Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa siku 7 kwa watendaji wa Idara ya Michezo kukamilisha nyaraka za miradi yote iliyoko chini ya Idara hiyo la sivyo kila mhusika atabeba mzigo wake.
Dkt. Abbasi ametoa agizo hilo leo hii alipokutana na watendaji wote...