Mtembea bure si sawa na mkaa bure, kutembea nako ni kusoma na lengo la kusoma ni kupata maarifa,ujuzi,mbinu na mikakati kubadili hasi kuwa chanya. Nami nimeaandaa safari hii tukasome yote yaliyo mazuri ulimwenguni ikisha turudi majumbani tukiwa wapya wa fikra na kubadili mitazamo yetu kwa kesho...