MBUNGE EDWARD LEKAITA AKAGUA MIRADI YA MILIONI 390 KATIKA KATA YA KIPERESA, KITETO
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita ameendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Jimboni katika Kata ya Kiperesa na kukagua Ujenzi wa Miradi katika Sekta ya Elimu, Afya, Maji na Barabara...