miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tukiendelea kuwatumia wana CCM kwenye miradi watatukwamisha sana

    Mimi naona tungeendelea kuwatumia ma professors wa vyuo vikuu hawana tamaa na pesa kabisa wanaridhika wangefanya kazi vizuri sana, WanaCCM wenzetu wangeendelea kukaa tu bungeni huko hawawezi kutuibia. Lakini kuendelea kuwatumia wana CCM wenzetu kutatukwamisha sana sana. Yaani mimi nafikiria...
  2. Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wawekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania

    Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Madini, Prof. Shukrani Manya alipokuwa akifungua jukwaa la biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Italia lilifanyika Jijini Roma, Italia leo. Prof. Manya...
  3. Tujikite kumaliza miradi mikubwa iliyopo; madeni yaliyopo yanatosha. Haraka ya nini Bagamoyo?

    Ndugu watanzania wenzangu urefu wa pwani kutoka Tanga mpaka Mtwara ni 591.12km, kutoka Tanga mpaka Dar es salaam ni 195.07 na Dar es salaam kwenda Mtwara 397.39 km. Kwa kuwa umbali kutoka Tanga na Dar es salaam ni karibu sana yaani km 195.07, huku umbali wa kutoka Tanga mpaka Bagamoyo ni km...
  4. M

    Rais Samia anasema Uchumi wa Tanzania umekuwa sana na Watanzania sasa wana hela nyingi na Miradi mikubwa ipo na mingine inakamilika

    Kumbe Watanzania wakiwa katika Mgawo wa Umeme, Maji ya shida, Tozo za kila aina Kuongezeka na Mfumuko wa Bei na hata wa Bidhaa nao Kukua, Ajira kutopatikana, Benki zikitoa Mikopo kwa Riba Kubwa na Kiwango cha 'the haves' and 'the haves not' nchini Tanzania kikiongezeka kwa Kasi ndiyo tafsiri...
  5. Miradi yote inayolisha Tanzania ilianzishwa na Nyerere kweli au si kweli?

    Nisaidieni majibu ya hili swali la kweli au sikweli? Nilikua kwenye test ya maarifa ya jamii nikakutana na hilo swali. Miradi yote inayolisha Tanzania ilianzishwa na Nyerere kweli au si kweli?
  6. CAG 2019/20: Mapungufu katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Mamlaka ya Serikali za Mitaa zinajukumu la kusimamia idadi kubwa ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa nchini. Miradi hii yenye lengo la kutoa huduma za kijamii, hutekelezwa kwa fedha za ruzuku inayotumwa kutoka Serikali Kuu na kiasi fulani huchangiwa na mapato ya ndani ya Halmashauri husika...
  7. Zitto Kabwe: Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia

    Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele. Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
  8. J

    Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM ya 2020/2025

    Katibu halamshauri kuu ya ccm taifa itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM. Katibu wa nec itikadi na uenezi wa ccm, shaka hamdu shaka, leo tarehe 16 novemba 2021, amewahakikishia wanananchi wa halmashauri...
  9. Daraja la Mbaka, barabara ya Busokelo - Tukuyu, sasa tunaenda miaka 25 hii miradi haijakamilika, tatizo nini?

    Katika miaka 25 ambayo Magufui amekuwa kinara wa ujenzi wa mabarabara nchi, barabra ya Busokelo -Tukuyu imetia fora kwa kusuasua! Hivi leo ni mwaka wa 26 sasa, hakuna fedha zinenda kwenye mradi wa barabra hii muhimu. Wananchi wamelia na serikali lakini wapi. Jionee mwenyewe Mwenyekiti wa...
  10. Serikali ya Marekani kutoa Bilioni 437 kwa ajili ya Miradi ya Afya

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inatarajia kupokea kiasi cha shilingi Bilioni 437 kwa kipindi cha miaka 5 kwaajili ya miradi ya Afya inayolenga kuwafikia wananchi katika ngazi ya jamii. Hayo yamesemwa leo 15 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii...
  11. Shaka: Miradi inayokamilika bila kutoa huduma kwa wananchi inashusha heshima ya Chama na Serikali

    Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo, halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera chini ya kampuni ya ujenzi ya...
  12. Shaka: Miradi inayokamilika bila kutoa huduma kwa wananchi inashusha heshima ya Chama na Serikali

    Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo, halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera chini ya kampuni ya ujenzi ya...
  13. Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi afanya ziara wilaya ya Kyerwa. Wananchi waishukuru Serikali kuwapelekea fedha nyingi za miradi

    KATIBU MKUU UVCCM Ndg. KENANI LABAN KIHONGOSI AFANYA ZIARA WILAYA YA KYERWA,WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAPELEKEA FEDHA NYINGI ZA MIRADI. 14.12.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Kihongosi amefanya ziara wilaya ya Kyerwa kukagua utekelezaji wa Ilani Ya Uchaguzi ya Chama cha mapinduzi...
  14. Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

    Kaka Janu shikamoo. Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu. "Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa ustadi mkubwa sana walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate...
  15. F

    Udhibiti wa Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo Katika Nchi ya Kufikirika (isiyokuwepo kiuhalisia)

    Mheshimiwa Rais Chokambaya Bin Mwaminifu wa Jamhuri-ya-Mazuzu amefanya uamuzi mgumu kwa nia ya kuokoa fedha za serikali yake katikati ya upinzani mkali wa wadau wa sekta ya ukandarasi. Katika kikao cha Baraza la Mawaziri, alitangaza uamuzi wake huo kama ifuatavyo:- Ili kudhibiti matumizi ya...
  16. T

    Kuzindua miradi mabongo ya picha za kiongozi

    Imekuwa utamaduni kuandaa mabango na vipeperushi zinapotokea ziara za viongozi wa kitaifa kukagua miradi au kuzindua miradi hata mikutano ya hadhara. Mhusika atakuja na kila siku huonekana kwenye vyombo vya habari na anafahamika hata na watoto,inakuwaje tunamchora kwenye mabango? Nani huwa...
  17. Sheria inataka mapato ya Serikali yapelekwe katika Mfuko Mkuu wa Serikali kabla ya kupelekwa kwenye miradi

    Mapato ya Serikali huyatakiwi kupelekwa kwenye miradi kabla ya kuwasilishwa kwenye Mfuko Mkuu wa Mapato ya Serikali ili kuwa na taarifa sahihi za mapato na matumizi Kutowasilisha mapato ya serikali ni kwenda kinyume na Ibara ya 135 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Vitendo wa...
  18. CAG 2019/20: Hati za Ukaguzi katika miradi ya maendeleo

    Hati za Ukaguzi Zilizotolewa Katika Miradi ya Maendeleo Kwa mwaka 2019/20, CAG alikagua jumla ya miradi ya maendeleo 290 na kutoa aina mbill za Hati za Ukaguzi ambapo; alitoa Hati Zinazoridhisha kwa miradi 275 sawa na asilimia 95 na Hati Zenye Shaka kwa miradi 15 sawa na asilimia 5. Hati...
  19. Kuongezeka kwa Hati zenye shaka na hati mbaya za ukaguzi kwa mwaka 2019/20

    Ripoti za Ukaguzi za mwaka 2019/20 zinaonesha kuongezeka kwa Hati Zenye Shaka na Hati Mbaya zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa na Miradi ya Maendeleo. Mwenendo wa Hati zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa a Miradi ya Maendeleo ni kama ifuatavyo; Hati za Ukaguzi...
  20. Hii ni aibu, uzinduzi wa miradi isiyokamilika

    Maana ya uzinduzi ni pale mradi unapoanza au pale ulipokamilika. Ni aibu Rais kufunga safari kwenda kufanya uzinduzi wa maji ya bilioni 17 Longido halafu unasema kufikia Januari 2022 mtapata maji, kwanini usisubiri Januari ifike ukazindue kitu kilichokamilika? Huo mradi wa Arusha wa bilioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…