mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi husababishwa na nini?

    Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi husababishwa na nini. Je, ni kweli husababishwa kutokushika mimba? Naomba tiba yake
  2. Miss Zomboko

    Mexico: Mahakama Kuu yasema ni kosa kumshtaki au kumzuia Mwanamke kutoa Mimba

    Mahakama Kuu ya Mexico imeamua kuwa uhalifu wa utoaji mimba ni kinyume cha Katiba, kwa kura ya pamoja Jumanne, uamuzi ambao utawawezesha wanawake wa Mexico kote nchini kutoa mimba bila kizuizi. vigezo vya mahakama na Katiba, kumshtaki mwanamke anayetoa mimba katika kesi zilizoidhinishwa na...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

    Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni. Yaliyonikuta najuta kuzaliwa jamani, natamani nilie, kilio hakitoki, natatamani niende kwa Mwamposa nikanywe...
  4. F

    SoC01 Pakacha la Mimba, Masomo na Maisha nimbebeshe nani?

    Nilipopata akili nilisimuliwa kuwa wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo sana. Baba alitangulia na baadae Mama. Walezi wangu wakawa babu na bibi ambao ni wakulima kijijini Manda. Siku moja, nikiwa darasa la tatu walipita wageni nyumbani ambao walikuja kwa shughuli zao pale kijijini. Walisikia...
  5. L

    SoC01 Unaweza kutoa mimba bila kujua mtoto unayemtoa na kumdhulumu uhai wake angekuja kuwa kama muokozi wa taifa

    Willis Austine Chimano, Bien Aime Baraza, Delvin Savara Mudigi na Polycarp Otieno ni wanamuziki kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Katika moja ya wimbo wao bora unaowavutia wasikilizaji wengi zaidi ni ule wa NEREA wa mwaka 2015 ambao waliwashirikisha Amos na Josh. Ndani ya wimbo...
  6. U

    Je, kuna uwezekano wa kushika mimba?

    Habarini, Kuna mwanamke alikuwa anatumia uzazi wa mpango(vjiti), kakitoa mwezi wa 6, mwezi wa 7 tarehe 21-24 brdi,nikalala nae tar 28, mwezi huu, pia kaanza brid tar 11-14,nimelala nae Leo tar 21. Je, kuna uwezekano wa kushika mimba? Na kama ndio nitegemee jinsia gani ya mtoto?
  7. B

    Tanzania ianzishe vyuo vya wanawake tu ili kupunguza mimba kwa wanafunzi

    Watoto sasa wanamaliza kidato cha 4 na kidato cha 5 wakiwa na umri mdogo ni vyema serikali ikaanzisha vyuo vya wanawake hapa nchini. Hii itapunguza mimba za utotoni kuna wakati vyuo mimba zina zidi dah
  8. M

    Kula karanga mbichi kutasaidia kumpa mimba?

    Nimebahatika kupata mdada huko nyuma alishawahi kuolewa akapata watoto wawili. Ni muda mrefu hajapata ujauzito. Mimi pia nataka nimjaze fasta. Mitaani wadau huwa wanadai karanga mbichi huwa ziongeza sperm count hivyo kusadia uja uzito. Wadau wa shoo za ukweli hivi ni kweli karanga mbichi huwa...
  9. Uchumi wa Mifugo

    SoC01 Mimba za utotoni ni "kaburi" la ustawi wa Watoto wa Kike nchini

    Amina (siyo jina halisi)mwanafunzi wa kidato cha tatu katika mojawapo ya shule za sekondari wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kila siku anaamka saa 11 ili awahi kwenda shule,shule iliyopo umbali wa kilometa sita kutoka nyumbani kwao.Kila siku anaenda na kurudi kwa miguu, nyumbani hapati kifungua...
  10. B

    Kiwango gani cha mbegu za kiume kinaweza kupelekea mimba?

