mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyanswe Nsame

    Katika kipindi cha likizo ya COVID 19 Wanafunzi 101 Shinyanga wapata mimba

    "Katika kipindi cha likizo ya COVID 19 Wanafunzi 101 Shinyanga wapata mimba" WANAFUNZI 101 mkoani Shinyanga wamepata ujauzito katika kipindi cha mwezi mmoja, kuanzia Machi hadi Aprili Mwaka huu. Wanafunzi hao wamepata ujauzito huo katika kipindi cha likizo ya kujikinga na maambukizi ya homa...
  2. Nyanswe Nsame

    Mimba za utotoni Misungwi zaongezeka

    Mimba za utotoni Misungwi zaongezeka IMEBAINIKA kuwa wilaya ya Misungwi katika kipindi cha miezi mitatu ya Januari hadi Machi mwaka huu kiwango cha wanafunzi na watoto wadogo kupata ujauzito imeongezeka. Katika kipindi cha miezi mitatu, wilaya hiyo jumla ya wanafunzi na watoto wadogo wamepata...
  3. britanicca

    Kipi bora kuoa mwanamke mwenye mtoto au Mwanamke alotoa mimba?

    Nauliza kipi bora hasa Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa...
  4. Prodigy Oligarchy

    Naomba ufafanuzi: Je, kwa hali hii aliyonayo huyu binti je inawezekana kwamba alitoa mimba?

    Salaam, Tuzidi kuchukua tahadhari dhidi ya Covid-19 , maana ipo na ni hatari. Naomba niingie moja kwa moja katika mada husika; Ni hivi, kuna ndugu yupo mkoa fulani ndani ya Tanzania. Ndugu huyu anamtoto mmoja tu, ambaye ni wa kike. Umri wa msichana wake, ni chini ya miaka 22, lakini...
  5. EINSTEIN112

    Kwanini wadada hata mkiwa na ujauzito mchanga kabisa mnatundika mitandio begani?

    Yaani hata ukute mdada ana mimba ya wiki mbili, yaani haionekani kabisaaa utakuta mtu anatundika Mtandio begani anafunika tumbo, mi nikiona mdada kafanya hivyo najua kabisa mzigo tayari. Mnafanya hivi kwa kuwa mnaona aibu?, au kutujuza mabaharia tusiwasumbue, kwamba kuna baharia alishawahi? au...
  6. Analogia Malenga

    Asiyejulikana amjaza mlemavu mimba 6

    SERIKALI mkoani Mbeya imeombwa kuingilia kati sakata la binti mwenye ulemavu wa akili anayepewa mimba mfululizo na mtu asiyejulikana. Hadi sasa amezalishwa watoto watano pasipo baba yao kujulikana na sasa ni mjamzito tena. Wananchi wameomba Serikali imtafute mwanaume anayempa mimba binti huyo...
  7. Elitwege

    Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

    Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa. Baba yangu alikuwa anamlipia...
  8. J

    Dkt. Abbas na Abdul Nondo watofautiana namna watoto wa kike wanaopata mimba shuleni watakavyoendelea na masomo

    Dr Abbas ambaye ni msemaji mkuu wa serikali anasema wanafunzi wanaopata mimba shuleni hawatarudi kuendelea na masomo katika mfumo rasmi bali wataruhusiwa kupitia mfumo usio rasmi yaani private candidates. Abdul Nondo boss wa vijana pale ACT wazalendo anapinga vikali yeye anataka wanafunzi hawa...
  9. Mema Tanzania

    Mimba za utotoni ni mkwamo mkubwa kwa mabinti walio shule

    Mimba za utotoni ni moja ya mkwamo mkubwa wanaopitia mabinti walio shuleni kuweza kutimiza ndoto zao. Katika kipindi hiki cha likizo ya ghafla hatari ya mabinti kupata mimba ni kubwa zaidi. Hata hivyo yafuatayo yanaweza kukusaidia kuepuka vishawishi na matamanio ya kingono;- Fanya mazoezi ya...
  10. T

