Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande amesema bungeni ni mahali patakatifu na si pa kwenda kufanya mzaha na kuzungumza kuhusu uzazi wa mpango, utoaji mimba au mapenzi ya jinsia moja.
Ameeleza hayo Ijumaa Machi 26, 2021 katika ibada ya mazishi ya Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania...
Haikuwa tu Amerika na Umoja wa Kisovyeti katika mbio za kuufika Mwezi na Anga za mbali katika miaka ya 1960.
Kifungu cha habari katika jarida la Time 1964 kilichoelezea kuhusu uhuru wa Zambia kilijumuisha habari nyingine kuhusu mtu mmoja ambaye hakufurahi sana juu ya sherehe hizo za uhuru...
Wanabodi hili suala ni changamoto kubwa sana katika jamii.
Utakuta binti anaanza mapenzi bado mdogo, tena yupo primary school au secondary school. Wazazi wanajua nini kinaendelea. Maana binti kama analiwa huwa hajifichi. Mara ghafla anapata mimba. Ili kuondoa aibu wazazi wanajifanya kwenda...
Haingii akilini kusikia eti chombo cha habari kama Radio (hasa za FM) na television (hasa za vijana) vinaendesha kampeni ya kuzuia ngono na mimba kwa vijana wakati huohuo vinahamasisha vijana kufanya kijiingiza kwenye mapenzi.
Imefahamika kuwa watoto wengi huwa hawasikilizi na kuangalia Radio...
Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo?
Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a...
Ipo hivi nilikuwa penzini na demu fulani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada ya kustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kuwa friends na Salam fupifupi
Kanzia mwezi Novembea mwaka Jana akawa anazidisha mawasiliano na kuomba turudie...
Vipeleleze shutuma za rushwa kuhusiana na kesi za ndoa za utotoni, kama ushahidi utapatikana iwaadhibu maafisa wa utekelezaji wa Sheria wanaohusika.
Serikali ipanue Mahakama za Watoto, kama ilivyowekwa kwenye Sheria ya Mtoto, kwenye maeneo ya Vijijini na Mjini ili kuongeza upatikanaji wa...
Wanasheria hebu tusaidiane hapa.
Mfano binti alipata divisheni 3 mwaka 2018 na akawa mtaani sasa kapata mimba, yeye anasema bado ni mwanafunzi anasubiri kwenda form 5.
Je, hii ni kesi ya kumpa mimba mwanafunzi?
Mada hapo juu yaeleweka.
Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26.
Shule nyingne zaidi...
Ujana ni maji ya moto. Ni msemo maarufu ukiwalenga vijana wakiwamo wasichana ambao ujana wao unawasukuma kujiunguza kwa ‘maji ya moto’.
Hata hivyo kwa muktadha wa habari hii, maji haya ni kitendo wanachokifanya wasichana hao kutumia njia mbalimbali hata zisizo salama ili kuzuia mimba.
Miongoni...
Kama kichwa cha habari kinavyouliza
Je, Wanafunzi kwa Wanafunzi Wakipeana Mimba je kwa upande wa Sheria upoje Maana kuna Mwanafunzi wa Darasa la Tano kapewa Mimba na Mwanafunzi wa Form Four huko Wilaya ya Ulanga halafu hakuna kilichojiri.
Swali dogo tu,
Eti mimba iliyoingia terehe 4 mwezi mpaka terehe 18 mwezi huu inaweza kuonesha dalili zozote kama kichefuchefu au kutapika? Je, ujauzito unaweza kupimwa wakati huu?
Kuna dogo ameniuliza haya maswali sasa hivi, msaidieni.
Natanguliza shukrani.
BIMA YA NSSF HAIHUDUMII MIMBA YA MIEZI SITA KUSHUKA CHINI.
Habari zenu ndugu zangu!
Kuna ukweli au milolongo tu ya hpa na pale, nilimpeleka mke wangu hospital ya DAR GROUP pale tazara kwa matibabu ya tumbo yaliyodumu kwa siku mbili akiwa kwenye hali ya ujauzito, lakini cha kushangaza...
Mbali na suala la mimba za utotoni imebainika pia kwamba changamoto nyingine wanazokumbana nazo watoto wa kike ni pamoja na ukosefu wa taulo pindi wanapokuwa katika siku zao.
Baadhi ya Familia, Koo na Makabila kuendeleza mila ya kutoa kipaumbele kwa Mtoto wa kiume kwenye fursa za maendeleo...
Wapendwa habar za jumapili,
Ninapata changamoto naombeni ushauri kwa wanaojua vyema. Mke wangu amejifungua mara mbili, zote kwa kisu, kwa sasa ananyonyesha mtoto wa mwaka mmoja ila tumejichanganya ana ujauzito wa mwezi mmoja na hatukua tayari kwa swala hilo kwa sasa coz bado wato ni wadogo na...
Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee!
Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani.
Hivi angechukulia majukumu yake serious kama mzazi na kujitolea kwa asilimia 100% Diamond kweli angemsahahu? I doubt it...
Hivi karibuni nimepokea Taarifa nzuri kwa kila mwanamme...
Kuna binti mmoja nili do naye takribani wiki 2/3 tatu zilizopita. Hivi karibuni baada ya kuona mabadiliko ya kimwili akaenda kupima ujauzito na kukuta ana ujauzito wa wiki 2/3.
Baada ya kugundua hivyo, moja kwa moja alinifata na kunipa...
Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :-
Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano,
ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria
iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi.
(2) Bunge au Baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.