mimi

  1. O

    Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake...
  2. Kuna shida Gani kwenye Operation za Uzazi? Hivi vifo ni mimi tu naona?

    Inaumiza sana ndugu zangu. Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu.. Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea. Inauma Sana ndugu zangu, Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate...
  3. Ameniorodhoshea mahitaji mengi utafikiri mimi ni babaake

    Nilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla. Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini. 1. Simu ya laki saba 2. Kusuka mtindo wa elfu 70 3. Begi la laki moja 4. Kiatu cha elf 50 5. Bundle...
  4. Hatimaye naenda kuumbuka. Mimi ndiye nilikuwa chanzo cha Unit 13.7 kuisha ndani ya masaa 8 hadi 12

    Habari zenu wana JF. Kama mjuavyo, nimeacha nyumba, mke wa mchongo na wanangu wawili huko Nanjilinji, nikaamua kuja Dar kusaka maisha. Hivyo nilifikia kwenye nyumba ya kupanga ambapo tu wapangaji watano, watatu wana familia na wawili akiwemo mimi tu mabachela Kero iliyopo ndani ya hii nyumba ni...
  5. Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

    Wanabodi, Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samiahttps://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L Kiukweli kabisa mimi nimemwelewa sana Mwenyekiti Freeman Mbowe hapa, na hata ningekuwa mimi!, I would have felt the same, but not...
  6. Selfie kwenye Miradi: Mimi nimechoka kupata taarifa miradi kila siku tunatumiwa video na ahadi ya kukamilika miaka inasonga mimi nimechoka sijui nyie?

    Jana nimeona Train ikipita huko ulaya wakasema ni ya kwetu. Inafanyiwa majaribio. Lakini hata bwawa la mwalimu nyerere imefikia tujumlishe ahadi na promise na idadi ya viongozi waliyoshiriki kupiga picha kwenye Miradi. Yaani utasikia hili kesho lile lakini mradi hufanyikazi. Ni bora wanyamazee...
  7. B

    Nimegundua kumbe Mimi tayari naishi Akhera / Mbinguni

    Habarini wana JF nadhani wengi mtakuwa mmerudi toka France, Dubai, Usa, Uk, Canada, Sweden, Norway n.k kwenye Mapumziko. Nashukuru mimi ndo nimerudi majuzi nlikuwa hizo nchi pia. Nikapigiwa simu kuwa kuna mfanyakazi mwenzetu kafiwa na jirani yake wanataka wasafirishe maiti kwenda Bukoba kwa...
  8. Kifo sio lazima niamini mimi, basi sio kwa vile jinsi tulivyokizoea broh

    Ule msemo wa kwamba kila nafsi itakufa ni uzushi tu. Ni uzushi ambao umekubalika sana kiasi ambacho umeshakuwa kipande-cha-ukweli. Mbadala wa kipande-hicho-cha ukweli hata kama ni kweli kabisa lakini sasa ukizungumziwa basi watu watautazama kwa macho yenye walakini kana kwamba ni habari ya...
  9. N

    Mafundi naombeni mnishike mkono mimi saidia fundi

    Habari za muda huu wanajamii nimerudi tena, Jamani kama kuna fundi yeyote atakae saidia fundi nipo tayari kufanya ili namimi niweze kupata ujuzi.
  10. Naomba kuuliza hili tatizo la thread zangu Mpya ninazopost lipo kwangu tu au Mimi ndo sijui namna ya kuview my post status.

    Habari wanajukwaa, mwenzenu kila nikipost nyuzi(thread) lakini nikitaka kuview comments na kujibu hoja post hizo huwa hazionekani, Bali zinaonekana za zamani tu. Au Mimi nakosea namna ya kuoperate. Majibu tafadhali au muongozo........
  11. M

    Nifafanulie formula atakoyotumia nabii au mtume kunifanya mimi mwenye mshahara wa 1,500,000 nijenge au ni nunue gari

    Amani iwe kwenu, Kumekuwepo na maneno mengi juu ya miujiza inayofanywa na wachungaji ,manabii na mitume kuwa, wanaweza kufanya miujiza ukabadilisha maisha yako mfano ukapandishwa cheo kazini, ukajenga ukapata mtoto na hata ukanunua gari. Mnaowaamini hao mitume na manabii leteni ufafanuzi...
  12. T

    My Story..

    Niite Mimi ndyo jina langu(sio jina langu halisi. Nimezaliwa Miaka 30 iliyopita Kanda ya ziwa.Nina elimu ngazi ya Shahada. Nikiwa nina Miaka 10,siku moja jioni ghafla nikasikia kitu kinatembea machoni kama mtu aliyemwagiwa mchanga.Nikajua ni mchanga umeingia tu,Kumbe!Nikaanza kufikicha na...
  13. Kushika mimba Tanzania isiwe hofu kupoteza ya maisha.

    Kuna Dada mmoja amefariki wakati wa kujifungua lakini Sasa naona kama imekuwa ni kawaida Sasa. Vifo vya kinamama vimezidi sana inafikia hatua watu wanne au watatu wa karibu. Juzi Kati nimeona hadi mwandishi wa habari pia. Hebu tuanze campaign ya kuhusu uzazi salama. Wadau wa Afya tuliangalie...
  14. Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

    Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
  15. Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika. Miaka...
  16. Mimi huwa sina urafiki na mwanamke, ukiingia kwenye rada zangu lazima nikuombe!

    Eti vidume wenzangu nyie mnaweza kuwa marafiki na hawa watoto wazuri wa kike mimi siwezi aiseeeh, yaani ukiona tu najisogeza kwa manzi hiyo mbinu ya kuomba tunda. Akininyima namwambia sawa mama pita hivi na mimi nipite hivi. Kumekuwa na kasumba mtaani eti urafiki kati me na ke inawezekana hiyo...
  17. 2023 inapoisha, unaiacha kumbukumbu ipi ya wema kwa watu? ili kwa watu ili ukumbukwe kwa wema?

    Habari za weekend. To cut the story short ni kwamba, jana nikiwa mihangaikono, nilipokea simu toka kwa jamaa yangu flan anaitwa Gozbert. Ni jamaa yangu ila sio kusema ni mtu wangu wa karibu sanaaa, hapana. Yeye tumefahamiana kanisani. Ni mtumishi wa umma katika kada ya afya. Siku ya kwanza...
  18. Je, mnanitunuku lini 'Honorary Doctorate Degree' yangu kwa kuwa Visionary and Rational Thinker?

    Kuna Watu mnawalundikia Mashahada ya Heshima mbalimbali ya kuhusiana na Mambo fulani fulani ambayo GENTAMYCINE nikiangalia au nikitafuta walichofanya au walichokifanya huko wala sioni au sikioni. Haya watoa Honorary Doctorate Degree niangalieni nami GENTAMYCINE na niandalieni yangu kwani...
  19. Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!. Nashukuru sana kwa...
  20. Sijawahi mnyonya mwanamke na sina mpango wa kumfanyia hivyo mtu!

    Niseme tu. Napenda mwanamke aninyonye.... Hilo napenda sana. Ila akitaka kunitibua aniambie na mimi nimnyonye... Hapo namuuliza swali la kwanza "JE WEWE NI BIKRA?" Obvious huyo atakuwa ni no. Then siwezi mnyonya sababu unaponyonya K wewe mwanaume unakuwa umenyonya in kind na ubooh wa mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…