    Nachukia sana mwanamke anayetoa mimba

    Binafsi kuna wanawake nimewahi date nao na wametoa mimba yangu Wa kwanza niliishi nae kama mke pindi nimemaliza chuo nilimpata field then nikamsaundisha akanikubalia, tulikuwa tukitumia condom mara nyingi wakati wa kugegedana but tulikuja acha baada ya kupima. Alivyopata mimba hakuniambia ila...
  11. Mzalendo Uchwara

    Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

    Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima. Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima...
  12. beth

    Pwani: Wanafunzi 184 wamepata mimba kwa mwaka 2019. Wengine 1900 washindwa kuendelea na masomo kwasababu ya utoro

    Wanafunzi 184 kati ya 2,091 wa Shule za Msingi na sekondari mkoani Pwani wamekatisha masomo kutokana na kupata mimba kwa mwaka 2019. Kati yao waliopata ujauzito, wa shule za msingi ni 40 na 144 wa sekondari huku wanafunzi 1,907 wakishindwa kuendelea na masomo kutokana na utoro. Kutokana na baa...
  13. U

    Sasa nimeelewa kwanini Penny na Kidoti walitoa mimba za Diamond

    Nadhani Kati ya wanawake waliodate na Diamond, wawili ndo walikuwa brightest of all, kwanza kielimu na pia kitabia. Nawaongelea Penny na Kidoti. Hawa kinamama waliweza kuona mbele na hawakutaka kuja kuwa masingo mother Kama Zari, Missa, Tanasha. Coz waliijui na kuisoma vizuri tabia ya mmanyema...
  14. Kapepo

    Nampenda ila katiwa mimba

    Kuna msichana tumekuwa kwenye mahusiano tangu mwaka jana mwezi 11, ila kipindi chote icho hakuwa na imani na mimi kama nipo serious nae kwa sasa anadai ananipenda sana baada kugundua upendo wangu wa dhati kwake, tatizo linakuja kwa sasa ana ujauzito wa mwez mmoja kapachikwa na baharia mmoja huko...
  15. Victor Mlaki

    Dodoma: Kila mwezi wanafunzi wa kike 16 wanapata mimba Dodoma

    Hii idadi siyo ndogo kuna haja ya jamii kuamshwa ili kutambua mchango wa elimu kwa Mtoto wa kike kwa kuangalia mrejesho wa elimu kwa mtu binafsi na kwa jamii yake "private rate of return and socia returns".. Elimu pia ina faida msambazo kwa jamii "spill over benefits".Kuna haja elimu ya...
  16. Masweeter

    Ushauri:Baada ya mwanaume kunipa mimba ananikwepa sana, eti niitoe

    Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji. Naomba ushauri wenu
  17. beth

    Kagera: Muuguzi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanafunzi wakati akimtoa mimba

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Dezber Kahwa (49), mkazi wa Kijiji cha Kibengwe, Bukoba Vijijini, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Alinda Leverian (14), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kilima, kwa kumtoa mimba kienyeji. Kamanda wa Polisi mkoani Kagera...
  18. Erythrocyte

    Kama Kutoa mimba ni kosa nchini Tanzania basi Wema Sepetu akamatwe

    Wema Sepetu ametangaza mwenyewe mitaani na mitandaoni kwamba aliwahi kutoa mimba mbili za Marehemu Kanumba, kwamba " alivinyongelea " mbali vitoto vya Kanumba (bado haijafahamika sababu ya kufanya unyama huo) Bali kinachofahamika ni kwamba Nchini Tanzania ni kosa kisheria kutoa mimba , na yuko...
  19. G Sam

    Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

    Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu. Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
  20. bahati93

    Je, mabinti wa shule walaumiwe kwa kushika mimba?

    Habare comrades Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
Back
Top Bottom