Ifike hatua tuwe na adabu,
Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala hajali,
Nawapa hizi dondoo chache, fedha za SGR hadi dodoma aliacha ametafuta Jakaya, ile kijazi...
Kwema Wakulungwa.
Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?
Mimi Miaka 87.
Itakumbukwa ni mwezi tu umepita bajet ya wizara ya ardhi chini ya Jery Silaa imepitishwa na baada kupitia jamaa a alianza na gia kali ya kuzunguka nch nzima kurudisha ardh iliyo ibiwa na matapeli wa ardhi walio tapakaaa nchi nzima
Nimeamin matapeli wakikuamulia wanaweza kukutoa kweny nafsi...
Wasalaam ndugu zangu waswahili,
Leo nina hoja nzito saana upande wangu naomba tupeane ushauri mzuri tafwadhali... uki comment kebehi utalaaniwa immediately.
Ni hivi kwanza nini siri ya kufanikiwa katika maisha??
Binafsi nilikua na ndoto kubwa saana kiasi kilinisukuma kuset appointment ikulu...
Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia.
Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
Tunahusiana jamii ya watanzania wenye bahati ya vitu vingi ikiwa ni pamoja na kuwa na hamu ya serikali zenye usikivu hawamu zake zote, Kuna sehemu tumekosea tokea Uhuru hasa katika swala la kuwa na mahamuzi ya haraka kwenye fursa tulizo nazo. Hatuna tena sababu ya kusingizia ukoloni kama sababu...
Nasikia burudani sana jinsi msomi huyu anavyowasilisha hoja mbalimbali za mipango ya wizara yake.
Nna uhakika mkubwa sana nchi inakwenda kubadilika kutokana na mipango mizuri iliyowekwa na serikali ikitokana na ubunifu wake mkubwa.
Amejikita sana kwenye kuinua uchumi hasa maeneo ya kilimo...
From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya miezi miwili ilianza kujizima ukiwasha unasikiliza hazipiti hata dk 2 inazima
Ikabidi nirudishe dukani...
Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vizazi vijavyo kwa mafanikio na ustawi wa taifa. Hapa, tunaangazia mawazo bunifu yanayoweza kutekelezwa katika kipindi cha miaka 5-25 ijayo, kwa kuzingatia mifano dhahiri ya nchi zilizofanikiwa...
Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio imetoka hiyo.
Beki wa kulia pekee mwenye uwezo wa kucheza Simba na akaliamsha kisawa sawa ni Kevin...
Je huyu ataaminika na wawekezaji?
PIA SOMA
- Breaking News: - Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea.
Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana...
Elimu:
1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia.
2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu.
3. Miaka 15: Kuanzisha programu za ufundishaji wa stadi za kidijitali ili kuandaa wanafunzi kwa ajira za baadaye.
4. Miaka 25...
Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza.
King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
Baada ya kuitawala dunia kiuchumi na kijeshi kwa miongo kadhaa,sasa Marekani inaelekea kudondokea pua yake na hakuna wa kuizuia.
Katika kipindi cha miaka kama 24 imeshiriki vita vingi vilivyokuwa na malengo mapana ya kuzipindua na kuzitawala nchi kadhaa na nyingi zao ni za waislamu. Hakuna hata...
Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na Israel.
Mara ngapi Netanyahu amezungumza maneno ya kiburi kwa rafiki zake na mbaya zaidi kwa Mungu...
Habari za humu ndugu zangu, mm ni yule yule ndugu yenu wa kuishia LA7,
Leo nimekuja na plani ya kuisaka milioni zaidi ya 2 ndani ya miezi 18
Ukweli mimi toka nizaliwe pesa yangu cash niliyoishika na umri wangu huh wa zaidi ya miaka 25 ilikuwa ni laki nne na sabini ambayo niliikusanya kwa...
Wasalaaaam waungwanaaa, nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Hivi sisi wazee wa mitungi ni vipiii? Wazee kama nilivyosema hapa niko juu ya mawe sielewi. Hii ni baada ya kupiga mtungi heavy jana. Sasa leo nimejikuta nimeamka na elf kumi na tano tu, naona hamjanielewa, yaani 15,000/= tu...
Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni mbaya sana sio nzuri kabisa sababu kubwa na kutokuwepo kwa mipango miji ambayo ndo chachu ya kupendezesha miji
Kama umeshawahi kwenda nchi yeyote ya western utaona jinsi kulivyo pangiliwa na kunavyopendeza mfano ukienda japan ni super clean na huwezi ona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.