Habarini,
"Marriage-diggers" ni aina flani ya wanawake ambao maamuzi yao ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yako dictated na umri wao.
Unaweza kuta mdada mzuri tu kimuonekano, ana miaka 28,29, au 30 yupo single hana mtoto, halafu anakushobokea kiaina, unamtongoza anakubali kirahisi...
Ukiwa mtu wa Mpira na umecheza mpira na unaelewa mpira na unaenjoy mpira ni raha sana, leo nimefurahi, nimeshangilia, nimechambua, na raha nimeipata.
Hongera Yanga SC hongera wana Yanga SC football ni raha sana.
Mungu ibariki Tanzania
Ni hayo tu 🙏🙏🙏
Wadiz
Ndio, kuna msemo unasema "with great authority comes great responsibility" yani kila mamlaka makubwa huambatana na majukumu makubwa, lakini jambo la kushangaza ni kwamba wanaume wengi hasa wa kiafrika wanayataka hayo mamlaka tu ila majukumu hawayataki
Mimi naona ifike pahala dunia iachane rasmi...
Sijawahi hata siku moja kuliwa nauli. Dada mmoja alijaribu kula tsh 8,000 yangu. Nikasema moyoni ataitapika. Wala sikumlaumu. Ukiliwa nauli na demu usimtukane. Kuwa mpole kuwa kama fala. Usimzindue.
Ile pesa nilimtumia alipoipata akasema hatoweza kuja. Nikamwambia its ok hamna shida pole pia...
Umaskini unatesa, umaskini unaaibisha sana, hakukosea aliyesema umaskini ni wa kuchukia na kukimbia, hakuna atakaye kujali mpaka utakapokua tajiri wazee.
Ukiwa maskini kwenye ukoo watakuona kama mpiga kelele tu, imagine mtu mzima 30's napata kipato cha laki nne kwa mwezi, sina kiwanja wala mke...
Mwamba ni wa kitambo,
Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa
Mwamba anongozwa na akili na si mihemko na ndio maana nadra kusikia kafanya maamuzi ya hovyo
Mwamba...
Habarini wapendwa,natumaini mnaendelea vyema.Samahani mimi ni kijana wa miaka 22,naishi Buguruni,Dar es salaam.Nina ujuzi katika kutengezneza beat,mimi sio professional sana ila ninajua na ninaweza kwa uwezo wangu.
Kama kuna mtu anafahama studio ya muziki inayohitaji music producer tafadhali...
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.
Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.
Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.
I'm in btn devil and deep blue sea.
Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na nikachaguliwa moja kwa moja kuwa mrithi sahihi wa mke marehemu mzungu wa nywele si mnaelewa...
Paul Makonda ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa amezungumza hayo akiwa Njombe mjini.
"Na sisi tukimaliza hii ziara tunampelekea ripoti Mwenyekiti wa chama Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba tulipita mkoa fulani...
Nawasalimia wana JF, hope mpo fine.
Ebana hii nahisi siyo hali ya kawaida ni pepo mbaya, ipo hivi........
Katika kipindi hiki cha ujana na ukizingatia bado sijaoa mda mwingine unasafiri huku na kule katika kutafuta ugali. Katika harakati zangu na kutembea mikoa mbali mbali kuna muda unapita...
Mie ni Mama na mjue kuwa hata mkisema mengi mie ni mama nimeolewa na watoto sio mtoto na watoto wanne mie ni mama.
Juzi kati hapa mnaniandama mie nimtu mzima sana. Ongeeni mengi ila mie ni mama.
Na mume na familia
Wanabodi,
Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,
Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.
Zawadi...
Tajiri wa kwanza duniani Bw. Elon Musk ajitambulisha kama mtu mwenye asili ya Israel kama anavyo simulia hapa chini 👇
---
Elon Musk has reflected on his “Jewish roots” during his childhood in South Africa. The world’s richest man – who was born in Pretoria – shared his experience during the...
Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa.
Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU.
Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe.
Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna.
Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe.
Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea. Girls wengi marafiki nakuwa nawapoteza kiivyo.
Hii imekaaje wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.