Nianze kwa kumpongeza mama Samia kwa kuona mbali lakini aliona umuhimu wa kuipa kipaumbele elimu na afya hizo ndizo nguzo muhimu kwa ustawi wa maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua, lakini pia kimtazamo Rais angependa kuona kile alichokipanga kwa wananchi wake kinatimia na kuonekana machoni...
Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
AWAMU YA 6 KAZINI
Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3)
Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta...
Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kuamka na kuacha kufanywa ngazi akisema, "Hawa watu wanakuja na maneno mazuri wanawafanya kuwa ngazi mnainama wanapanda. Wakifika wanapotaka, hamna maana"
Akiwa Mkoani Mara amesema Miradi inayoletwa ni ya Wananchi hivyo waifuatilie, na...
Rais Samia Suluhu akiwa mkoani Mara kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji ameongelea suala la miradi ya Serikali. Ameuongelea mradi huo ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya tano lakini ukakwamishwa na mkandarasi na kuamua kumbadilisha ili kumalizia mradi. Pia Rais Samia ameongelea spidi ya...
Yaani chama chetu cha Mapinduzi CCM sijui kina matatizo gani, hakuna kiongozi anayeweza kusimama akataka jina la Mama akaacha kutaja Madarasa. Hivi kuna kubwa zaidi ya hili? Hakuna mradi wowote alioanzisha Mama umegharimu zaidi ya Trilioni 1.3?
Tunasahau kuwa kuna watu walijenga shule za kata...
Project management (Usimamizi wa miradi) ni matumizi ya ujuzi maalum(skills) na zana(tools) ili kufanikisha malengo kwenye muda uliopangwa.
Ujuzi wa Project management unakusaidia kuboresha mchakato wako katika mambo kama vile ujenzi wa majengo, juhudi za misaada, upanuzi wa mauzo katika soko...
MKUU wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo amevitaka vikosi vya jeshi kutumia wataalamu wa ndani kubuni miradi ya kimkakati na kuhimiza uadilifu kwenye miradi iliyokamilika.
Mabeyo alisema hayo wakati wa kuzindua kituo cha mafuta cha R971 kilichojengwa na jeshi eneo la Ihumwa.
Alisema jeshi kama...
Nchi inaenda vizuri sana. Mungu ni mwema. Ukizunguka huko mikoani (nje ya Majiji) utaona jinsi ambavyo halmashauri na maeneo yote ya kiutendaji yanavyofanya kazi za miradi kwa bidii na bila malalamiko.
Kwa wasiofahamu, Serikali imemwaga fedha nyingi kwenye halmshauri zote nchi nzima. Huko ndipo...
Wana JF nimejaribu kuwaza hivi kwanini nchi yetu haitumii sana njia ya PPP- Public Private Partnership katika kuanzisha miradi ya maendeleo nchini?
Njia hii naona inakuwa na unafuu sana maana sio mkopo bali ni ubia kati ya serikali na mwekezaji wa mradi.
Mwekezaji analeta pesa yote ya mradi na...
Machi 26 mtendaji mkuu tanload alisema Daraja la Wami litakamilika Sept 2021. Kwa mujibu wa Mwananchi, Leo Serikali inakuja na Lugha nyingine. Kwanini tunafanywa watoto
Miaka miwili nyuma tuliambiwa kipande Cha reli dar to Moro kuzinduliwa Novemba 2019. Leo 2022. Miaka 3 baadae hakuna kitu Kama...
Kati ya watu nawaaminia ni mh Jobu, aliwahi charaza mtu peupe pe,
Na aina ya watu hawa usiwachezee kabisa kwa Kila wanachokiamini tena hasa ukianzisha vagi nao!
Jobu, anasimamia mhimili unaojitegemea, na moja ya sifa za mhimili huo ni kuishauri na kuikosoa serikali,
Kwa hali yoyote na kwa...
Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi?
Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani.
Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani.
Bunge na units zilizopo chini yake walituambia...
Asalam!
Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji.
Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda...
Nimekuwa nikisoma kupitia vyombo vya habari kuwa Mhe. Rais leo ametoa billioni kadhaa kwenye mradi fulani. Je fedha hizi zinatoka fungu gani na huku nikifahamu kuwa kila senti ya Serikali uidhinishwa na Bunge. Au inawezekana Mhe. Rais anatumia fungu lake la Ikulu. Nimeuliza swali kwa ajili ya...
===
Kwanza, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Industral Park " ikiwa ni pamoja na mitaro yake pamoja na taa za barabarani,
Pili, Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stendi ya kisasa ya...
Nimekuwa nikiona kupitia luninga jinsi viongozi wa Kata, Tarafa, Wilaya, Mikoa na hata Taifa wanavyohangaika na kukamilishwa kwa miradi hii. Walipewa agizo kuwa miradi hii iwe imemalizika katika muda wa miezi mitatu.
Mimi binafsi natofautiana na agizo hili. Kwa Mhandisi anayejua maana ya ujenzi...
Na Kelly Ogome
Kwa kipindi cha miaka minne iliyopita, mataifa ya Afrika Mashariki yameshuhudia mabadiliko makubwa katika uchumi na miundombinu. Haya ni kulingana na ripoti ya tathmini ya miradi ya Ukanda Mmoja,Njia Moja(BRI) iliyotolewa na Taasisi ya Sera ya Africa API.
Kenya ni miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.