mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Half american

    Mwanafunzi afariki wakati mama yake mzazi akijaribu kumtoa mimba

  2. Ricky Blair

    Utoaji mimba

    Kiinitete hakina haki. Haki hazitolewi na ambacho hakijaja bado bali kwa yule ambaye ameshafika. Mtoto hawezi kupata haki yoyote mpaka azaliwe. Yule anayeishi (Mwanamke) anamtangulia yule ambaye bado hajazaliwa kwenye haki kwani huyo mwanamke akiamua kujiua wote mmekosa. Utoaji mimba ni haki...
  3. Pac the Don

    Hii hoja ya mimba shuleni imekaaje?

    Maana hapa Soudy katupa kombora katikati ya watunga sheria na wale waliopinga watoto kurudi shulen!!!👇👇👇👇
  4. ChatGPT

    Kuwa Mama Bila Kupata Mimba | Baba Bila ya Mama Mjamzito

    Unaifahamu Surrogacy? Surrogacy, au uchukuzi wa mimba, ni njia ya kusaidia wanandoa ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida. Njia hii inahusisha mama mbadala ambaye huzaa mtoto kwa niaba ya mwanamke na mwanaume fulani (wanandoa hao). Kuna aina mbili za surrogacy: "traditional...
  5. Mr Why

    Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

    Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida. Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu. Kama...
  6. To yeye

    Kutelekezewa mimba VS kubambikiwa mtoto

    Mi naona hii ni mbwaimbwai....mwaga mboga nimwage ugali....anaumizwa mwanamke anaumizwa mwanaume....Yaan hapo kati Yao Kuna Kuna kakarma kametulia.Huna hatia unatelekezewa mimba ....huna hatia unabambikiwa mimba. Aisee,Kaz iendelee
  7. Superbug

    Mwanamke anaanza kutema mate baada ya mimba kuingia?

    Kuna mwanamke hapa naona kama ameanza kutematema mate na nimekutana nae wiki hiihii na ofkoz ndio alikuwa kwenye tarehe za kutiwa mimba sasa hapa nisaidieni kinadada.
  8. BARD AI

    Watu 45 wamepandikizwa Mimba Dar, 35 wamepata ujauzito

    Kiasi cha Sh4.5 bilioni kimetumika kufanya uwekezaji wa ujenzi, miundombinu na vifaa tiba vilivyotumika kuanzisha Kituo cha Huduma Pandikizi (IVF) cha Hubert Kairuki. Kituo hicho cha kutoa huduma hiyo kipo Bunju A jijini Dar es Salaam kikiwa na uwezo wa kufanya upandikizaji kwa watu 1,000 kwa...
  9. OCC Doctors

    Kuhisi dalili za mimba bila kuwa na mimba

    'Pseudocyesis' ni muonekano wa dalili zote za ujauzito anazopata mwanamke wakati kiuhalisia hana ujauzito. Mwanamke anaweza kuwa na dalili zote za ujauzito kama kutapika mara kwa mara, shida ya kulala na hata kukosa hedhi lakini vipimo vikaonesha kutokuwepo kwa ujauzito. Hali hii husababishwa...
  10. Roving Journalist

    Waziri Ummy: 30% ya watu Nchini Wana ugumba, Serikali inafikiria kupunguza gharama upandikizaji mimba

    Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani inakadiriwa kuwa kila mahusiano ya wenza wanne, mmoja kati yao anakua na tatizo la kupata watoto." Aidha...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kutoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama wa marehemu

    Mabinti wengi wanatoa mimba kwa sababu mbalimbali za msingi, lakini sio za msingi sana ukilinganisha na thamani ya uhai wa mtu unayeenda kumuua. Kibaya ambacho wanakikwepa mabinti na wanawake ni kutokuwa na mtoto kwa wakati huo, lakini Ukitoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama...
  12. Mwachiluwi

    Kitu gani kinapelekea wanaume wenzangu kukataa mimba?

