Habari wanajukwaa!
Mwalimu mmoja anaefundisha Jangwani girls, amenifata kuniomba nimshauri kitu!
Kuna mwanafunzi kamfata leo ,kanambia Ana tatizo ,kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge,
Ila mwl.kagoma na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya...