani Mwanza Kennedy Nyangige amekamatwa na Jeshi la Polisi wakati alipojaribu kuwalaghai wazazi wake kuwa ametekwa na watekaji wanahitaji fedha milioni 3.5 ili waweze kumuachia. Kwa mjibu wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Milioni 214.3 Kuboresha Miundombinu ya Barabara katika Kivutio cha Utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru

    YAWEKEZA MILIONI 214 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAPOROMOKO YA ULUGURU Serikali imesema imewekeza fedha kiasi cha shilingi mil. 214.3 kuboresha miundombinu ya barabara katika kivutio cha utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro. Hayo yamesemwa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu...
  6. J

    Serikali iungwe Mkono Kutengeneza Ajira Milioni 8 Sekta ya Kilimo

    JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira. Kauli hiyo aliitoa bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Felix Kavejuru aliyetaka kujua mkakati wa...
  7. Black Opal

    Washirika wenzangu wa Shindano la Stories of Change 2023 mnafuata vigezo vilivyowekwa kweli? Milioni 20 sio mchezo ujue!

    Kama tunavyojua mchongo ushaanza na nimeona kuna milioni 20 za kubeba. Watu tunaotaka kuchota hizi milioni 20 tunafata vigezo kweli au mnafikiri ni kazi rahisi kuzipata? Mtu unaandika tu ovyo ovyo kama uropoka, vigezo hufati halafu unajiwekea asilimia za kushinda! Kuna baadhi ya Vigezo na...
  8. SYLLOGIST!

    Trump awajibishwa kwa kashfa ya unyanyasaji wa kingono, Kumlipa E. Jean Carroll $ 5 milioni

    federal jury in New York found former President Donald Trump liable for battery and defamation in a civil trial stemming from allegations he raped the writer E. Jean Carroll in a department store dressing room in the mid-1990s. She was awarded $5 million total in damages. The jury, made up of...
  9. J

    Rais Samia Atoa Milioni 100, Kuongeza Uzalishaji Mbegu Bora

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
  10. J

    Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

    Hello Africans. Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga. Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani. Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo. Na ndio maana pamoja na...
  11. kavulata

    CAF kuitoza Yanga 82 milioni ni ushahidi kuwa CAF ni shabiki wa Simba

    Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika vitochi (laser) na kuwasha moshi uwanjani. Hukumu kama hii ina harufu ya ushabiki wa simba na Yanga...
  12. R

    Bar zilizofungiwa zatakiwa kulipa Faini Milioni Tano 5M kila moja ili ziruhisiwe kufanya biashara

    Mkuregenzi WA NEMC amezipa siku Kumi na NNE waliofungiwa bar kulipa Faini ya shillingi milioni tano la sivyo watazifutia lesini. Mtumishi huyo WA umma ameyasema hayo Leo wakati akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari. Hali hii inazidi kuonyesha namna ilivyo ngumu kufanya biashara Tanzania na...
  13. Happycuit

    CAF yailima Yanga faini ya takribani Tshs. milioni 80

    Kamati ya nidhamu ya CAF imeipiga faini klabu ya Yanga ya jumla ya dola za Kimarekani elfu 35 ($35,000) kiasi kama milioni 80.5 za Kitanzania kwa makosa makubwa 2. 1. Matumizi ya fataki kwenye mchezo dhidi ya Rivers United ya Nigeria dola 10,000 2. Tukio la basi la timu kuvamiwa kuibiwa pesa...
  14. Stephano Mgendanyi

    SIDO Lwossa Kukarabatiwa kwa Shilingi Milioni 293.99

    NAIBU WAZIRI VIWANDA - SIDO LWOSAA KUKARABATIWA KWA SHILINGI MILIONI 293.99 Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa zaidi ya Shilingi Milioni 293.99 zinahitajika kwa ajili ya kukarabati na kukamilisha jengo la viwanda vidogo vidogo la Lwosaa. Mhe...
  15. Stephano Mgendanyi

    Milioni 16 Zachangia Ujenzi wa Zahanati 13 Bahi, Dodoma

    MILIONI 16 ZACHANGIA UJENZI WA ZAHANATI 13 JIMBO LA BAHI, DODOMA Mbunge wa Jimbo la Bahi Mhe. Kenneth Nollo tarehe 03 Mei, 2023 alifika Kijiji cha Mapinduzi Kata ya Kigwe kwa lengo la kutembelea ujenzi unaoendelea wa Zahanati ya Mapinduzi ambayo ni miongoni mwa zahanati ya 13. Zahanati zote 12...
Back
Top Bottom