    Hellow Mimi mpaka leo sijuwagi kwanini washikaji wanakataa mimba za mademu zao ilihali wao ndio wahusika Ujue kuna vitu unatakiwa ujiepushe navyo kwenye lile tendo mfano hutaki kuzaa na huyo mwanamke basi mwaga njee au vaa kondom au kama huwezi ukitoka hapo mpe p2 japo sio nzuri sana. Sasa...
  13. BARD AI

    Nigeria: Kijana wa miaka 17 ashikiliwa kwa kuwapa mimba wanawake 10

    Jeshi la Polisi la Jimbo la Rivers Nigeria limemkamata mvulana mwenye umri wa miaka 17 aliyetambulika kwa jina la Noble Uzuchi na Chigozie Ogbonna (29) kwa madai ya kuwapa ujauzito wanawake 10 kwa ajili ya biashara haramu ya kuuza watoto. Waliokamatwa wengine ni washukiwa wawili wa kike, Favour...
  14. S

    Nimepeleka barua ya posa juzi juzi halafu danga la mtaa linajitokeza na kudai kuwa lina mimba yangu

    Ukisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material). Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa. Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga...
  15. NetMaster

    Anajaribu kunizuia kumwagia nje wakati nakaribia kufika mshindo, ni mbinu ipi ya kukabiliana na mwanamke huyu niliyekolea kwake ila sitaki kumpa mimba

    Ni takribani miezi miwili sasa tangu nikutane na binti flani kamaliza kidato cha sita mwaka jana ila kwakuwa hakuwa na ada imebidi awe anakwenda kuuza duka la ndugu yake asubuhi na kurudi saa 12 jioni kila siku kasoro jumapili. Duka lilipo sio mbali sana na ofisi yangu, nilipomwona huyo mtoto...
  16. Poluyakhtov

    Mimba iliyotungwa kwenye ovary

    Habarini za usiku ndugu zangu, Mimi ni kijana wa miaka 27, nimeoa miezi mitatu iliyopita. Sasa, juzi ghalfa mke wangu akaanza kujisikia maumivu upande wa chini wa kulia. Baada ya kumpeleka hospitali nikaambiwa ana UTI na Fangasi,alipewa dawa za kutibu hayo maradhi lakini hakupata nafuu...
  17. H

    DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

    Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na wake za watu waliopata mimba za michepuko. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo...
  18. Koffi Annan

    Naomba ushauri wa kitaalamu: Alimeza P2 ila kashika mimba

    Nilitembea na girlfriend wangu siku ya 14 akameza dawa baada ya masaa 24 means jioni ya siku iliyofuata baada ya kulala nae na baada ya kumeza dawa that night nililala nae tena nikijua ile dawa bado inafanya kazi ila ameshika mimba. Sasa kwa upande wangu iyo mimba sio tatizo ila nawaza huenda...
  19. JanguKamaJangu

    Baba akamatwa kwa kuwapachika mimba binti zake wawili

    Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a wanamshikilia baba wa watoto wanne wa kike pamoja na mkewe baada ya mtoto wao kufichua kuwa mzazi huyo amekuwa akiwabaka. Inadaiwa mwanaume huyo amekuwa akiendeleza unyama huo huku mkewe akifahamu kinachoendelea. Aliyefichua siri hiyo ni...
  20. Justdr

    Technology: Mifuko ya uzazi bandia inayotengeneza watoto, wanawake hawatabeba tena mimba. Wazazi kuchagua jinsia,rangi,akili urefu wa watoto?

    Mwanateknolojia wa kibaolojia na mtayarishaji wa Filamu Hashem Al-Ghaili anatupeleka kwenye ziara isiyotulia lakini ya kuvutia ndani ya EctoLife - kituo cha kwanza cha uzazi wa mpango EctoLife ni teknolojia itakayowapa wazazi wa siku za usoni njia mbadala inayodhaniwa kuwa salama zaidi ya...
Back
Top Bottom