Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana...