mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mabweni shule za kata yanaweza kuzuia mimba kwa wanafunzi

    Kwa miaka ya hivi karibuni, tatizo la mimba kwa wanafunzi katika shule nyingi za sekondari za kata, na hasa zile zilizopo maeneno hya vijijini, limekuwa moja ya maadui wakubwa wa elimu na maendeleo ya watoto wa kike. Aidha, takwimu za Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya Tanzania wa Mwaka 2015-16...
  2. Miss Zomboko

    Argentina yapitisha muswada wa kuhalalisha utoaji wa mimba

    Baraza la seneti la Argentina, limepitisha mswada wa sheria wa kihistoria unaohalalisha uavyaji mimba katika taifa ambalo Kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi mkubwa kwa muda mrefu. Argentina imekuwa miongoni mwa kundi dogo la nchi za Amerika Kusini kuchukua hatua hiyo. Muswada huo...
  3. J

    Athari za Kisaikolojia kwa Wasichana wanaobeba mimba katika umri mdogo

    Mimba za utotoni zinaathiri mwenendo na tabia za Msichana ambapo asipopata matibabu ya kisaikolojia uwezekano wa kufanya ukatili akiwa mtu mzima ni mkubwa Mimba ina madhara mengi zaidi, Msichana anaweza kumkataa, kumkimbia #Mtoto. Lakini anapokuwa na huyo mtoto uchungu unazidi kwahiyo anaweza...
  4. V

    Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana. Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
  5. mwanamwana

    Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

    ''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA'' Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai kumficha kwa takriban miezi 19. Harmonize amedai kuficha mtoto huyo ili kulinda mahusiano yake na...
  6. J

    Mimba za utotoni: Visababishi na miiko ya wahenga

    Swala la mimba za utotoni limekuwa ni jambo lenye utata kwenye jamii nyingi ndani nanje ya Afrika. Utafiti wa shirika la afya duniani (WHO) unaonyesha kwamba wasichana milioni 16 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 19, na wasichana milioni 1 wenye umri wa chini ya miaka 15 huwa wahanga wa mimba za...
  7. J

    Je, ni sababu gani zinazosababisha mimba za utotoni na kupelekea Wasichana wadogo kuwa Mama katika Umri mdogo

    Imeandikwa na: Jukwaa la Utu wa Mtoto - Children’s Dignity Forum (CDF) Source: “Sikujua Nilipataje Mimba,” Utafiti Shirikishi kuhusu Mimba za Utotoni na kuwa Mama katika Umri mdogo uliofanywa Wilayani Mpwapwa, Tanzania: (2018) Mimba za utotoni ni moja ya changamoto kubwa ya kiuchumi na kijamii...
  8. Meko Junior

    Jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba mtoto angekua na umri gani?

    Embu tuambizane, ndugu wajenzi wa nchi, maisha yanatunyoosha na sisi tunayanyoosha. Wengi tumepitia changamoto nyingi za maisha, wengi tumepitiwa kwenye mahusiano mengi sana, wengine wakapat mimba au kuwapa watu mimba na kuchukua maamuzi ya kuitoa. Embu jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba...
  9. Miss Zomboko

    Geita: Amsababishia mwenzake kifo wakati akimtoa mimba nyumbani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamshikilia Vestina Michael (44), mkazi wa Buseresere wilayani Chato kwa tuhuma za kumtoa mimba na kumsababisha kifo Mariam Msalaba (40), ambaye alipoteza maisha muda mfupi baada ya kutolewa mimba nyumbani kwa mtuhumiwa. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita...
  10. Analogia Malenga

    Mbaroni kwa tuhuma za kuua akijaribu kutoa mimba

    JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikiria Frodius Protace ‘Gafseki’ (24) mkazi wa Kijiji cha Rushe wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua Saraiya Idd (25) mkazi wa Kijiji cha Mabuye wilayani Misenyi wakati akijaribu kumtoa mimba ya miezi sita kwa malipo ya Sh 600,000. Kamanda wa Jeshi la...
  11. Research Solutions TZ

