Ndugu zangu salaam
Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba.
Kuna kipindi ukimuaandaa analoa kidogo na ukiloweka haiishi dk 5 ameshakauka kabisa..kipindi cha siku za hatari ule ute wa...
Nisiwachoshe sana, kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana, ila yeye hakunipenda alimpenda mshikaji mwingine, lakini kwa sababu nilihofia kumpoteza binti mrembo kama yule niliendelea kubembeleza penzi na kujipa imani kuwa '0ne day atanielewa na atakuwa sababu hata yule mshikaji mwingine alikuwa...
Wakuu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena naombeni msaada wenu.Mwaka 2022 nilileta uzi kuhusu watoto wangu wanaozaliwa na kufa kabla au baada ya kuzaliwa. Sasa mwaka huu tena 2024 nimepoteza watoto wengine wawili kabla ya kuzaliwa wakiwa tumboni.
Baada ya tukio hilo ikabidi kutafuta wazee...
Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke.
Hapo Sasa ndo ataanza kushituka.
Ukweli ni kwamba mwanamke anayeweza kumeza vidoge(dawa) Ili au kiumbe kilicho ndani ya tumbo lake mwenyewe ni wakugopwa...
Mwanamke akishapenda sehemu, Cha kwanza huwaza kuzaa( kumzalia huyo mwanaume) akidhani kwamba akimzalia ndo atamtuliza na mwanaume anazidisha mapenzi kwake kwakua wamezaa.
Zaa ukiwa na Utayari ndani ya nafsi Yako wa kumlea huyo mtoto, ukiwa na Utayari hata kama ikitokea mmetengana huwezi...
Ni nini hasa changamoto hata ifikie mahali ili kijana atangaze ndoa ni Lazima awe ametekeleza jambo hilo?
Hata hivyo,
ni dhahiri wana ndoa wengi hivi sasa, wanaenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa wakiwa na matumbo ya ujauzito, tena makubwa tu.
Ni nini siri ya haya yote, ukiachilia mbali...
Wanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile.
Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu.
Nauliza unaumwa kimya!! Uchungu umefika? Na hapo mimba Bado sana muda wa kujifungua wife yupo kimya...
Salaam:
Sasa hii mada sijui niwekeje lakini, juzi kati nilikuta kipindi ndio kinaishia niliwaona tu kina Gerald hando na wengine wanatuonyesha chumba cha kuvunia mbegu za kiume, kwa uchache niliona kama chumba kimoja safi, self contained,TV kama inch 48" pamoja na vitu vingine.
NB:Sikuona...
Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida.
NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa.
2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha mimba leo leo ?
Naombeni msaada Wa kufafanuliwa vizuri hii imekaaje.
Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.
Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna ya kumpata...
Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri 39 anayefahamika kwa majina Airini au mama QUEEN amekutwa amefariki nyumbani kwake katika chumba anachoishi lakini pembeni kukiwa na kichanga kinachokadiriwa kuwa na miezi 6 .
Tukio hilo limetokea mtaa wa kambi ya chupa halmashauri ya jiji la Arusha...
Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana...
Ndugu zangu salaam
Mke wangu anajumla ya mzunguko wa siku 25 . mwezi uliopita aliona siku zake tarehe 11/08 /2024 na nilikutana nae kimwili kwenye siku zake za hatari kwanzia tarehe 8/08 mpaka tarehe 15/08/2024 kwa sababu tulikua tunataka mtoto.
Alitarajia kuona siku zake tarehe 05/09/2024 ila...
NAJUA MPO HAPA MLIOTOA MIMBA NAOMBA NIKWAMBIE KAOMBE REHEMA KATUBU KWA MUNGU
PALE MIMBA INAPOINGIA UHAI UNAINGIA NA MTOTO ANAKUWA WA MUNGU SI WAKWAKO TENA MWANAUME
WEWE UMETUMIKA TU KUTENGENEZA MBEGU
KAMA MWANAUME UKISHIRIKI KUMSAIDIA MWANAMKE KUTOA MIMBA KATUBU OMBA REHEMA
ILE DAMU INAONGEA...
Utaratibu wa uchinjaji wa Wanyama katika machinjio na maeneo mbalimbali yanayotambuliwa
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inalinda afya ya jamii kitaifa na kimataifa kwa kusimamia usalama wa afya ya mifugo na mazao yake nchini. Jukumu hili hufanyika kwa kutumia Sheria na Kanuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.