miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Shaka: Wakurugenzi acheni kuchukua 10% mnakwamisha miradi ya maendeleo, TAKUKURU fanyeni kazi yenu haraka

    == SHAKA HAMDU SHAKA AWATAKA WATUMISHI KOTE NCHINI KUFIKA KWA WANANCHI KUSIKILIZA KERO NA CHANGAMOTO MBALIMBALI. Na Mwandishi Wetu, Sikonge KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi kwenda...
  2. Roving Journalist

    CCM yashangazwa na urasimu wa mifumo kutumika kama utetezi wa miradi ya maendeleo kutotekelezwa kwa wakati

    Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameonesha kukerwa kwake na tabia ya fedha ya miradi ya maendeleo kucheleweshwa kwa kisingizio cha urasimu wa mifumo ya ulipaji kutofunguka kwa muda mrefu jambo ambalo linakwamisha baadhi ya miradi utekelezaji wake kuenda kwa kasi na haraka kama...
  3. BARD AI

    DAWASA Kutumia Tsh. Trilioni 1.029 kutekeleza Miradi ya Maji 2022/2023

    SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetenga sh. trilioni 1.029 kutekeleza miradi ya maji 13 ya kimkakati katika mwaka wa fedha 2022/2023. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2022 jijini Dodoma na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
  4. tamsana

    Swali: Kwanini tunashuhudia miradi mbalimbali ya maendeleo inatekelezwa lakini hatuoni suluhisho kwa wananchi?

    Kazi iendelee! Wadau mtakuwa mashuhuda wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na seriksli kupitia Ilani ya CCM tangu awamu ya kwanza hadi hii ya sita. Pongezi nyingi ziwafikie viongozi wote wa awamu zote kwa jitihada zao za kutatua changamoto za wananchi. Pamoja na hayo, kuna baadhi ya miradi...
  5. B

    Chalinze yaongoza ukusanyaji mapato nchini. Yatia fora pia upelekaji wa fedha nyingi za miradi ya maendeleo

    CHALINZE YAONGOZA UKUSANYAJI MAPATO NCHINI. YATIA FORA PIA UPELEKAJI WA FEDHA NYINGI ZA MIRADI YA MAENDELEO. Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani inayoongozwa na Mbunge Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeongoza katika...
  6. D

    SoC02 Udhibiti mahiri wa miradi ya Taifa ni Bora kuliko kumpa muwekezaji

    Mara kadhaa tumekuwa tukiona mali zilizokua chini ya serikali hapo nyuma zikikabidhiwa kwa wawekezaji kwa mikataba mbalimbali kuhakikisha zinaleta matunda kwa taifa. Unadhani ni kwanini miradi na ardhi iliyokuwa ikisimamiwa na serikali badae hukabidhiwa kwa wawekezaji? Naam JIBU ni kwamba...
  7. Jidu La Mabambasi

    Makamba acha hizo ati makandarasi wazawa wanachelesha miradi: SGR na Stigler vipi?

    Matatizo ya viongozi wetu wengi ni kujifanya wanajua masuala ya ukandarasi na ujenzi wakati kiukweli ni watupu kabisa. Taarifa ya habari saa mbili ITV waziri Makamba amewaonya makandarasi wazawa kwa kutokamilisha miradi kwa wakati. Waziri kaongea hivyo akiweka jiwe la msingi kiwanda cha...
  8. P

    Waziri Biteko asisitiza miradi yenye madini mkakati kuendelezwa

    Serikali imetoa agizo kwa wawekezaji katika Sekta ya Madini kuendeleza maeneo yao yenye madini ya kimkakati badala ya kuyaacha bila kuyaendeleza suala linalopelekea wenye nia ya kuwekeza kukosa fursa hiyo. Amesema wapo wawekezaji wanaotaka kuwekeza katika Sekta hiyo maeneo mbalimbali nchini...
  9. J

    Tujikumbushe Miradi ya CCM (Shule, Viwanja vya Michezo, Majengo, Mashamba nk)

    Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk Shule mbalimbali ikiwemo...
  10. M

    Dodoma: Waziri Aweso azindua miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa...
  11. B

    Shaka akagua miradi Pemba, aahidi CCM itawalinda Wabunge ,Wawakilishi na Madiwani

