Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
Wakuu!
Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji.
Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA.
Miradi ya uzalishaji...
Mradi wa SGR ya Tanzania wenye Kilomita zaidi ya elfu 2,000, ni Kati ya miradi mikubwa ya reli kuwaikufanyika Afrika.
Katika utafiti wangu, miradi mengine mikubwa inayoendelea barani Afrika ni ule wa Nigeria, ambao una lengo la kuunganisha miji mikubwa na bandari ya Lagos. Pamoja na wa Misri...
LINDI: TAKUKURU YABAINI KASORO MIRADI YA TSH 928,340,557
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imebaini kasoro katika miradi miwili yenye thamani ya shilingi 928,340,557 wakati wa mchakato wa kufuatilia miradi mkoani hapo kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2022.
Mkuu...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Tido Mhando wa Azam TV, leo Mei 4, 2022
RAIS SAMIA: HAKUNA FUNDI WA URAIS, HAUZOELEKI
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Urais haizoeleki kwa kuwa kuna mambo mengi.
“Sidhani kama kuna mtu anaweza kusema ni fundi katika nafasi ya Urais, labda...
Miradi 15 yenye thamani ya Tsh. Bilioni 18.3 Mkoani Geita imebainika kuwa na upungufu wa kutozingatiwa kwa vigezo na masharti ya mikataba, hiyo imesababishwa na kukosekana kwa usimamizi wa wataalamu wa Halmashauri.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imebainisha na kueleza hayo...
Mkuu wa Mkoa wa Mara amezuia takriban Tshs.5 billioni zinazotolewa na mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya kijamii na hii imetokana na matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mgodi wa North Mara. Binafsi nakubaliana na uamuzi wa Mkuu wa Mkoa.
Kama fedha zinatolewa na vifaa vya ujenzi...
Tunza Malapo (Viti Maalum) amesema Mkoani Mtwara Soko la Chuno limejengwa kwa Bilioni 5.5 katika eneo ambalo ni tofauti na mwelekeo wa watu wengi akieleza, "Unaweza kujiuliza aliyependekeza Soko lijengwe kule alikuwa anawaza kitu gani? Maana yake ni Bilioni 5.5 zimelala pale hazina tija"
Aidha...
Na Tom Wanjala
Katika harakati za kusaidia kuboresha na kuimarisha usalama wa chakula barani Afrika, China inazidi kuwekeza katika vituo vya maonyesho ya teknolojia ya kilimo (ATDCs), vilivyoanzishwa na kampuni na taasisi za China. Vituo hivi pia vimeinua maisha ya wakulima wengi kutokana na...
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru.
Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi.
Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake.
Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
barabara
haufai
kimataifa
kiongozi
kisayansi
kitaalam
kufanya
kukagua
kutumia
kwani
mbio
mbio za mwenge
miradi
mwenge
njombe
picha
tena
ubora
vigezo
watanzania
wote
Serikali kupitia Wizara ya maji imetenga jumla ya Sh 12,523,727,274.27 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambazo ni kwa ajili ya kujenga, kukarabati na kufanya, upanuzi wa miradi mbalimbali ya maji katika Mkoa wa Mtwara.
Meneja wa Wakala wa Usambazaji Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa)...
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amewataka wafanyakazi wa Wizara yake kuielewa miradi ya kitaifa inayotekelezwa na Wizara hiyo na kutafsiri ili kuhakıkisha utekelezaji wa miradi hiyo ya maendeleo yanakuwa na manufaa yanagusa maisha ya Watanzania...
Rais samia hua anatoa kauli na maelekezo yenye utata. Lakini wenye kuelewa wanajua ni mwelekeo wake wa kupendelea sekta binafsi iliyojaa 'wahuni'
Inafaa atambue sekta binafsi kuleta ufanisi inatakiwa kua shindani sio kubebwa kwa kusudi kuingia ubia na majeshi au mashirika au mamlaka za umma...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu waliokuwa wakisema miradi iliyaochwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli haitaendelezwa, hawakuwa sahihi kwa sababu Serikali inayoongoza nchi ni ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Rais Samia ameeleza hayo leo Jumatano Machi 23, 2022 wakati akizindua nyumba...
Niseme kwamba mafundi tuliojenga majengo haya ya uviko hasa madarasa tumeteswa sana na bado tunateseka sana.
Kwa hii wilaya niliyopo tuliingia mkataba na serikali kujenga haya majengo tukakubaliana bei na kamati ya kujenga madarasa yakamilike kwa muda japo muda ulikua mdogo sana yani wiki 3...
Tunawasikia CCM wakisifia mikataba ,ambayo Raisi wao anatiliana huko anapokwenda kutembea ,sio mbaya ,mkae mkijua Uchaguzi uliopita haukuwa uchaguzi na sasa wananchi wanahemea mlo mmoja kwa siku.
hayo matembezi na mikataba haina faida kama ndani ya nchi hakuna utedaji wa haki,kuchagua kiongozi...
Utashangaa JKT na Jeshi la Magereza wanahangaika na biashara ya kuosha magari na kufyatua tofali tena kwa kutumia mashine duni sana wanazotumia vijana mtaani.
Hii miradi ilipaswa waachiwe vijana. Wao watafute biashara zenye uwekezaji mkubwa.
Wakiosha magari vijana mtaani watafanya nini?
Baada ya Majibu ya Waziri wa Nishati kuomba apewe muda ili arekebishe suala la kukatika kwa umeme, sasa hofu imekuwa kubwa juu ya auendeshaji wa miradi inayotegemea umeme,
Miradi hiyo ni kama SGR na Viwanda. Na Jana Rais kasema kuna mradi wa Mabasi ya umeme.
Waziri J. Makamba aliomba apewe...
Wakuu,
Nahitaji kujua vibarua kwenye Miradi mikubwa ya serikali hasahasa Mradi wa Umeme, Mradi wa daraja la Magufuli pamoja na Mradi wa Reli wanalipwa kiasi gani na vigezo vyao vya kuajili ni Vipi?
Mradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana. Lakini pia usimamizi wa Wizara na idara za serikali si wakuridhisha. Mradi unavyochukua muda mrefu ndivyo gharama uongezeka. Niwaombe JMT tukimbizane imalizike Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.