    Wakuu, Kama uzi unavyojieleza hapo juu, napenda kufahamu ni kiwango gani cha manii chahitajika ili kuweza kurutubisha yai la mwanamke ambaye yupo tarehe za kupata mimba? Nina maana endapo hujatumia kondomu na ulipanga kuchomoa wakati wa ejaculation na kwa bahati nzuri au mbaya ukachelewa...
  11. Doctor Mama Amon

    Ombwe la elimu ya ujinsia na mimba za wanafunzi 980 katika siku 180 wilayani Kidondo: Sera ya Elimu Tanzania inakidhi mahitaji?

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis akiongea na wananchi na viongozi Wilayani Kibondo Taarifa kwamba huko mkoani Kigoma, kila siku ya miezi sita iliyopita, angalau wanafunzi 5 walio chini ya miaka 18 walikuwa wanafanya ngono ya jenitalia kwa...
  12. Kichochoro

    Nimempa mimba mwanamke asiye mke wangu

    Habar wanajukwaa, Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua. Mwezi june alinijuza kwamba anahisi kama ana...
  13. S

    Rungwe, Mbeya: Shaka Hamdu Shaka alaani faini kwa wazazi wa wanafunzi wanaopata Mimba

    Na Mwandishi Wetu, Busokelo-Rungwe *Ataka sheria zisimamiwe kuzikomesha Atoa Maelekezo mazito kwa DC wa Rungwe. *Alaani watendaji kuvunja sheria za nchi kwa maslahi yao Chama cha Mapinduzi kimesikitishwa na ongezeko la matatizo ya ujauzito na utoro yaliokithiri kwa wanafunzi wa shule za...
  14. Billie

    Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

    Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi. Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri. Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki...
  15. pascal luoga

    Ameniambia haoni siku zake, naomba ushauri tafadhali

    Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu. Iko hivi nini mpenzi wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu ya maana ninafanya. Mara ya mwisho nilisex na huyu bidada kama last 2 weeks na alisema kwamba...
  16. ndege JOHN

    Miaka 27 sijawahi kumpa mimba mwanamke

    Wakuu hii kitu ni hali ya kawaida au nafeli mahali nguvu za kiume ninazo nina uhakika tatizo ni kwamba sijawahi kuletewa hata stori kwamba nimempa mimba nimpe hela akatoe. Puli napiga kidogo tu sio sana mademu wapo kitaa ila mpaka ninywe pombe ndo niongee nao bila pombe nakuwa sina lomoni...
  17. Shujaa Mwendazake

    Dkt. Leonard Akwilipo: Wanafunzi waliopata mimba Tanzania kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata mimba kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi. Akizungumza na wakuu wa vyuo vya maendeleo ya wananchi nchini humo, Katibu mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia , Dk...
  18. BradFord93

    Siku hizi kubambikiwa ujauzito imekuwa kawaida

    Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema kuwa huko mtaani kwao watu kibao walikuwa wanajilia kama utani (kuna washikaji zangu wana camp flan...
  19. Analogia Malenga

    Mwalimu adaiwa kumpa mimba mtoto wa mwalimu mwenzake

    Mwalimu wa shule ya Sekondari Lugulu iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro anadaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu, mwenye umri wa miaka 17 na kisha kutokomea kusikojulikana. Mei 27 mwaka huu shule hiyo iliwapima wanafunzi wote wa kike ujauzito na mwanafunzi huyo alibainika...
  20. MTV MBONGO

    Nawakumbusha tu: Kutoa mimba ni kuua, tujihadhari na dhambi hii kubwa kuliko maelezo

    Huwa kuna kishawishi kuwa Mimba ni Kama kauvimbe tu, kwa hakika hata Kama ni mimba ya siku moja, kuitoa ni dhambi na wale wote wanaoshiriki kuitoa mf. Madaktari na Wauguzi waliofanikisha Mpango huo, Mume au boyfriend aliyesupport kwa namna yoyote, wote wana hatia mbele ya Muumba. Kila kiumbe...
Back
Top Bottom