Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha itikadi kutimiza mipango yao. Ukiweza kushika kisha cha kiongozi wa kiislam akawaaminisha waislam...
Wakati wenzetu wakiwa na plan za miaka 100 ijayo Bongo tuna plan za wiki 5 zijazo. Nchi ina plani za kisiasa na ziko Surported na wajinga hili Taifa la Tanzania.
Tanzania kuna plan za wiki chache mbele, kila mara ni Bomoa hiki weka hiki, badili hiki weka hiki.
Mfano Chukulia ujenzi wa kituo...
Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA taifa Patrick Ole Sosopi Patrick ole Sosopi akielezea uovu waliokutana nao wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kata ya Idodi ,Wilaya ya Iringa mkoani Iringa.
Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam.
Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi .
Nitashukuru sana kwa msaada wako.
Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko.
Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African).
Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya?
1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
Rais mteule Donald Trump amepanga hatua za haraka na za moja kwa moja atakazochukua ndani ya mwezi mmoja baada ya kuapishwa. Hatua hizi zinahusu mabadiliko katika sekta mbalimbali za serikali, ikiwa ni pamoja na sheria, elimu, uhamiaji, na masuala ya kijamii. Hapa ni baadhi ya mipango aliyoeleza...
Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha.
Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania...
Nimesikia ama kuchunguza kua mara nyingi ukiropoka kwa watu mipango yako inaanza kusua sua na hatimae Kufeli mazima. Tafadhali wabobezi wa masuala ya kiroho naomba hapa ufafanuzi.
Kuna mstari fulan katika biblia kua "usimwage lulu kwenye nguruwe wasije wakazikanyaga na kukurarua" je huenda...
Leo nimepita mjini kati Posta, Dar es Salaam, muda kidogo sijatembelea mjini kati, nikashangaa kuona mgahawa wa kienyeji (Mama Ntilie) umejengwa mbele ya jengo la mwalimu Nyerere Foundation ambapo kuna hoteli ya Johari Rotana, kwenye geti la kuingilia kwenye Hotel.
Johari Rotana ni 5 stars...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024.
Rais Samia...
Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida.
Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha...
Ukiwa na mipango lakini ya hovyo hovyo isiyoeleweka wala kutekelezeka utapuuzwa tu na Wananchi. Utajipigia kelele kelele mwenyewe wee bila kuungwa mkono na yeyote.
Ukikosa hekima na busara katika kuwaza, kusema na kutenda, huku ukiendekeza kiburi, chuki na visasa dhidi ya wengine, majivuno...
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara.
Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kuna mpango tumepanga kila siku nikiongea nae namkumbusha. Sasa jana nime mkumbusha , akanikasirikia kabisa anasema ",nimeshaona kuwa siaminiki wewe mtu kila siku tunaongea mambo hayohayo lakini bado unanisisitizia kiasi ambacho naona kabisa huniamini kwa...
Nimekuwa nashindwa kuielewa serikali yangu kama kuna field ambayo ni muhimu kuitilia mkazo basi ni field ya uwekezaji.
Kwa kulitambua ilo ndo maana waliamua kuitenga wizara ya fedha na mipango na kutengeneza wizara mpya ya mipango na uwekezaji. Ila hajabu ukienda halmashauri, Manispaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.