Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu, umeahidi kutoa mkopo nafuu utakayonufaisha mradi wa umeme wa Benaco-Kyaka mkoani Kagera na ujenzi wa makazi ya watumishi ya gharama nafuu Zanzibar, inayokadiriwa kugharimu dola za Marekani milioni 420 (Sh 979,374,404,740 za Tanzania)...