Baada ya binti kubeba ujauzito wangu kwa takribani siku kadhaa sasa nataka niende kwao nikajitokeze kama mhusika.
Kwa wale wazoefu wa haya mambo naombeni mwongozo naanzaje kujipanga Kama mhusika pili nitakapokwenda kwao
Kwa wale wanaume wenzangu mliopo katika mahusiano ya muda mrefu na mnawapenda sana wapenzi wenu na hamtaki kuwapoteza basi tieni mimba hao wachumba zenu kama vishika uchumba mtoto akizaliwa mtajua mtaleaje.
Haya mambo ya kupeleka barua sijui posa sijui nyumbani kwao wanaitambua kwetu wanamjua...
Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia.
Kiukweli 24/7...
Habari zenu! Naona wanaume tunaendelea kujitengenezea maisha magumu, maisha ya kuhangaika na ada za watoto Hadi uzeeni.
Kwanini naongea hivi? Kama mtakuwa na kumbukumbu Kuna siku niliwaletea uzi humu nimekula mke wa mtu baada ya kutegwa Sana na kujilengesha mwenyewe bila Mimi kujua.
Sasa juzi...
Kevin alikua akifanya mapenzi na Aisha wakitumia kondomu. Waliendelea tendo kwa muda wa dakika tano. Ghafla Aisha akamwambia kevin avue mpira ili waendelee kufanya mapenzi bila mpira wa kondomu.
Kwa vile Kevin hakujua hali ya Asha ya UKIMWI na pia hakutaka kumpa mimba. Kevin alikataa...
Hii dunia ina mambo complicated sana. Ila hii michezo ya kusingizia mimba inafanyika sana kwa ushirikiano wa wazazi wa binti na mtia mimba halisi. Wazazi wanakatiwa chao na jamaa, halafu binti anapangwa jinsi ya kusema. Bahati mbaya na Polisi wetu bongo weledi ni tatizo, mtu anakula nyundo 30.
Rejea hapo juu....naomba niende kwenye mada husika..
Nina mdogo wangu alimtambulisha binti nyumbani kwa wazazi wetu, wazazi wakambariki baada ya hapo binti aliendelea kuishi kwao
Kwa bahati mbaya au nzuri binti alipata Ujauzito ,ikabidi binti atoroke aje kwa mwanaume ili Nyumbani wasigundue...
Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii.
Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi.
Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano.
Profesa Joyce Ndalichako amesema haya...
Kwenye upande wa watoto wa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoonyesha kuwa huenda mwisho wa dunia unakaribia Mabinti wengi nchini Kenya wanatumia Kinywaji cha Coca Cola na Limao kuzuia Mimba pindi tu wamalizapo kufanya Ngono ( Kuzini )
" Tukimaliza tu kufanya Ngono haraka sana huwa tunawahi Bafuni na kujimwagia...
Huduma hiyo inaanza ikiwa ni miaka miwili sasa imepita tangu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza maandalizi ya utoaji wa huduma hiyo ikiwemo kusomesha wataalamu na kuandaa jengo litakalotumika kutolea huduma hiyo.
Akizungumza bungeni leo Jumanne Mei 11, 2021 wakati akiwasilisha bajeti...
Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.
Soma kwa makini kuna fundisho hapa
Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu.
Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada...
Ni mdogo wangu wa kike, anayoyapitia yananiumiza mimi kama kaka yake. Najiona mwenye hatia ndani ya nafsi.
Wazazi wetu walifariki na kutuacha tukiwa wawili, tukiwa wadogo.
Mimi kama kaka niliingia mtaani na nikaishi mtaani kama chokolaa, nilishuhudia na kujionea ni namna gani wanadamu walivyo...
Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?
Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.
Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?
Je...
Wakuu habari
Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa mwanamke asiyezaa, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani.
Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuoa mwanamke...
Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa.
Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh...
Habari !
Ngombe wangu wana tatizo. Kwanza walikua wanamimba wote wawili, then zlivyofika miezi minne - mitano zikatoka wote.
Baada ya hapo wamekua wakiingia joto lakini kila nikiwapandisha hawashiki mimba wote na ndama wao wameshakua wakubwa wanakaribia mwaka, still ng'ombe bado wanakamuliwa...
Habari wanandugu wa JF,
Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content
Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu.
Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume...
Habari wadau,
Nimepokea kwa masikiriko taarifa za diwani wa chadema pale Hai kuachiwa huru baada ya kubambikiwa kesi amebaka na amempa mimba msichana sasa toto limezaliwa DNA sio zake jamaa kashinda kesi kilaini kabisa; sasa najiuliza upande wa pili wa shiling kwanini wanawake watumike kisiasa...
Kutoka kwa mimba changa ni nini?
Miscarriage au kutoka kwa mimba changa ni kupoteza ujauzito kabla haujafikia wiki ya 20. Jina la kitaalamu kwa upotevu huu wa ujamzito mchanga ni “Spontaneous abortion” ikimaanisha “upotevu mimba wa ghafla”.
Zaidi ya asilimia 80 ya upotevu mimba changa hutokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.