    Wasio na uwezo wa kushika au kutia mimba wanachangamoto nyingi maishani

    Bila shaka tunatambua ustawi wa jamii unaanzia kwenye ngazi ya familia, kwa hiyo ni jukumu la ustawi wa jamii kuwa na sera inayoyaangazia matatizo yote yanayoikumba ngazi ya familia ili kuiweka sawa Ngazi ya familia ina kitu wanaita TARAKA, ambaye sababu yake kuu kwa tafiti zilizopo ni mtu...
  12. Top gun maverick

    Niko njia panda, ushauri unahitajika

    Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya. Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi...
  13. Rodriquz

    Je, Mwanamke anaweza kujifungua kwa njia ya kawaida iwapo mimba ya kwanza alijifungua kwa upasuaji?

    Napenda kufahamu kama mama mjamzito anaweza kujifungua kwa njia yakawaida baada ya mimba yakwanza kujifungua kwa upasuaji uliosababishwa na njia ndogo wakati wakujifungua
  14. Sam Gidori

    Sudan Kusini kufungua shule kuanzia leo, mimba kwa wanafunzi zaongezeka

    Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema. Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuondoa katazo lililowekwa mwezi Machi na Rais Salva Kiir la kufunga shughuli zote za...
  15. Miss Zomboko

    Rukwa: Mume amnyonga na kumkata na shoka mkewe kwa tuhuma za kutoa mimba yake bila ruhusa

    POLISI mkoani Rukwa wanamtafuta kijana mkazi wa mtaa wa Kanisa Katoliki Manispaa ya Sumbawanga, Joseph Kalolo ‘Mwamba’ (35) kwa tuhuma za kumnyonga mkewe na kuutenganisha mwili sehemu mbili kwa shoka. Inadaiwa kuwa baada ya ‘Mwamba’ kumuua Maria Kaozya (30), alimchukua mtoto wao akamkabidhi kwa...
  16. B

    Huduma ya kupandikiza mimba Muhimbili

    Wapendwa poleni na majukumu. Naomba kuuliza kwa anaefahamu kama Muhimbili wameshaanza huduma ya kupandikiza mimba na gharama. Naomben kufahamu.
  17. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    Nasema ingawa najua wengi hawapendi kusikia hasa kwa vile hawana maeneo ya kukimbilia. Anachofanya ZZK, Zitto ni sawa na kuhalalisha utoaji wa mimba katika chama chake. Wakongwe wameshindwa anachofanya kwa sasa. Chadema wamefanya wakagundua kuwa ina shida. Mwaka huu wameelewa nini maana ya...
  18. GENTAMYCINE

    Mimba za Utotoni kwa Watoto wa Kike Mkoani Ruvuma ni kama vile Israeli na Roho ya Binadamu!

    Jumla ya wazazi 35 wakazi wa Kata ya Nalasi katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuwafungia watoto wa kike chini ya miaka minane huku wakiwafundisha mbinu za kuishi na wanaume maarufu kama “Msondo” mila ambayo imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha mimba za...
  19. DissDotCom

    Tuwape mimba Wachumba zetu jamani

    Habari za muda mrefu wakuu wakazi. Leo ningependa kushare jambo moja muhimu hasa kwa wanaume wenzangu, unajua kumbe sisi vijana wakiume tunapochelewa kuoa au kupata watoto huwa inawakwaza sana wazazi wetu. Hii imenitokea mimi binafsi na nimeshuhudia, kwanza nilipanga nisizae nje hadi nifunge...
  20. Yoyo Zhou

    Mimba za utotoni: Nani wa kulaumiwa?

    Mlipuko wa virusi vya Corona unaoshuhudiwaduniani kote umeleta athari kubwa katikauchumi na maisha ya watu, kwani biasharazimefungwa, shule zimefungwa, na waajiriwawengi wanafanya kazi majumbani, huku wale ambao kwa bahati mbaya iliwalazimu kutoka ilikupata pesa za kulisha familia wakiwa...
Back
Top Bottom