HABARI WANA JF,
Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.👇👇👇
1.Nini Chanzo.
2.Madhara
3.Matibabu.🙏🙏🙏
Mimba zabibu 'Molar Pregnancy' inaweza kusababisha matatizo makubwa, ikiwemo mabadiliko mabaya yanayokaribia kuwa saratani (malignant change).
Wagonjwa wote lazima wafuatiliwe kwa muda mrefu ili kuhakikisha kushuka kwa homoni ya ujauzito (HCG) ambayo inaendelea kuonesha uwepo wa ujauzito...
Great thinkers,
Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
Zamani ilikua ni furaha, heshma na sifa njema mwanaume kupata watoto, kuwalea kwa mahitaji na mafundisho bora lakini siku hizi mambo yamebadilika! Wanaume wengi wamekua na ka desturi kapya kabisaaa. Achana na kale ka kukataa mimba ambazo wanajua kabisa wao ni wahusika; Wanaume wengi wamekua...
Licha ya sheria kukataza utoaji mimba, vitendo hivyo hufanyika na mara nyingi kwa njia zisizo salama. Pamoja na kwamba takwimu zinaonesha tatizo la vifo vya uzazi linapungua, bado kuna baadhi ya mambo yanachangia liendelee kuwepo ikiwemo suala la utoaji mimba usio salama ambao unachangia tatizo...
JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10
Anaandika, Robert Heriel.
Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
Jumla ya kesi 42 za vitendo vya udhalilishaji zimeripotiwa katika Ofisi ya Naibu Mrajisi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Kisiwani Pemba kwa mwaka 2021.
Naibu Mrajisi, Hidaya Omar Khamis amesema bado tatizo la udhalilishaji kwa wanafunzi lipo na ni changamoto kubwa.
Mrajisi huyo alieleza...
Kama kawaida yetu wanaume!
Kuna muda nilisema nimestaafu lakin mmm hakuna kustaafu
Unakutana Na mtoto hadi unachanganyikiwa ,
Mwezi wa 2 nikiwa hapa jijini changi nikapita Hotel inaitwa Indulge Urbun
Nikamuona demu Mrembo Sana yan ! Ni mnigeria nikaanza kumlia timing,
Ilikuwa Jumapili...
Mhali gani wana jamvi
Nini hupelekea kwa mwanamke alokwisha zaa kisha kupitisha muda mrefu bila kubeba mimba takriban miaka 14.
Sasa hivi anahitaji kupata tena mtoto lakini kila akibeba mimba huharibika ikiwa na mwezi mmoja tu
Tatizo Nini hapo?
Habari wana jf ningependa kuuliza kidogo
Hivi kwa mfano mwanamke awe na tatizo la homone imbalance linalomsababishia kuanza hedhi mapema huku siku nyingine ikikata mapema baada ya siku 2-3 na baadae kidogo ina Anzatena
Sasa alipoenda hospitali akapewa vile vidonge vya uzazi wa mpango
Ila...
Mwanamke mmoja (50), amefanikiwa kupata watoto mapacha kwa njia ya upandikizaji mimba jijini Arusha.
Mwanamama huyo ni mmoja kati ya wanawake 500 waliofanikiwa kupata watoto kwa huduma hiyo inayotolewa na kituo cha Huduma ya Uzazi na Upandikizaji Mimba cha Avinta Care Medical kilichopo jijini...
Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!!
Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi. Mara ajitapishe mara aseme anasikia...
Ripoti ya Hali ya ldadi ya Watu Duniani mwaka 2022, iliyotolewa Machi 30, 2022 na Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulika na Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi (UNFPA) imeonyesha kuwa karibu nusu ya mimba zote ambazo ni jumla ya milioni 121 kila mwaka duniani kote, hazikutarajiwa.
Ripoti hiyo...
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.
Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila...
Wanasayansi kutoka American Chemical Society huko nchini Marekani wamegundua ama wamefanikiwa kutengeneza dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume ambazo zina uhakika 99% kuzuia mimba.
Wanasayansi hao wanatarajia kuanza majaribio kwa binadamu mwezi June 2022 na wana matumaini kua hili litafanikiwa...
Hawa wazungu ni wapuuzi sana, sasa hivi wameleta emoji mpya kwenye simu ambazo zinaonekana wanaume wamebeba mimba.
Naona agenda ya kutangaza ushoga inazidi kushika kasi, tunaelekea wapi?
Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Juma Salumu maarufu ‘Juma Kipanya’ ambaye ni mganga wa kienyeji mkazi wa Manispaa ya Lindi kwa tuhuma za kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 15 Wilayani Lindi.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Foka Dinya...
Kwema Wakuu!
Lazima tutende haki, lazima tuseme ukweli.
Wanawake wanamakosa Yao Kama tulivyo Sisi wanaume tunamakosa yetu.
Na mwenye makosa lazima aadhibiwe, na akiomba Msamaha sharti asamehewa lakini adhabu inaweza kubaki palepale.
Taikon huwaga ni mtu wa kuongea mambo magumu yasiyo rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.