mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SteveMollel

    Sio kila mimba isiyo na baba basi ni kwa uwezo wa roho mtakatifu

    Baada ya kuponea maisha kwa kuzama ndani ya ziwa la barafu, kipindi akiwa msichana mdogo, Cecilia alikata shauri la kumtumikia Mungu kwa kipindi chake chote alichobakiza duniani. Kwahiyo anapofikia umri, anajiunga na 'convent' ya hapa Italia ili apate kuwa sister kwa kiapo na matendo. Hivyo...
  2. Jaji Mfawidhi

    Shida ya kushika mimba na jinsi unavyoweza kutatua tatizo hilo kwa kutumia lishe

    1. Tunaendelea kudodosa yaliyomo kwenye kitachu Eating to Conceive by Lisa Olson. 2. Kazi yangu ni kufanya tafiti na kuwasilisha majibu kwa lugha tunayoishi nayo kila siku. Lengo tuelewe, tusikariri! Sitakagi mambo mengi. Tuendelee. Kanuni ya Pili: Kula Complex Carbohydrate na nafaka kwa...
  3. cold water

    Kwanini sishiki mimba?

    Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu. Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu...
  4. K

    Anayejua sheria za ubebaji mimba (surrogacy contract/laws) Tanzania

    Teknologia imebadilika sana. Hivi karibuni. Kwa ukuaji wa teknologia siku hizi mwanamke anaweza kubebeshwa mimba kwa kuwekewa "embryos" yai la mwanamke mwingine na mwanaume ambalo lime stawishwa kwa kiswahili changu kibaya. Sasa Mbebeji wa mimba anakuwa hana DNA yeyote zaidi ya kwamba yeye ni...
  5. Technophilic Pool

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Wakuu nina miezi miwili bila bila niko kwa ndoa. Niko na mashaka.
  6. G

    Usimuoe binti kwa sababu tu umemtia mimba. Usioe kwa huruma, hakikisha unaona mtu anayefurahisha hisia zako

    Watu wengi wanashindwa kutofautisha mahusiano na mapenzi. Siyo kila uliye naye kwenye mahusiano ana mapenzi na wewe. Mapenzi (love) hupatikana kwa mtu au kitu chochote kinachofurahisha hisia. Love is obtained from a person or thing that makes your emotions happy. Mapenzi hupatikana hata kwa...
  7. Pdidy

    Utajuaje kama alishawahi toa mimba mfululizo kabla ya kumuoa?

    Kwa wale wenye exp UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana. KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospitalini hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba Nawaza wale wanandoa watatajiwa mtajuaje mtarajiwa ana shida hiyo?
  8. Mto Songwe

    Vijana mmsiishie kuweka mimba tu una jukumu kwa kila kiumbe unacholeta duniani

    Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae. Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe mateso kwenye hii dunia ya hovyo. Umasikini ni mkubwa sana Africa ukiwa mtu wa field au kazi za mitaani...
  9. OCC Doctors

    Kuyeyuka na kupotea kwa Mimba

    Kifuko cha ujauzito baada ya mimba kutunga (gestational sac) ni muundo uliojaa maji unaozunguka kiinitete (embryo) wakati wa wiki chache za ukuaji wa kiinitete. Tatizo la Kuyeyuka kwa mimba 'Blighted ovum' hutokea pale ambapo kifuko cha ujauzito (gestational sac) kinakua bila kiinitete...
  10. G

    Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  11. M

    Madhara ya Vyuo Vikuu Kufundisha CERTIFICATE na DIPLOMA kwa Wanafunzi

    Habari ndugu wana JF, Leo nimependa kuzungumza nanyi mada kuhusu vyuo vikuu kufundisha ASTASHADA na STASHAHADA. ni ukweli usiopingika sera ya elimu inabidi kufanyiwa marekebisho kwasababu vyuo vikuu siku hizi zinachukua watoto wanaomaliza kidato cha nne (4) wengi wao chini ya miaka ya 18...
  12. BARD AI

    Ufaransa imekuwa nchi ya kwanza duniani kuidhinisha Utoaji Mimba kuwa haki ya Kikatiba

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameripotiwa kuwa anatumai marekebisho hayo ya katiba yatamtofautisha na chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha National Rally cha Ufaransa - ambacho kinazidi kupiga kura kabla ya uchaguzi wa Ulaya mwezi Juni. France has become the first country in the...
  13. Mtu porii

    Mimba ipo au haipo mimi ni mhanga natafuta mtoto mwaka wa pili sasa

    hajaingia MP hii siku ya nne tukajua tayar..ananambia tumbo linauma,anakojoa mara kwa mara..tukajua tumefanikisha😔😔😔
  14. Baba jayaron

    X wangu kabeba mimba anasema ni ya mume wa mtu, lakini alikutana na mimi pia kipindi hiko, inaweza kuwa yangu?

    Wasalaam, Mida ya leo usiku nilipotoka job nikaamua kupita kumuona X wangu nyumbani kwao kwani alidai anaumwa na alikua nikidhani akintania ana mimba isiyo na baba 🙄 Aiseeh ile kufika kweli naona anabonge la tumbo nikashangaa, ila nikasema sio kesi kwakua si yangu ngoja nifike tuu kwao ni...
  15. Chachu Ombara

    SI KWELI Mzazi akipata mimba wakati bado ananyonyesha hudhoofisha afya ya mtoto anayenyonya

    Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa kwangu mimba kulisababisha afya ya dadangu kudhoofu na kupelekea kifo. Hili suala ni kweli au vihoja...
  16. P

    Mimba imenasa?

    Habari zenu? Nimevurugwa Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au haimo?
  17. S

    Mimba ya tajiri ukijinyoosha mgongo tu inatoka. Lakini ukibeba ya mlalahoi hata uangukiwe na ukuta haitoki

    Kuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani. Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia mtoto tajiri ili atoboe kama Jacqueline Mengi. Lkn bahati mbaya mimba nyingi za matajiri huchomoka...
  18. Mjanja M1

    Wasimamishwa kazi kwa kumtoa mimba Mwanafunzi mwenye miaka 14

    MADAKTARI wawili ambao ni Dk. Obote Casto na Dk. Deus Chacha wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kumtoa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) jambo ambalo ni kinyume na maadili ya kazi zao. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu...
  19. The Assassin

    Papa Francis ashauri kitendo cha wanawake kubebeana mimba kipigwe marufuku Duniani kote.

    Kiongozi wa kiroho wa kanisa katoliki Duniani baba mtakatifu papa Francis ametoa wito wa mataifa yote ulimwenguni kupiga marufuku kitendo cha wanawake kubebeana mimba ama 'surrogacy mothers' Baba mtakatifu amasema kubebeana mimba ni kinyume cha mapenzi ya Mungu na inapaswa kupiga marufuku hicho...
  20. Selemani Sele

    Tendo siku moja ndo apate Mimba kweli, au nimepigwa?

    Mimi ni mwanaume miaka minne iliyopita nilipokuwa chuo ilitokea kukutana na demu mmoja ambaye yeye alikuwa ni demu wa mtaani tulikutana kwenye group la Whatsapp la porn baada ya hapo yeye alinifata inbox na tukaanzia hapo nikamwalika ghetto akaja na siku hiyo nilipiga Kwa mara ya kwanza na ya...
Back
Top Bottom