Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela.
Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu.
Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo...
Mchimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Erick Peter (39) amefikishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Simanjiro na kusomewa shitaka la kumpa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tanzanite.
Peter amesomewa shitaka hilo na mwendesha mashitaka...
Jela miaka 30 kwa kumpa mimba mwanae
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kiteto, imemhukumu kifungo cha miaka 30, Yerenia Chidaka, mkazi wa Kijiji cha Dongo wilayani humo, baada ya kumtia mimba mtoto wake wa miaka 16.
Mtuhumiwa amekiri kosa hilo hii Septemba 7, 2022, mbele ya Hakimu Mkazi Mosi Sasy, na...
Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO visa vya utoaji mimba takribani milioni 25 hutokea kila mwaka kote duniani, huku nusu ya visa hivyo ambavyo hukadiriwa kama milioni 12 pekee hutolewa kwa njia salama na nusu yake hutolewa kwa njia isiyo salama.
Utoaji huo wa mimba usio salama kote...
Naomba wataalamu watuambie ni vyakula gani mwanamke anaweza kula akaongeza damu haraka wakati wa ujauzito au ni dawa gani zinazoweza kumfaa kuongeza kiwango cha damu naomba jibu wataalamu.
Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu,
Naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine.
Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi.
Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu.
siku...
Tafsiri ya umasikini ni laana. Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu
Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa kuolewa unaishia kuzalia kwenu huku baba wa mtoto hachangii chochote
Unazaa mtoto then hujui nani...
Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa kutoka mimba hadi umri wa miaka miwili. Hakuna nyara katika kufanya hivyo kwa wazazi, lakini athari zake ni za thamani.
Tena, kwa sababu wewe si mzazi huyo au ulilelewa kizembe katika utoto wako, haimaanishi kwamba...
📢📢Wananzengo mpo📢📢
Uzazi wa mpango wa asili
✨Kukwepesha
Msome mtu wako, anapokaribia kufika kileleni... Msadie amwage nje ... Utamjua kwa joto lake la mwili, kukakamaa na yeye kufunga macho au kurembua kama anakata roho😂😂😂
✨Mbegu za mpapai
Tafuta mapapai kama sita... Toa mbegu zake...
In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa .
Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0
Wanawake fanyeni Kazi huku...
Ulimwengu wetu uko kasi sana, ukiangalia tulikotoka na tunakoelekea utashuhudia mwenyewe.
Kwa sasa kuna matangazo mengi sana ya jinsi ya kutumia uzazi wa mpango na matangazo elimu kwa vijana juu ya njia za kujikinga na kupata mimba.
Kwanini elimu hii isitolewe kwa wanandoa? Unamfundisha mtoto...
Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao
Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu...
Hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkali sana kwenye baraza la seneti. Kwenye baraza walitaka kuainisha ni watu gani hasa wana uwezo wa kupata mimba ili wanapopanga bajeti ihusianayo na masuala ya uja-uzito wajue hili suala linawahusu watu wangapi?
Republican wakasema wale tu ambao walizaliwa...
Ni kijana ambaye nilikutana naye mahali fulani wakati nahitaji huduma fulani.
Nilipofika nilimkuta anaongea na simu, kwa kuwa nilikuwa sina haraka nikamwambia amalize kuongea atanihudumia wakati huo mi nimepumzika kidogo kwenye benchi.
Sikuwa najisikia vizuri sana kutokana na vurugu mbalimbali...
Wakuu salaam,
Niliwahi kubishana na rafiki zangu kadhaa kuhusu siku ya mwanamke kushika mimba.Rafiki zangu hawa ni wakike kwa wakiume.
Wao walikuwa wanadai kuwa mwanamke hupata mimba kwa urahisi zaidi katika kipindi ambacho yeye na mwenza wake hawakupanga.
Kwa upande wangu nilikuwa nawaeleza...
Mahakama ya Wilaya ya Iringa, imemhukumu kinyozi, Batista Ngwale (27) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kumpa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18.
Binti huyo alikuwa akisoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kibena iliyopo Iringa Vijijini.
Binti aliiambia...
Habari wakuu, kiukweli kuna Jambo linanishangaza. Hivi ni kweli inawezekana?? [emoji856]
Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila akishamaliza period. 🩸 Sasa siku moja baada ya Kumaliza period tulikutana akanipa Tunda. Tena...
UTANGULIZI:
▪︎Mimba zisizotarajiwa zimekuwa tatizo sugu kwa miaka mingi katika jamii yetu. Nataka kusaidia kuondoa mimba zisizopangwa kwa kumuelimisha mtoto wa kiume ambae ndiye huweka mimba.
Ni rahisi, mwanaume anatakiwa ajue na kuelewa mzunguko wa hedhi wa mwanamke kwa usahihi. Hitaji la...
Unaweza usiamini lakini nndivyo ilivyo.
Heated debate in US Senate erupts over abortion rights for men
A Republican senator who doesn’t believe men can get pregnant was called “transphobic”
Huyo hapo juu ni "mwanamume" anapigania uhuru wa kutoa mimba!! Iko hivi, mwanamke anaweza kuamua tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.