Hizi simu kwa hapa kwetu nadhani tunatumia asilimia 15 kati ya 100.
Tunapenda sana mitandao ya kijamii zile app bila app ambazo zitakuwa zina-track kama afya, mizunguko ya wanawake kwenye siku zao, bajeti, maeneo ambayo una kumbukumbu na n.k
Sasa unajua kuchepuka raha sana, basi nikapata...
Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake wa jijini Dar es Salaam, Godfrey Chale amewashauri wanawake wanaotumia vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 kuacha kufanya hivyo ili kuepuka madhara yanayoweza kuwapata.
“Utafiti uliofanywa nchini Ghana mwaka 2003 ulionyesha kuwa matumizi ya vidonge...
Ni mwanamke nilie mjua kupitia jamaa yangu. Ni mwanamke Alie kwenye ndoa yake ni mwanamke wa makamo yupo around 30s katika hii ndoa hakubahatika kuwa na mtoto japo ndoa yake Haina shida full Aman na familia yake alio nayo ya kulea watoto wa ndugu zake na mmewe.
Basi turudi kwenye kisa huyu...
Nimesoma hii stori nikajikuta naanza kucheka mwenyewe, Sugu ban ani mbishi na mtata sana.
-----------------
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewajibu waliomdhihaki kwenye mtandao wa Instagram kwa kumpa mke wake ujauzito baada ya kumsema kwamba ni mgumba.
Sugu ambaye...
Vidonge vinavyofahamika kama P2 au vidonge vya asubuhi ni miongoni mwa aina ya udhibiti wa kuzuia mimba.
Mtandao wa kliniki ya Mayo inafafanua kuhusu vidonge hivi;
Uzazi wa mpango wa dharura ni chaguo bora kwa kuzuia mimba baada ya kujamiiana bila kinga, lakini haifai kama njia zingine za...
Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha)
Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito.
Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya...
Waziri wa Elimu Profesa Mkenda amesema wanafunzi wa kike watakaopata mimba hawataruhusiwa kuingia darasani na watoto (vichanga) vyao baada ya kujifungua.
Mkenda amesema Watoto wana haki zao ambazo ni lazima ziheshimiwe hivyo watakaojifungua itawapasa kunyonyesha kwanza watoto wao kabla...
1. Binadamu ana damu ambayo ina seli nyeupe, chembe sahani na sell nyekundu.. hizi seli nyekundu ndio zinabeba oksijeni na kabondayoksaidi na kimiminika chenyewe
2. Seli nyekundu zina protini inajishika ukutani mwake inaitwa antigen. Kuna antigen A au B au seli inakuwa haina antigen:
• Ambaye...
Kumekuwa na mkanganyiko kuhusu mimba mashuleni ambapo tafsiri na mitazamo huelemea wanafunzi wa kike wanaopewa mimba na watu (wakiwemo Walimu) huku wanafunzi wa kiume wanaotia mimba Walimu wao wa kike wakiachwa nje ya tafsiri na mitazamo hiyo.
Zipo jamii katika nchi za Tanzania na Kenya ambapo...
MWILI wa mwanamke aliyetambulika kwa jina la Teddy Mallya mkazi wa Ilboru Kisiwani, Arumeru mkoani Arusha umekutwa umetupwa kwenye shamba la migomba akiwa mtupu na baadhi ya majeraha mwilini ikiwemo ya kung’atwa na meno huku akidaiwa kuuawa na hawara yake (mchepuko).
Mwili huo ulipatikana jana...
Mkoa wa Iringa umeongoza kwa watoto wa kike kupata mimba za utotoni.
Zaidi ya wasichana 3,000 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 mkoani Iringa, Wamegundulika kupata mimba katika kipindi cha januari hadi Oktoba mwaka 2021, jambo ambalo linarudisha nyuma juhudi za kupata elimu kwa watoto...
Mambo vipi wakuu..
Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde.
Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021 akasema anajiskia kulala lala na uchovu. Basi ikapita hiyo siku then kesho yake tena akaleta hizo...
Samahani waislamu,
Kwa mahitaji ya majike ya nguruwe yenye mimba. Napatikana Mbezi kwa msuguri.
Mbegu ni large white.
Bei chee kabisa ofa ya sikukuu.
500,000 kwa jike moja.
0783985530
Karibuni sana. Ofa mpaka january 15 2022.
Niwatakie siku njema.
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua.
Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo...
Nchini Urusi kila tarehe 12 September ni siku ya kupeana mimba
Hii ilianza kipindi Rais wa Urusi Vladimir Putin Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa hilo ya mwaka 2006, alitaja janga la idadi ya watu kuwa ni tatizo la dharura zaidi linaloikabili Urusi na akatangaza jitihada za kuongeza kiwango...
Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.