misaada ya wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake wa Kiislamu wamuomba Rais Samia awafadhili kwenda Hijah

    Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan awape ufadhili wanawake wenye hali duni kwenda Hija na Umrah kila mwaka ili kufanikisha wajibu wao wa kidini. Akizungumza jijini Dar es salaam leo Machi 26,2025 kwenye kongamano lililowakutanisha wanawake zaidi ya 1,000...
  2. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kenya Kwanza wapinga agizo la William Ruto la kukataza wanasiasa kuchangia pesa kwenye nyumba za ibada

    Siku chache baada ya Rais William Ruto kukataza kupiga marufuku michango ya wanasiasa kwenye nyumba za ibada viongozi wa chama cha Kenya Kwanza wakiongozwa na Farouk Kibet wamefanya harambee iliyoleta pamoja makanisa 25 ambapo jumla ya Ksh.11 milioni ilikusanywa Wakizungumza katika Kaunti ya...
  3. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa lililopewa Milioni 100 na Rais Ruto laandamwa vikali na wanasheria

    Wakuu, Siku kadhaa baada ya Rais William Ruto kutoa mchango wa shilingi milioni 20 kwa kanisa moja jijini Nairobi na kuahidi milioni 100, hisia kali zimeibuka nchini Kenya. Hivi sasa, Wakenya wanne wakilitaka kanisa hilo kuwasilisha kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) shilingi...
Back
Top Bottom