    SHAKA AKAGUA MIRADI PEMBA, AAHIDI CCM ITAWALINDA WABUNGE ,WAWAKILISHI NA MADIWANI. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amekagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kisiwani Pemba na kuwahakikishia wananchi kuwa Chama kitaendelea kuwalinda...
  12. saidoo25

    Wizara ya Nishati kuajiri vijana 139 kusimamia miradi ya Umeme vijijini

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametangaza kuajiri vijana 139 watakaosambazwa katika Halmashauri zote nchini ili wawe waratibu wa Miradi ya REA katika maeneo yao. Makamba amesema hayo Julai 13, 2022 akizingumza Bariadi Simiyu “Vijana hawa 139 kazi yao ni kufuatilia miradi imefikia hatua...
  13. Roving Journalist

    Wakuu FDC watakiwa kubuni miradi ili kuongeza kipato

    ▪️Sasa vyadahili wanachuo 15,032 ▪️Bilioni 6.8 ya Fedha za Uviko-19 kutumika kununua vifaa Na WyEST, MOROGORO Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) wametakiwa kutumia kwa umahiri uwekezaji wa miundombinu na vifaa uliofanywa na Serikali katika kubuni miradi itakayotumika na wanachuo...
  14. Replica

    Mchumi: Wengi wakisikia 'figures' za Deni la Taifa wanaogopa, kama lipo kwaajili ya miradi itakayozalisha lina tija

    Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma, David Mwakapala akiwa Bungeni Dodoma amesema watu wengi wanaogopa idadi ya tarakimu likisemwa deni la Taifa au Serikali ikiingia mkopo. Mwakapala amesema deni baya ni ile inayoingia kwenye 'Productive activies' lakini inayokopwa inaingia kwenye miradi ambayo...
  15. LAZIMA NISEME

    Miradi ya kimkakati Tanzania yawa chachu kwa vijana kuchangamkia kozi zote zinazohusu Reli, Meli na Anga zinazotolewa NIT

    Dhamira njema iliyooneshwa na serikali katika kukazania kujenga miradi ya kimkakati imetoa hamasa kwa Watanzania wengi kuchangamkia fursa ya kusoma kozi za huduma za usafiri wa reli, meli, bandari na anga katika chuo cha usafirishaji tanzania (NIT) Kwa Mujibu wa Mkuu wa Chuo amesema awali...
  16. T

    Mkopo wa Trilioni 1.2 kutoka EXIM Bank ya India zinazotumika kwenye miradi ya maji

    Juzi hapa Rais alipofanya mahojiano na Tido Mhando alisema Magufuli alikua anaendesha miradi kwa mikopo na mikopo mingine ya gharama sana. Wanasiasa uchwara kama Zito wamewahi kumsema Magufuli kwamba amekua akichukua mikopo kwenye taasisi za fedha za kibiashara kama Benki za Suisse Credits...
  17. Econometrician

    Utiaji saini Mikataba ya Miradi ya maji katika Miji 28, Kama Nchi tuna safari ndefu

    Nimeangalia wakandarasi waliopata zabuni za miradi ya maji, kwa kweli binafsi yangu sijamuona Mtanzania ngozi nyeusi aliye pata zabuni. Wote niliowaona mie, ni ngozi nyeupe (mabeberu), sasa nacho jiuliza ngozi nyeusi sisi tatizo ni nini? Sote tunafahamu njia kuu ya Serikali kuongeza fedha...
  18. Logikos

    Nishati; Utitiri wa Miradi, (Mnaonaje tukimaliza Mmoja kwanza kabla ya Kuanza Mwingine)

    Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua). Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema...
  19. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    The state: Hakikisheni kwenye Katiba Mpya, mishahara na posho za kwenye siasa zinapunguzwa Sana na kuelekezwa kwenye miradi ya umma

    Wakuu Binafsi sielewi ni nani HASA alieamua kuwa kazi ya siasa ndio iwe na malipo na posho kubwa sana kuliko taaluma nyingine yeyote hapa nchini. Wataalamu wa taaluma mbali mbali wameacha kada zao na kukimbilia siasa kuliko kujikita kwenye taaluma zao na kutuhudumia wananchi! maprofesa wa...
  20. Roving Journalist

    Shinyanga: TAKUKURU yabaini dosari miradi minne ya Maendeleo inayoendelea

    Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoani Shinyanga imeelezea kubaini dosari miradi minne ya Maendeleo inayoendelea.
Back
Top Bottom