Hii kitu ni balaa sana,
Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho,
Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?"...
Kwema Wakuu!
Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja.
Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa.
Wanamapozi ya kike, wanajichetua...
Wakuu habarini,ningependa kupata ufafanuzi,mara ya mwisho mke wangu alipata hedhi 20/4/2023.Ilitakiwa apate hedhi tena 17/5/2023 hakupata .22/5/2023 tukapima kupitia UPT ikaonesha ujauzito .1/8/2023 tukaenda kwa ajili ya clinic kama hudhurio la kwanza.Majibu ya ultrasound yakaonyesha ujauzito...
Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe!
Ujeuri wake hauangalii kamwe usingle mother wake, wala msaada unaofanywa na mumewe wa kuishi na mtoto wake aliyemkuta. Ye ni kumjeuria tu mumewe muda wote tangu mwaka wa kwanza wa kuoana kwao....kasababu kadogo tu maneno ya nyodo mengiiiiii; 'una nini wewe?'...
Kijana ana degree na masters
Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani
Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini...
Nimekutana na hii stori mtaani kuwa ukiweka Maji ya Nyanya kwenye Kipimo cha Mimba kinatoa majibu yanayoonesha Ujauzito upo.
Kuna ukweli hapa na kwanini iwe Positive, Kwanini isisome negative au abnormal test results?
Tarehe ya mwisho kuona perion ilikuwa tar 28 Oct. Calculations zinasema EDD yake ni 03 July...na huyu mjamzito mpaka leo hii tar 06 August, bado hajajifungua wala uchungu...?
Je kuna hatari? Kama ipo nini kifanyike...? Na kama ni kawaida hakuna hatari...hii inaweza ikafika mpaka lini..? Na kama...
DOUBLE STANDARDS.
Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ? Ajabu ni kwamba kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna...
Biashara ya kununua mbegu za Wanaume imeonekana kunoga na kushika kasi katika Kaunti ya Murang’a nchini Kenya ambapo baadhi ya Wanawake wanawalipa Wanaume hadi Ksh. 300,000 (Tsh. mil 5.1) ili wafanye nao mapenzi na kuwapachika mimba.
Wanaume wanaopendelewa zaidi katika biashara hiyo ni walio na...
Tuondoea umasikini wa Vipato ili kumaliza tatizo la Ndoa za utotoni na wanafunzi kupewa Mimba.
Ukijaribu Kusoma Historia ya wazungu hasa maisha yao ya miaka ya 1800 huko hadi 1930 huko utagundua kwamba haya yanayo tokea huku kwetu sasa pia na kwao yalikuwepo, Wazungu walikuwa na Ndoa za...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAMWA KATIKA MASUALA YA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO.
Na. WAF - Dar es Salaam
Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika kupambana na kutoa elimu juu ya masuala ya Afya ya Uzazi Mama na...
Bila salamu hiyo..
Mabinti hubaki kuzurura tu baada ya kuzaa. No direction of life hubaki nyumbani tu kama Volunteer House girl.
Hawa nazungumzia wale mabinti wanaomaliza la saba na kidato cha nne. Wanakuwa totally 'immersed' huvurugikiwa kabisa sana sana kuanzisha viujasiriamali vidogo...
Anayeelewa hili fumbo.
Mimba hadi kuzaliwa miezi ni Tisa.
Ila birthday yako ni kila baada ya miezi kumi na mbili.
SWALI
Sasa pale kwenye tisa ya tumboni na huku kumi na mbili mbona kama tunaiba miezi mitatu isiyo husika katika umri wetu au nyie mnaonaje ?
KUBEBA MIMBA NA KUZAA HAKUMFANYI MWANAUME AKUPENDE!
Anaandika, Robert Heriel
Nawakumbusha Dada zangu, Binti zangu. Usije ukajikoroga na kujichanganya, mimba na mtoto haibadilishi chochote katika mioyo yetu Sisi wanaume. Kama hatukupendi ni hatukupendi tuu!
Kuna jinga moja litasema kama...
Jamii imetakiwa kuwa makini na matumizi ya vidonge na njia mbalimbali zinazotumiwa kwa lengo la kutoa mimba kuwa zinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya na hata kusababisha kifo.
Baadhi ya dawa ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu wengi kwa matumizi ya utoaji mimba ni Misoprostol ambapo imeelezwa...
Naishukuru sana hali ya hewa ya baridi kwasababu wewe ndiye sababu ya mimi kutungwa mimba, pengine isingekuwa baridi labda wazazi wangu wasingelitafuta joto.
Wengi jambo hili litawachekesha lakini picha mtaipata ukubwani, mtakapobalehe mtagundua kuwa na maanisha nini.
Sasa hivi habari iliyopo...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kuanza huduma za upandikizaji mimba kupitia maabara mapema mwaka huu, baada ya mchakato muhimu kukamilika.
Huduma hiyo iitwayo In Vitro Fertilization (IVF), inaanzishwa Novemba mwaka huu, ikiwa ni takribani miaka mitano tangu kuanza kwa maandalizi...
Taasisi ya Afya ya Ifakara imebaini kuwa asilimia 41 ya wanawake wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU) Mkoa wa Dar es Salaam wamepata mimba zisizotarajiwa.
Hali hiyo imeelezwa kutokea kutokana na asilimia 60 ya wanawake wanaoishi na virusi hivyo, kutotumia njia za uzazi wa mpango.
Hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.