mimi

  1. Myebusi Mweusi

    Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

    Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...
  2. Annie X6

    Haya magroup ya shule mmlishamaliza shule miaka yapata 12. mnachangishana Hivi mimi ndiye nawaza negative?

    Tuliomaliza shule wakati magroup ya whatsapp hayajaanza tulibadilishana mawasiliano tu..baadae teknolojia ikatukutanisha kwa sura zetu pichani na wengine hawaweki nyuso zao isipokuwa avatar au picha za wanawe nakadhalika. Kazi inakuwa na maswali pale lnapokuwa hamuonani na mnaanzisha group la...
  3. KakaKiiza

    Mimi naamini Ukraine na Marekani wapo juu ya huu mpango wa ugaidi nchini Urusi!!

    Kutokana na Uharaka wakujibu Zelensky anahusika moja kwa moja,pia mipango iliyoanzishwa na marekani mapema mwezi huu kuwa kunaweza kutokea shambulizi la kigaidi basi hizo zilikuwa ni propaganda zilizotengenezwa kuiaminisha jamii kuwa ikitokea wasema hata marekani alisha sema! Sasa wakasahu kuwa...
  4. Mhafidhina07

    Kuna mwaka siku tarehe na siku kama ya leo nilizaliwa mimi. Unajua ni mwaka gani?

    Hebu tujaribu udadisi huu kidogo. Mimi nilizaaliwa miaka kadhaa iliyopita leo nimegundua siku na tarehe zimejirudia ila mwaka na mwezi ni tofauti; je, ndugu zangu mnajua nimezaliwa mwaka gani namwezi upi?
  5. Barca

    Miaka mitatu ya Hayati Magufuli, anaishi kwenye mawazo na fikra za watanzania

    MIAKA MITATU YA JPM;HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI ANAISHI KWENYE MAWAZO NA FIKRA ZA WATANZANIA. Leo 17:30hrs 15/03/2024 Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki...
  6. S

    Bilionea Nwoko: Nimi siwezi kumuoa mwanamke ambaye sio bikra

    Bilionea Ned Nwoko kutoka nchini Nigeria amesema huwa hafungi ndoa na Mwanamke ambaye sio bikra. Bilionea huyo hadi sasa ana wake 6 anaishi nao wote hadi sasa. Maneno hayo alitamka kwenye interview Mpya na kuweka wazi kuwa yeye akitaka kuoa ni lazima mwanamke husika awe bikra bila hivyo Haoi...
  7. Msanii

    Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

    Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo ni ya kupewa na wazazi ama jamii yako lakini hayana uhusiano na wewe as mtu. Lakini, unachokitaja...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Kwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000...
  9. P

    Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya. Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi...
  10. D

    Mimi Mgeni humu, naomba kupokelewa

    Mimi Mgeni humu, naomba kupokelewa. Nina asili ya uandishi, utafiti na uanasiasa. Nitakuwa nanyi katika mambo yote yanayohusiana na haya. Ahsanteni.
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

    Habari za Majukumu! Tangu mwaka huu uanze haya maji ya DAWASA nikiyanywa tumbo linaniuma. Zamani nilikuwa nakunywa ya kuchemsha yaani bila kuchemsha maji sinywi labda ninunue. Mwaka jana nikajaribu kunywa maji ya bomba (DAWASA) bila kuchemsha nikaona hayana shida. Ni mpaka mwaka huu Januari...
  12. Hakuna anayejali

    DOKEZO Nini kifanyike bajaji na bodaboda kutosimama kwenye zebra?

    Habari, katika kutembea kwangu hapa na pale nimegundua tabia za madereva bajaji na bodaboda wengi hawatii sheria za barabarani, gari linasimama zebra lakini hao jamaa wanapita kushoto au kulia au hata wanapishana na mtembea kwa miguu katikati ya zebra. Na wakati mwingine wanaona toka mbali mita...
  13. N

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK. Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK) Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp...
  14. Chizi Maarifa

    Hizi siku mbili tatu sijawa mimi kabisa. Naanza kama hata kuugua

    Sijaelewa kama kuna mkakati watu wameaunda wa kuamua tu kuwa watulivu? Najitahidi weeeeh sipati wa kumkamua... Nauliza UMUGHAKA upo wapi? Wapi dorothea namugarika wapi dr namugari ? Dume la nyani nipo tayari kwa vita.... Sioni wapinzani humu.
  15. Chizi Maarifa

    Clatous Chama ni mchezaji mzuri. Mimi sipendi aendelee kuwa Simba

    Huyu jamaa, Natamani aondoke Simba. Simpendi kwa kuwa ni mchezaji mzuri. Akiamua huwa anafanya mambo ambayo ni ngumu kuelezea. Ninamwangalia hapa sijui tungempata Yanga huyu ingekuwa moto zaidi. Ni bonge la mchezaji.
  16. Kijana LOGICS

    Mimi ni kijana mdogo ila nimezeeka ghafla

    Mimi ni kijana mdogo tu ila nimezeeka usoni yaani ghafla tu ile sura konki ya kiutu uzima mixer upara kwa mbali naviona mwilini. Nikitulia hâta bar wale machinga huwa wananiletea nguo na viatu vya kizee kizee yaani masuruali mabwanga ni viatu vya ajabu ajabu. Wale machinga wenye vitu vya...
  17. GENTAMYCINE

    Mlio tayari na Matokeo ya Simba na Jwaneng Galaxy nipeni kwani Mimi Mganga wangu tegemezi kapofuka Macho hivi punde tu

    Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
  18. M

    Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio. Ushauri Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe...
  19. THE FIRST BORN

    Mo Dewji tunaomba utusamehe sisi sote tuliokunyoshea kidole kwenye Mali yako

    Kiukweli tusamehe sana MO, Mimi nikiwa wakilisha Mashabiki wenzangu wa Simba. Naomba Utusamehe sana kukusema kuwa wewe ni bahili Mara hujitoi na tukaenda mbali kukulazimisha kuachia Timu pasipokujua hii ni Mali yako na umeinunua Miaka Mingi yapata 5 sasa. Tusamehe sana RAIS WA HESHIMA Sisi ni...
  20. Hakuna anayejali

    Msaada wa kueleweshwa hapa

    Habari wanajukwaa, Baada ya kurudi kazini nimekuta barua hiyo hapa chini, kipengele kinachonichanganya ni hicho kinachosema risiti zote za ulipaji kodi ya ardhi. Nakumbuka miaka kadhaa serikali ulisema sasa pango ya ardhi na nyumba italipwa kupitia lulu na kweli tumekuwa tunakatwa kwenye lulu...
Back
Top Bottom